Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani
الإمام المهديّ ناصر محمد اليمانيّ
17 - ربيع الأول - 1445 هـ
02 - 10 - 2023 مـ
05:50 صباحًا
(Kulingana Na Taqwimu Rasmi Ya Umul Qura)
(بحسب التَّقويم الرَّسمي لأم القُرى)

[ ili kufwatilia cha bayana asili ]
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?p=429375
_________



فها هم يَعترفون أنَّ الخريف أشدُّ حرًّا من صيفِ يونيو ويوليو وأغسطس ..
Hao Hapo wanakubali kwamba vuli ni moto zaidi kuliko msimu wa joto wa Juni, Julai na Agosti..




maoni tu..
مُجَرّدُ تَعليقٍ..

Tunasema: Bali Oktober hii ndiyo ya joto zaidi katika historia ya sayari, kisha Novemba ndiyo ya joto zaidi katika historia ya sayari, na kisha Desemba ndiyo yenye joto zaidi katika historia ya sayari hiyo. Kuhusu Australia, ambao hawakuzingatia joto la majira ya baridi; Ni masika ipi ambayo imetulia wanangojea? Hivi hawati akili?! Badala yake, masika ya kuungua iliwajia, na kuwafunulia ukweli kwamba walikuwa kweli katika majira ya baridi ya joto kali, kwa sababu walikuwa wametoka kwenye majira ya baridi ya joto moja kwa moja kwenye masika ya moto ya kutisha. Hao hapo, nchini Australia, wakianza kukimbia makazi yao kutokana na hofu ya vimbunga vyenye moto. Vivyo hivyo, wamiliki wa nusu ulimwengu wa kaskazini hawakuzingatia, Na italekea upande Wa makazi yao hivo hivo ma jeshi ya Vimbunga ya moto kwenye vuli yao hi sasa basi watshuhudia Sayari ya Ardhi katika nusu ya kusini na katika nusu ya kaskazini inachomeka kuanzia kusini ya mbali ya Sayari ya Ardhi mpaka mwisho wa kaskazini mwa Sayari ya Ardhi Ingawa inadhaniwa kuwa ziko katika hali ya hewa ya usawa wa masika katika nusu ya Ulimwengu wa Kusini na wakati huo huo katika utulivu wa vuli - wamiliki wa nusu Wa Ulimwengu wa Kaskazini - lakini imevamia misimu miwili ya masika na vuli - majira ya joto ya Sayari ya Saqr - na Ishara na maonyo hayafai kitu kwa watu wasioamini kuwa Mwenyezi Mungu ndiye mwenye ufalme wa mbinguni Na ardhi anafanya apendavyo;
Mkononi mwake zimo hatamu za mbingu na ardhi, na mambo yanarejeshwa kwa Mwenyezi Mungu.


Na watajua, kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, Mwenye nguvu mpana, Al’Wahid Al’Qahar, mpaka ipite sayari ya Saqr katika upeo wa sayari ya ardhi siku ya kupatwa kwa mbinguni, na hakika. sisi ni wakweli.

Na Salam Ju Ya Mitume Na Alhamdulillah Rabil3alamin ..
Ndugu Yenu Khalifa Wa Allah Al’Imam Al’Mahdi; Nasser Muhammad Al’Yamani.
أخُوكم خليفةُ اللهِ الإمام المهديّ؛ ناصر محمد اليمانيّ.
____________