- 2 -
Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
02 - شعبان - 1435 هـ
31 - 05 - 2014 مـ
07:43 صباحاً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?18239

ـــــــــــــــ
الله هو الشيء الخالق لكلّ شيءٍ الذي ليس كمثله شيءٌ من خلقِه
وهو الشيءُ الأكبر من كلِّ شيءٍ وليس كمثله شيءٌ في ذاته، وهو السميع البصير وإليه المصير ..
Allah Yeye Ndio Kitu Ambae Mumbaji Wa Kila Kitu Ambae Hakuna Mfano Wake Kitu Katika Viumbe Vake


Nae Ni Kitu Kikubwa Kwa Kila Kitu Na Wala Hakuna Mfano Wake Kitu Katika Dhati Yake, Na Yeye Ni Mwenye Kusikia Na Kwake Maregeo..

Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Sala Na Salam Ju Ya Ma Nabi Wote Wa Allah Na Mitume Wake Na Watu Wao Walio Twahirika Na Wote Ma Ansar Wao Walio Bora Katika Kila Zama Na Pahali Mpaka Siku Ya Mwisho, Ama Baada Ya Hapo..

Na enye ambao hamuamini Mungu wale ambao wanataka kumfanya Allah Sio kitu wala hayuko katika uwepo wa Dhati Yake, Subhanahu wata3ala 3uluwan kabiran! Basi Yeye ni Kitu Cha Kwanza kabla ya uwepo wala hakuna kabla Yake Kitu, Na hio kwenu Ni Kitu cha kwanza nae ni Mumba wa uwepo, Kwajili ya hivo Amesema Allah Ta3ala: {Au wao wameumbwa pasipo kutokana na kitu chochote, au ni wao ndio waumbaji} Sadaqa Allah Al3adhim [Atur:35]. {أَمْ خُلِقُوا مِنْ غَيْرِ شَيْءٍ أَمْ هُمُ الْخَالِقُونَ} صدق الله العظيم [الطور:35].


Basi nini kitu ambao imewumba? Na jibu: Ni Kitu cha kwanza hakuna kabla yake kitu ila yeye, Na Yeye ndio Amevifanya viwepo kila kitu wala hakuna mfano wake kitu katika viumbe vake vote nawapa changamoto enye ma:ashara wasio amini Mungu kua mukanushe kwamba Allah hakusudi Nafsi Yake katika kauli yake Ta3ala:
{Au wao wameumbwa pasipo kutokana na kitu, au ni wao ndio waumbaji} Sadaqa Allah Al3adhim;
{أَمْ خُلِقُوا مِنْ غَيْرِ شَيْءٍ أَمْ هُمُ الْخَالِقُونَ} صدق الله العظيم؛
Yani Hakika ya kila tendo kuna Mtendaji, Na je inaingia akilini kua wao wameumbika bila ya kitu imwewaumba? Ama wao ndio wameumba nafsi zao? Basi hapana budi kua kitu imewaumba, Na Yeye ndio Mumbaji Mjuzi Mola Mlezi wa mbingu na ardhi na viliomo baina yao na Mola Mlezi Wa Arshi Kuu, Nae Ni Kitu cha kwanza hakuna kabla yake kitu wala hakuna mfano wake kitu katika viumbe vake, Basi wasiwafitini wasoamini mungu kwa kukanusha uwepo wa Allah wamfanye sio kitu, Subhanahu! Basi wao wakusudia kua hakuna uwepo wake na hio ni akida ya wasoamini Mungu "Mulhidina" Kwajili ya hivo Amewateremshia Allah kwenu ma Aya muwajadili nazo, Na miongoni mwake kauli Ya Allah Ta3ala:
{ Basi kumbusha! Kwani wewe, kwa neema ya Mola wako Mlezi, si kuhani wala mwendawazimu (29) Au wanasema: Huyu ni mtunga mashairi, tunamtarajia kupatilizwa na dahari (30) Sema: Tarajieni, na mimi pia ni pamoja nanyi katika kutarajia (31) Au hizo akili zao ndio zinawaamrisha haya, au wao basi ni watu majeuri tu (32) Au ndio wanasema: Ameitunga hii! Bali basi tu hawaamini (33) Basi nawalete masimulizi kama haya ikiwa wao wanasema kweli (34) Au wao wameumbwa pasipo kutokana na kitu chochote, au ni wao ndio waumbaji (35) Au wao wameziumba mbingu na ardhi? Bali hawana na yakini (36) Au wanazo khazina za Mola wako Mlezi au wao ndio wenye madaraka (37) Au wanazo ngazi za kusikilizia? Basi huyo msikilizaji wao na alete hoja ilio wazi (38) Au Yeye Mwenyezi Mungu ana wasichana, na nyinyi ndio mna wavulana (39) Au wewe unawaomba ujira, na kwa hivyo ndio wanaelemewa na uzito wa gharama (40) Au wanayo ilimu ya ghaibu, nao wameandika (41) Au wanataka kufanya vitimbi tu? Lakini hao walio kufuru ndio watakao tegeka (42) Au wanae mungu asiye kuwa Mwenyezi Mungu? Subhanallah! Ametaksika Mwenyezi Mungu na hao wanao washirikisha naye (43) Na hata wange ona pande linatoka mbinguni linaanguka wange sema: Ni mawingu yaliyo bebana (44) Basi waache mpaka wakutane na siku yao watakapo hilikishwa (45) Siku ambayo hila zao hazitawafaa hata kidogo, wala wao hawatanusuriwa (46) Na hakika walio dhulumu watapata adhabu nyengine isiyo kuwa hii, lakini wengi wao hawajui (47) Na ingojee hukumu ya Mola wako Mlezi. Kwani wewe hakika uko mbele ya macho yetu, na mtakase kwa kumsifu Mola wako Mlezi unapo sim ama (48) Na usiku pia mtakase, na zinapo kuchwa nyota (49)} Sadaqa Allah Al'3adhim [Atur].

