Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani
الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني
24 - صفر - 1430 هـ
19 - 02 - 2009 مـ
06:16 مساءً
(Kulingana Na Taqwimu Rasmi Ya Umul Qura)
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )
_________



قاعدةٌ بالحقّ في القرآن العظيم تفتي أنّ لكُلِّ فِعلٍ فاعلٌ ..
Kanuni ya ukweli ndani ya Qur’ani Tukufu inao toa Fatwa kuwa kila tendo lina mtendaji..




Bismillah Arahman Arahim, Amesema Allah Ta3ala:
{أَمْ خُلِقُوا مِنْ غَيْرِ‌ شَيْءٍ أَمْ هُمُ الْخَالِقُونَ ﴿٣٥﴾ أَمْ خَلَقُوا السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْ‌ضَ بَل لَّا يُوقِنُونَ ﴿٣٦﴾}
Sadaqa Allah Al’3adhim Sura: [Altur:34/36].

Hoja ya kwanza ya Mungu anayo kwa wasioamini ni kwamba walijiumba wenyewe, ambayo ni kwamba kila tendo lina wakala. Je, wameumbwa bila Muumba? Je! wao ndio walioziumba mbingu na ardhi? Tunataka majibu kutoka kwa wasio amini Mungu kwa swali hili kutoka kwa Mwingi wa Rehema katika Muhkam Ilio wazi maana yake Al’Quran. Na Swali la Mwingi wa Rehema katika muhkam ilio wazi maana yake Qur’an ni:
{أَمْ خُلِقُوا مِنْ غَيْرِ‌ شَيْءٍ أَمْ هُمُ الْخَالِقُونَ ﴿٣٥﴾ أَمْ خَلَقُوا السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْ‌ضَ بَل لَّا يُوقِنُونَ ﴿٣٦﴾}
Sadaqa Allah Al’3adhim: Sura: [Altur:35/36].

Kisha mazungumzo yanaendelea mpaka ibainika kwa wakana Mungu kuwa Qur-aan imepokelewa na Muhammad, Mtume wa Mwenyezi Mungu – rehema na amani ziwe juu yake na jamaa zake – kutoka kwa Mwenye hikima, Mjuzi, Ambae Amewaumba na akaziumba mbingu na ardhi mpaka waamini haki itokayo kwa Mola wao Mlezi.

Na Salam Ju Ya Mitume Na Alhamdulillah Rabil3alamin..
Ndugu Yenu Al’Imam Nasser Muhammad Al’Yamani.
أخوكم الإمام ناصر محمد اليماني.
____________




======== اقتباس =========