Nini Ni Ushuhuda Ambao Kutokana Nayo Anakua Na Yakini Mumini Kua Yeye Ni Katika Kaumu Anawapenda Allah Na Wanampenda?
Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani

الإمام ناصر محمد اليماني
03 - 12 - 1436 هـ


16 - 09 - 2015 مـ


08:41 صباحاً

ــــــــــــــــــــــما هو البرهان الذي من خلاله يوقن المؤمن أنّه من قومٍ يحبّهم الله ويحبّونه
؟

Nini Ni Ushuhuda Ambao Kutokana Nayo Anakua Na Yakini Mumini Kua Yeye Ni Katika Kaumu Anawapenda Allah Na Wanampenda?
Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Sala Na Salam Ju Ya Wote Ma Nabi Na Mitume Na Waumini Wote Katika Kila Zama Na Pahala Mpaka Siku Ya Hisabu, Ama Baada Ya Hapo..

Salamu Za Allah Ju Yenu Wa Rahmatuhu Wa Barakatuhu, Salam Ju Yetu Na Ju Ya Waja Wa Allah Wema..Na Suali Ambalo Lajiweka Lenyewe Ni: Nini ni ushuhuda ambao kutokana nayo anakua na yakini mumini kua yeye ni katika kaumu Anawapenda Allah na wanampenda? Na jibu kwa haki ni:

[[ Yule Anae Mpenda Allah Kuliko Pepo Yake; Wallahi Yule Ambae Ameumumba Mtu Kutokana na udongo na Akawafanya malaika Wake walio kurubishwa wamsujudie kwamba atakae mpenda Allah kuliko pepo ya neema na mahurileni na wildan wa milele basi hakika yeye hatoridhika mpaka Awe Mola Mlezi Wake Radhi Ndani Ya Nafsi Yake Hana Majuto Wala Huzuni na pamoja yakwamba uwadhimu wa mapenzi ya walio kurubishwa kwa Mola Mlezi wao lakini wao hawakujua uwadhimu wa majuto na maskitiko Ya Mpendwa wao Allah Mwenye Huruma Kuliko Wenye Huruma Wote katika Nafsi Yake, Kwajili Ya hivo wameridhika na neema ya pepo yake]]Eee Hakika Fadhla Ya Allah Kwa Kutumiliza Al'Imam Al'Mahdi Kwa Umma Hu ilikua Ni Adhimu.

Na Salam Ju Ya Mitume, Na Al'Hamdulillah Rabil3alamin..

Ndugu Yenu; Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.


وسلامٌ على المرسلين، والحمد لله ربّ العالمين..
أخوكم؛ الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
___________