{فَذَكِّرْ‌ فَمَا أَنتَ بِنِعْمَتِ رَ‌بِّكَ بِكَاهِنٍ وَلَا مَجْنُونٍ ﴿٢٩﴾ أَمْ يَقُولُونَ شَاعِرٌ‌ نَّتَرَ‌بَّصُ بِهِ رَ‌يْبَ الْمَنُونِ ﴿٣٠﴾ قُلْ تَرَ‌بَّصُوا فَإِنِّي مَعَكُم مِّنَ الْمُتَرَ‌بِّصِينَ ﴿٣١﴾ أَمْ تَأْمُرُ‌هُمْ أَحْلَامُهُم بِهَـٰذَا أَمْ هُمْ قَوْمٌ طَاغُونَ ﴿٣٢﴾ أَمْ يَقُولُونَ تَقَوَّلَهُ بَل لَّا يُؤْمِنُونَ ﴿٣٣﴾ فَلْيَأْتُوا بِحَدِيثٍ مِّثْلِهِ إِن كَانُوا صَادِقِينَ ﴿٣٤﴾ أَمْ خُلِقُوا مِنْ غَيْرِ‌ شَيْءٍ أَمْ هُمُ الْخَالِقُونَ ﴿٣٥﴾ أَمْ خَلَقُوا السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْ‌ضَ بَل لَّا يُوقِنُونَ ﴿٣٦﴾ أَمْ عِندَهُمْ خَزَائِنُ رَ‌بِّكَ أَمْ هُمُ الْمُصَيْطِرُ‌ونَ ﴿٣٧﴾ أَمْ لَهُمْ سُلَّمٌ يَسْتَمِعُونَ فِيهِ فَلْيَأْتِ مُسْتَمِعُهُم بِسُلْطَانٍ مُّبِينٍ ﴿٣٨﴾ أَمْ لَهُ الْبَنَاتُ وَلَكُمُ الْبَنُونَ ﴿٣٩﴾ أَمْ تَسْأَلُهُمْ أَجْرً‌ا فَهُم مِّن مَّغْرَ‌مٍ مُّثْقَلُونَ ﴿٤٠﴾ أَمْ عِندَهُمُ الْغَيْبُ فَهُمْ يَكْتُبُونَ ﴿٤١﴾ أَمْ يُرِ‌يدُونَ كَيْدًا فَالَّذِينَ كَفَرُ‌وا هُمُ الْمَكِيدُونَ ﴿٤٢﴾ أَمْ لَهُمْ إِلَـٰهٌ غَيْرُ‌ اللَّـهِ سُبْحَانَ اللَّـهِ عَمَّا يُشْرِ‌كُونَ ﴿٤٣﴾ وَإِن يَرَ‌وْا كِسْفًا مِّنَ السَّمَاءِ سَاقِطًا يَقُولُوا سَحَابٌ مَّرْ‌كُومٌ ﴿٤٤﴾ فَذَرْ‌هُمْ حَتَّىٰ يُلَاقُوا يَوْمَهُمُ الَّذِي فِيهِ يُصْعَقُونَ ﴿٤٥﴾ يَوْمَ لَا يُغْنِي عَنْهُمْ كَيْدُهُمْ شَيْئًا وَلَا هُمْ يُنصَرُ‌ونَ ﴿٤٦﴾ وَإِنَّ لِلَّذِينَ ظَلَمُوا عَذَابًا دُونَ ذَٰلِكَ وَلَـٰكِنَّ أَكْثَرَ‌هُمْ لَا يَعْلَمُونَ ﴿٤٧﴾ وَاصْبِرْ‌ لِحُكْمِ رَ‌بِّكَ فَإِنَّكَ بِأَعْيُنِنَا وَسَبِّحْ بِحَمْدِ رَ‌بِّكَ حِينَ تَقُومُ ﴿٤٨﴾ وَمِنَ اللَّيْلِ فَسَبِّحْهُ وَإِدْبَارَ‌ النُّجُومِ ﴿٤٩﴾}
صدق الله العظيم [الطور].
Basi ikiwa mtaweza enye ma3ashara ya mulhidina wasoamini Mungu na wao sio mulhidina wasoamini Mungu; Bali ni katika mashetani binadamu katika walinganizi wa kukufuru na kutoamini Mungu kwa kuwepo Allah kabisa kudumu na wanataka kusema kua hakika Allah sio kitu; Yani kwamaana hakuna uwepo wake! Na hivo ni kutoamini Mungu nayo ni kukanusha uwepo wa Allah, Na twakariri na twasema: Na je munaweza kuthibitisha kwa ushuhuda baini kua Allah Hakusudi kua Yeye ndi Kitu Ambae Ameumba kila kitu katika kauli Yake Ta3ala: {Au wao wameumbwa pasipo kutokana na kitu chochote, au ni wao ndio waumbaji (35) Au wao wameziumba mbingu na ardhi? Bali hawana na yakini (36)} Sadaqa Allah Al3adhim [Atur]?
{أَمْ خُلِقُوا مِنْ غَيْرِ‌ شَيْءٍ أَمْ هُمُ الْخَالِقُونَ ﴿٣٥﴾ أَمْ خَلَقُوا السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْ‌ضَ بَل لَّا يُوقِنُونَ ﴿٣٦﴾} صدق الله العظيم [الطور]؟

