Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
09 - 10 - 1429 هـ
10 - 10 2008 مـ
09:35 مساءً
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?1159

ـــــــــــــــــــ


طلوع الشّمس من مغربها فهذا لن يحدث إلا حين مرور كوكب العذاب ..
Kutokezea Jua Upande Wa Magharibi Yake Basi Hilo Halitotokea ila Wakati Wa Kupita Sayari Ya Adhabu ..


Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Sala Na Salam Ju Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabil3alamin..


Ndugu Mkarimu, Kuhusu Sayari Ya Adhabu imetangulia kua tumeifafanua kutoka kwa Al'Quran ufafanuzi mkubwa kwenye mazungumzo ya ki iftiradhi ya ulimwengu kutoka mwanzo wa dunia mpaka mwisho, Ama kuhusu Kutokezea Jua Upande Wa Magharibi Yake Basi Hilo Halitotokea ila Wakati Wa Kupita Sayari Ya Adhabu ndio itarejesha muzunguko wa ardhi ndio jua litatokeza mgharibi yake, Na ama siku ya kukaribia kwake imekua karibu na ardhi tayari na imeanza mvutano nayo ju ya kutulia kwa ardhi lakini nyinyi in sha Allah mutaiona kabla haijawajia, Na mwanzo wa kutokezea kwake in sha Allah itadhihiri kwa watu upande wa ju uapande wa Pole ya Kaskazini haswa katika ufalme wa kiarabu saudia na Yemen wataiona ju upande wa Pole ya Kaskazini kama kwamba jua lipya kama Alivo nionesha Allaah hi ndoto ya haki na nataraji Aitimize kwasababu ni kuokowa waislamu kua waone sayari kabla ya kufika kwake katika mbingu ya dunia huwenda wakawa na yakini. Na ama wakati wa kukaribia ili ipite karibu na ardhi yenu basi hakika Amenionesha Allah sayari nyekundu kama kwamba ni kaa la moto imekurubia kwa upande wa Pole Kusini, Ama kuchagu siku ya kuja kwake haswa sikuona inawafa waislamu kwajili wao watangoja imani yao ju yangu mpaka ije siku hio na hilo ndio kosa kubwa, Na Akitaka Allah kua niwabainishie wao lini siku ya kufikilia kwake kulingana na siku yao ya ki ardhi, Basi mimi nawachw Amri kwa Allah na Kwake yanarudi mambo.


Na Amakuhusu swala. Amesema Allah Ta3ala:
{ hakika Sala kwa Waumini ni faradhi iliyo wekewa nyakati maalumu } Sadaqa Allah Al3adhim [Anisaa:103].
{إِنَّ الصَّلاةَ كَانَتْ عَلَى الْمُؤْمِنِينَ كِتَابًا مَوْقُوتًا} صدق الله العظيم
[النساء:103].


Na swala bora katika daraja ni katika misikiti kwa wakati wake. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ Katika Nyumba ambazo Mwenyezi Mungu ameamrisha zitukuzwe, na humo litajwe jina lake, wanamtakasa humo asubuhi na jioni (36) Watu ambao biashara wala kuuza hakuwashughulishi na kumdhukuru Mwenyezi Mungu, na kushika Sala, na kutoa Zaka. Wanaikhofu Siku ambayo nyoyo na macho yatageuka (37)} Sadaqa Allah Al3adhim [Anur].
{فِي بُيُوتٍ أَذِنَ اللَّـهُ أَن تُرْفَعَ وَيُذْكَرَ فِيهَا اسْمُهُ يُسَبِّحُ لَهُ فِيهَا بِالْغُدُوِّ وَالْآصَالِ ﴿٣٦﴾ رِجَالٌ لَّا تُلْهِيهِمْ تِجَارَةٌ وَلَا بَيْعٌ عَن ذِكْرِ اللَّـهِ وَإِقَامِ الصَّلَاةِ وَإِيتَاءِ الزَّكَاةِ ۙيَخَافُونَ يَوْمًا تَتَقَلَّبُ فِيهِ الْقُلُوبُ وَالْأَبْصَارُ ﴿٣٧﴾} صدق الله العظيم [النور].


Ama Kuhusu Nyimbo basi ni upuzi lakini hilo inategemea maneno ya ki shairi kwenye kaseti, ikiwa ni ya kutongoza basi nayo ni fitna kwa waumini basi kaseti kama hizo ni makruhu, Na huwenda msichana akanguka kwenye tendo la fahisha kwa sababu ya kua moja katika wavlana amempa msichana kaseti ya nyimbo akamwambia kua yale yaliomo ndani ya kaseti hi inazungumzia navo sikia ju yake, Kisha aisikize na aisikize ....... Na wanamdangaya kwa kauli yao kua ni mrembo, Na hizo kaseti ni katika hatua za shetani, Na ama katika kaseti hazina fitna na kupandisha mapenzi basi sioni ndani yake makruhu, Na bora yao ambazo ndani yake kuna utajo wa Allah na kuimba kwa kutaja Allah.


Ndugu Yenu Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
أخوكم الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني
_______