Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’YMani
الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني
24 - ربيع الآخر - 1442 هـ
09 - 12 - 2020 مـ
09:01 صباحاً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )


[ لمتابعة رابط المشاركة الأصلية للبيان ]
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?p=340081

____


Corona Virus Na Tangazo La Muujiza Ya Uponyaji Bila Chango Wala Dawa ..
فيروس كورونا وإعلان معجزة الشفاء من غير لقاحٍ ولا دواء ..


Bismillah Al’Rahman Al’Rahim
Kutoka Kwa Mja Wa Allah Na Khalifa Wake Nasser Muhammad Kwa Watu Wote, Enye binadamu hakika mimi ni Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad sio khalifa wa Allah ju ya Yemen peke; Bali Khalifa wa Allah Ju ya ulimwengu wote, Na Wallahi hakuna tafauti kwangu baina ya myemeni na mchina.


Na enyi Ma3ashara ya viongozi wa binadamu na watowaji mamuzi katika mataifa yao na kwa kila alio balighi akili yake katika binadamu; Warabu na ma ajami; Mwislamu na kafiri, Sikizeni na mutafakari yale nitakao kuwapa fatwa nayo kwa haki kwa kauli ya uwamuzi wala sio kwa msaha: Natoa Qasam Kwa Allah Al’Wahid Al’Qahar Sijuwi kua muna chanjo na uponyaji kwa yale yalio vifuwani kutokana na adhabu ya Allah mpaka munyenyeke kwa duaa hi bila kiburi ju ya khalifa wa Allah Al’Mahdi Nasser Muhammad, Na maneno ya kuondosha adhabu ya yaliomo ndani ya vifua ni mujiskitishe kwa Allah na munyenyeke kwa Allah kwa yale yatako fwata:


Rabana Dhalamna Anfusana Ewe Mola Mlezi Wetu Tumejidhulumu Nafsi Zetu Basi ikiwa hutotusamehe na kuturehemu hakika tutakua ni miongoni walio khasirika,” Na baada ya kutubu Basi waseme:” Allahuma Mimi mja wako nakuomba kwa haki ya La ilaha ila anta na kwa haki ya Rahma Yako ambao umeiandika kwa Nafsi Yako na kwa haki Ya Adhim Naim Ridhwan Nafsak “Uwadhimu Wa Neema Ya Kuridhia Nafsi Yako” Ambao Ni kubwa kuliko Neema ya Pepo Yako kwamba uniponye kutokana na Adhabu ya Corona ama iyepushe nami hakika sisi tumwamini mlinganizi wa haki kutoka kwako, Ewe Allah tuondoshe adhabu yako kwa kila mlango ili tufwate njia ya haki kutoka kwako na utukitishe kwa kutimiza yale tulio kuahidi nayo ewe mwenye kugeuza baina mtu na moyo wake, Basi hatuna sisi ispokua Rahma yako ambao umeiandika kwa Nafsi Yako, Basi usipo tusamhe na kutuhurumia hakika tutakua wenye kukhasirika, Allahuma hakika Wewe Umesema Katika ilio wazi maana yake kitabu chako;
{ وَقَالَ رَبُّكُمُ ادْعُونِي أَسْتَجِبْ لَكُمْ } صدق الله العظيم [غافر: من الآية ٦٠]
{ Na akasema Mola wenu Mlezi niombeni nitawajibuni} Sadaqa Allah Al3adhim [Ghafir:6].
Basi kwangu duaa na kulekea kwako na kwako ni kunijibu hakiak Wewe hukhalifu Ahdi Yako, Ewe Mola wetu Mlezi Umetukuka Subhanak basi Ahdi yako ni haki na wewe ni Mwingi wa huruma Arhama Arahimin, Ewe Mola wetu Mlezi tukititishe kwa kutimiza utumilifu kwa yale tulio kuahidi nayo kwamba kumfwata mlinganizi wa Allah wa kiulimwengu khalifa wa Allah katika ardhi Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani, Ewe Allah ijalie kutumilizwa kwake ni neema ju yetu wala sio bala ju yetu kwa sababu ya kukanusha ulinganizi wa haki wa Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani”.




Al’Imam Nasser Muhammad Al’Yamani.
الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
_____

======== اقتباس =========