Na Anakusudia Allah Subhanahu kua Yeye ndio Kitu Ambae Amewaumba, Na kua Yeye ndio Kitu Ameumba mbingu na ardhi,, Na kua Yeye ndio kitu Anaedhibiti mbingu na ardhi, Na kua kila kitu kitaangamia ispokua ile kitu ambao Ameumba kila kitu, Na hakuna kitu mfano wake katika viumbe vake Subhanahu na Yeye Alie Ju Ambae ni Adhimu! Basi kiasi gani munaenda mbio usiku na mchana ili muvishe haki kwa batili na nyinyi mwajua, Basi fanyeni hila mutakavo weza hakika sisi tuko mbele yenu tunawavizia kwa idhini ya Allah Ambae ni Kitu Kubwa kuliko kila kitu, Kwakua Yeye ndio Mkubwa Kabisa hakuna mfano wake kitu Ametukuka! Na tafakarini katika sifa Zake na wala musitafakarini kwa uwepo wa dhati yake ndio mukufuru kwakua Allah Subhanahu ni Kitu hakuna mfano wake kitu inafanana nae katika viumbe vake, Kwahivo vipi mutaweza kufikiria kwa dhati Yake nae ni Kitu hakuna mfano wake kitu katika uwepo wote! Basi kuweni katika wanao shukuru.

Na wala asiwacheze akili zenu ma shetani binadamu wale ambae wanadhihirisha imani na wanaficha kufru basi wao hawafichiki kwetu na tunawajua katika kauli ya mazungumzo yao, Na hasbuna Allah ju ya mashetani wote majini na binadamu na hakika sisi ju yao tutawazidi nguvu na ju yao tutawashinda kwa idhini ya Allah Ambae Ni Kitu Amewaumba na wao kwa neema Yake wanakufuru na kwa dhati Yake wanakanusha Subhanahu kwa yale wanao mshirikisha Wa Ta3ala 3uluwan Kabiran.


Na huwenda akataka moja wao kunikatiza Aseme:"Ewe Nasser Muhammad, Una jambo gani basi asikhalifu mtu unayoitakidi ispokua utamsifu kua yeye shetani katika ma shetani watu katika wale ambao wanadhihirisha

imani na wanaficha ukafiri na hila ili wazuwie kuhusu ukumbusho?". Na kisha anawajibu ju yenu Al'Mahdi Al'Muntadhar Al'Imam Nasser Muhammad na nasema: Yule atakae kujiangusha katika tuhuma basi asijilaumu ila nafdi yake, Kwakua mimi nimewaona mwaenda mbio kukanusha uwepo wa Allah na munasema hakika kua Allah sio kitu Kiko! Kwahivo nyinyi munalingania kutoamini Mungu kuto kuwepo Allah na mwatoa fatwa kua Allah sio kitu Ambao iko; Yani kua Yeye hakuna uwepo wa Mola Mlezi Wa ulimwengu Subhanahu!


Na tayari sisi tumesmamisha ushuhuda ju yenu baini kua Allah yeye ni Kitu Ambae Amewaumba na Ameumba Mbingu na Ardhi Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{Au wao wameumbwa pasipo kutokana na kitu chochote, au ni wao ndio waumbaji (35) Au wao wameziumba mbingu na ardhi? Bali hawana na yakini (36)} Sadaqa Allah Al3adhim [Atur].
{أَمْ خُلِقُوا مِنْ غَيْرِ‌ شَيْءٍ أَمْ هُمُ الْخَالِقُونَ ﴿٣٥﴾ أَمْ خَلَقُوا السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْ‌ضَ بَل لَّا يُوقِنُونَ ﴿٣٦﴾} صدق الله العظيم [الطور].

Na Akasmamisha Allah Ju Yenu Hoja kwakua nyinyi mumejua kua nyinyi ni kitu kiko basi hapana budi kua iko Kitu imewaumba, Kwajili ya hivo Amesema Allah Ta3ala:
{Au wao wameumbwa pasipo kutokana na kitu chochote, au ni wao ndio waumbaji (35)} Sadaqa Allah Al3adhim.
{أَمْ خُلِقُوا مِنْ غَيْرِ شَيْءٍ أَمْ هُمُ الْخَالِقُونَ (35)} صدق الله العظيم.
Na hli ni suali kutoka kwa Allah kwa mulhidina wasio amini Mungu, Basi je inaingia akilini kua wao wameumbwa bila ya Kitu imewaumba? Na jibu ni hapana budi kua kuna Kitu imewaumba nae ni Allah Mumbaji Mjuzi, Subhanahu Wata3ala 3uluwan Kabiran! Na Je Hamuyakinishi uwepo wa Allah Subhanahu? Basi Hukumu ni ya Allah Atahukumu Baina Yetu Na Baina Yenu Kwa Haki Na Yeye Mwepesi Wa Kufanya Hisabu.

Na Salam Ju Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabil3alamin.
Milinganizi Wa Njia ilio Nyoma; Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
الداعي إلى صراطٍ مستقيمٍ؛ الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
______________

اقتباس المشاركة 145325 من موضوع الردّ الملجم بسلطان العلم على (الباحث عن البينة) الذي هو ذاته (الباحث عن الباطل)..

- 2 -
[ لمتابعة رابط المشاركـة الأصلية للبيـان ]
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?p=145319

الإمام ناصر محمد اليماني
02 - شعبان - 1435 هـ
31 - 05 - 2014 مـ
07:43 صباحاً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )
ـــــــــــــــ



الله هو الشيء الخالق لكلّ شيءٍ الذي ليس كمثله شيءٌ من خلقِه
وهو الشيءُ الأكبر من كلِّ شيءٍ وليس كمثله شيءٌ في ذاته، وهو السميع البصير وإليه المصير
..


بسم الله الرحمن الرحيم، والصلاة والسلام على كافة أنبياء الله ورسله وآلهم الأطهار وجميع أنصارهم الأخيار في كل زمانٍ ومكانٍ إلى اليوم الآخر، أما بعد..

ويا أيّها الملحدون الذين يريدون أن يجعلوا اللهَ لا شيئاً ولا وجود لذاته، سبحانه وتعالى علواً كبيراً! فهو الشيء الأول قبل الوجود وليس قبله شيءٌ، وذلكم الشيء الأول هو خالق الوجود، ولذلك قال الله تعالى:
{أَمْ خُلِقُوا مِنْ غَيْرِ شَيْءٍ أَمْ هُمُ الْخَالِقُونَ} صدق الله العظيم [الطور:35].

فما هو ذلك الشيء الذي خلقهم؟ والجواب: إنّه الشيءُ الأول ليس قبله شيءٌ سواه، وهو أوجد كلَّ شيءٍ وليس كمثله شيءٌ في خلقه أجمعين.
وأتحدّاكم يا معشر الملحدين أن تنكروا أنّ الله لا يقصد نفسه بقوله تعالى:
{أَمْ خُلِقُوا مِنْ غَيْرِ شَيْءٍ أَمْ هُمُ الْخَالِقُونَ} صدق الله العظيم؛ بمعنى أنّ لكلِّ فعلٍ فاعلٌ، فهل من المعقول أنّهم خُلقوا من غير شيءٍ خلقَهم؟ أم إنّهم هم الذين خَلَقوا أنفسَهم؟ فلا بدَّ من شيءٍ خلقهم، وهو الخلَّاق العليم ربّ السماوات والأرض وما بينهما وربّ العرش العظيم، هو الشيء الأول ليس قبله شيءٌ وليس كمثل شيءٍ في خلقه، فلا يفتنكم الملحدون في نفي وجودِ الله فيجعلونه لا شيئاً، سبحانه! فهم يقصدون أنّه لا وجود له وتلك عقيدة الملحدين ولذلك أنزل الله إليكم آياتٍ تجادلونهم بها، ومنها قول الله تعالى:
{فَذَكِّرْ‌ فَمَا أَنتَ بِنِعْمَتِ رَ‌بِّكَ بِكَاهِنٍ وَلَا مَجْنُونٍ ﴿
٢٩﴾ أَمْ يَقُولُونَ شَاعِرٌ‌ نَّتَرَ‌بَّصُ بِهِ رَ‌يْبَ الْمَنُونِ ﴿٣٠﴾ قُلْ تَرَ‌بَّصُوا فَإِنِّي مَعَكُم مِّنَ الْمُتَرَ‌بِّصِينَ ﴿٣١﴾ أَمْ تَأْمُرُ‌هُمْ أَحْلَامُهُم بِهَـٰذَا أَمْ هُمْ قَوْمٌ طَاغُونَ ﴿٣٢﴾ أَمْ يَقُولُونَ تَقَوَّلَهُ بَل لَّا يُؤْمِنُونَ ﴿٣٣﴾ فَلْيَأْتُوا بِحَدِيثٍ مِّثْلِهِ إِن كَانُوا صَادِقِينَ ﴿٣٤﴾ أَمْ خُلِقُوا مِنْ غَيْرِ‌ شَيْءٍ أَمْ هُمُ الْخَالِقُونَ ﴿٣٥﴾ أَمْ خَلَقُوا السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْ‌ضَ بَل لَّا يُوقِنُونَ ﴿٣٦﴾ أَمْ عِندَهُمْ خَزَائِنُ رَ‌بِّكَ أَمْ هُمُ الْمُصَيْطِرُ‌ونَ ﴿٣٧﴾ أَمْ لَهُمْ سُلَّمٌ يَسْتَمِعُونَ فِيهِ فَلْيَأْتِ مُسْتَمِعُهُم بِسُلْطَانٍ مُّبِينٍ ﴿٣٨﴾ أَمْ لَهُ الْبَنَاتُ وَلَكُمُ الْبَنُونَ ﴿٣٩﴾ أَمْ تَسْأَلُهُمْ أَجْرً‌ا فَهُم مِّن مَّغْرَ‌مٍ مُّثْقَلُونَ ﴿٤٠﴾ أَمْ عِندَهُمُ الْغَيْبُ فَهُمْ يَكْتُبُونَ ﴿٤١﴾ أَمْ يُرِ‌يدُونَ كَيْدًا فَالَّذِينَ كَفَرُ‌وا هُمُ الْمَكِيدُونَ ﴿٤٢﴾ أَمْ لَهُمْ إِلَـٰهٌ غَيْرُ‌ اللَّـهِ سُبْحَانَ اللَّـهِ عَمَّا يُشْرِ‌كُونَ ﴿٤٣﴾ وَإِن يَرَ‌وْا كِسْفًا مِّنَ السَّمَاءِ سَاقِطًا يَقُولُوا سَحَابٌ مَّرْ‌كُومٌ ﴿٤٤﴾ فَذَرْ‌هُمْ حَتَّىٰ يُلَاقُوا يَوْمَهُمُ الَّذِي فِيهِ يُصْعَقُونَ ﴿٤٥﴾ يَوْمَ لَا يُغْنِي عَنْهُمْ كَيْدُهُمْ شَيْئًا وَلَا هُمْ يُنصَرُ‌ونَ ﴿٤٦﴾ وَإِنَّ لِلَّذِينَ ظَلَمُوا عَذَابًا دُونَ ذَٰلِكَ وَلَـٰكِنَّ أَكْثَرَ‌هُمْ لَا يَعْلَمُونَ ﴿٤٧﴾ وَاصْبِرْ‌ لِحُكْمِ رَ‌بِّكَ فَإِنَّكَ بِأَعْيُنِنَا وَسَبِّحْ بِحَمْدِ رَ‌بِّكَ حِينَ تَقُومُ ﴿٤٨﴾ وَمِنَ اللَّيْلِ فَسَبِّحْهُ وَإِدْبَارَ‌ النُّجُومِ ﴿٤٩﴾}
صدق الله العظيم [الطور].

فإن استطعتم يا معشر الملحدين وهم ليسوا بملحدين؛ بل من شياطين البشر من الدعاة إلى الكفر والإلحاد بوجود الله نهائياً ويريدون أن يقولوا إنّ الله لا شيءَ؛ بمعنى لا وجودَ له! وذلك هو الإلحاد وهو نفي وجود الله، ونكرر ونقول: فهل تستطيعون الإثبات بالبرهان المبين أنّ الله لا يقصد أنّه الشيءُ خالقُ كلِّ شيءٍ في قوله تعالى:
{أَمْ خُلِقُوا مِنْ غَيْرِ‌ شَيْءٍ أَمْ هُمُ الْخَالِقُونَ ﴿٣٥﴾ أَمْ خَلَقُوا السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْ‌ضَ بَل لَّا يُوقِنُونَ ﴿٣٦﴾} صدق الله العظيم [الطور]؟

ويقصد الله سبحانه بأنّه الشيءُ الذي خلقهم، وأنّه الشيءُ الذي خلق السماوات والأرض، وأنه الشيءُ المسيطر على السماوات والأرض، وأنّ كلَّ شيءٍ هالكٌ إلا الشيءَ الذي خلق كلَّ شيءٍ، وليس كمثله شيءٌ مِنْ خلقِه سبحانه وهو العليُّ العظيم! فكم تسعَون الليل والنهار لتلبسوا الحقّ بالباطل وأنتم تعلمون، فامكروا كيفما تشاءون فنحن لكم بالمرصاد بإذن الله الشيء الأكبر من كلِّ شيءٍ، لكونه أكبرَ كبيرٍ ليس كمثله شيءٌ سبحانه! وتَفكَّروا في صفاته ولا تُفَكِّروا في ذاته فتكفروا لكون الله سبحانه شيءٌ ليس كمثله شيءٌ يشبهه في خلقه، إذاً كيف تستطيعون التَّفكر في ذاته وهو شيءٌ ليس كمثلِ شيءٍ في الوجود كله! فكونوا من الشاكرين.

ولا يستخفّن بعقولكم شياطينُ البشر الذين يظهرون الإيمان ويبطنون الكفر فإنهم لا يَخْفَون علينا ونعرفهم في لحن القول، وحسبنا الله على كافة شياطين الجنّ والإنس وإنّا فوقهم قاهرون وعليهم منتصرون بإذن الله الشيء الذي خلقهم وهم بنعمته يكفرون ولذاته منكرون سبحانه عمّا يشركون وتعالى علوَّاً كبيراً.

وربّما يودّ أحدهم أن يقاطعني فيقول: "يا ناصر محمد، ما خطبك فلا يخالف أحدٌ معتقدَك إلا وصفته بأنّه شيطانٌ من شياطين البشر من الذين يظهرون الإيمان ويبطنون الكفر والمكر للصدِّ عن الذِّكر؟". ومن ثمّ يردُّ عليكم المهديّ المنتظَر الإمام ناصر محمد وأقول: من أوقع نفسه في شبهةٍ فلا يلومنَّ إلا نفسَه، لكوني رأيتُكم تسعون إلى نفي وجود الله وتقولون إنّ الله ليس شيئاً موجوداً! إذاً فأنتم تَدْعون إلى الإلحاد بوجود الله وتُفْتون إنّ الله ليس شيئاً موجوداً؛ بمعنى أنّه لا وجود لربِّ العالمين سبحانه!

وها نحن أقمنا عليكم بالبرهان المبين أنّ الله هو الشيء الذي خلقكم وخلق السماوات والأرض. تصديقاً لقول الله تعالى:
{أَمْ خُلِقُوا مِنْ غَيْرِ‌ شَيْءٍ أَمْ هُمُ الْخَالِقُونَ ﴿٣٥﴾ أَمْ خَلَقُوا السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْ‌ضَ بَل لَّا يُوقِنُونَ ﴿٣٦﴾} صدق الله العظيم [الطور].

وأقام الله عليكم الحجّة لكونكم قد علمتم أنّكم شيءٌ موجودٌ فلا بدّ أنَّ هناك شيئاً خلقكم، ولذلك قال الله تعالى:
{أَمْ خُلِقُوا مِنْ غَيْرِ شَيْءٍ أَمْ هُمُ الْخَالِقُونَ (35)} صدق الله العظيم. وهذا سؤال من الله إلى الملحدين، فهل من المعقول أنّهم خُلِقوا من غيرِ شيءٍ خلَقَهُم؟ والجواب هو لا بدّ أنَّ هناك شيئاً خلقهم وهو الله الخلّاق العليم، سبحانه وتعالى علوَّاً كبيراً! فهل لا توقنون بوجود الله سبحانه؟ فالحكمُ لله يحكم بيننا وبينكم بالحقّ وهو أسرع الحاسبين.

وسلامٌ على المرسلين، والحمد لله ربِّ العالمين..
الداعي إلى صراطٍ مستقيمٍ؛ الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
__________________

اضغط هنا لقراءة البيان المقتبس..