Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
14 - 03 - 1430 هـ
11 - 03 - 2009 مـ
02:41 صباحاً
https://www.mahdialumma.com/showthread.php?t=1209

ـــــــــــــــــ


{ إِنَّمَا أَمْوَالُكُمْ وَأَوْلَادُكُمْ فِتْنَةٌ ۚ وَاللَّـهُ عِندَهُ أَجْرٌ عَظِيمٌ ﴿١٥﴾ }
{ ispokua mali yenu na watoto wenu ni fitna na Allah Anayo Ujira Mkubwa (15)}
وصدق الشاعر الذي يقول:
الأمّ مدرسة إذا أعددتها أعددت شعباً طيب الأعراق ..


Na Amesema Ukweli Mshairi Ambae Anasema Mama Ni Madrasa Pindi Ukimwanda Ataanda Watu Wenye Sifa Mzuri Mno ..


Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Sala Na Salam Ju Alio Khitimisha Ma Nabi Na Mitume Na Walio Fwata Haki Mpaka Siku Ya Hisabu, Ama Baada Ya Hapo..


Kwa Kila taa inao angaza na mwezi ulio kamilika ambao ni mzuri katika ma anssar wote walio tangulia walio bora, Ispokua Amewafanya munanukulu kutokana na nuru ya haki ili muangazie njia ya watu wengine kwenye ma giza hawajuwi kwa haki kutoka kwa Mola Mlezi wao basi wao wako kwenye ma giza hawoni, Basi awe mwanamume katika nyinyi kwenye kikao chake ni mwangaza inao ngara kwa wale waliko na yeye na awafundishe na awafafanulie wao yale alio nukulu kutokana na nuru ya haki na kauli ya kupambanua wala si Mzaha, Na hivo hivo ma anssar wanawake basi awe kama mwezi ulio kamili ambao ni mzuri ambao unaangaza njia basi wawangazie njia za marafiki zao na familia yao na mamazao na wawaeleze yale walio nukulu katika nuru ya haki, Na ilimu ni nuru lakini mimi sioni nashati nyingi!


Wala si kusudi kwa mwezi ulio mzuri ni uzuri wenu; Bali mwezi unao angazia njia ndio muwangazie nyoyo za ma dada zenu na ma shangazi zenu na ma khalati zenu na waschana wenu na watoto wa kiume wenu.
Na Amesema Ukweli Mshairi Ambae Anasema: Mama Ni Madrasa Pindi Ukimwanda Ataanda Watu Wenye Sifa Mzuri Mno ..


Na Hivo hivo Amewamuru Allah Nyinyi wanawake kwa kuwatii waume zenu na akawaeleza nyinyi Muhammad Mtume Wa Allah - Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam - Kua Yeye ameona katika moto wengi wenu kwa sababu ya kukufuru kwenu kwa matagamano na kukanusha ihsani yake pindi asipo timiza siku moja mahitaji munasahau ihsani yake ya kitambo. Basi kuweni kwenye mstari wa mbele katika wema, Na inamisheni macho yenu, Na muhifadhi uchi wenu, Na hivo hivo muwale watoto wenu kwa uchaji na kumogopa Allah, Na hakika nitawambia kauli yenye kufikisha kwa duaa muiseme kila mwenye ame beba mimba kati yenu kila baada ya swala:
{رَبِّ إِنِّي نَذَرْتُ لَكَ مَا فِي بَطْنِي مُحَرَّرًا فَتَقَبَّلْ مِنِّي ۖ إِنَّكَ أَنتَ السَّمِيعُ الْعَلِيمُ} صدق الله العظيم [آل عمران:35].
{ Mola wangu Mlezi! Nimekuwekea nadhiri kilichomo tumboni mwangu kuwa wakfu; basi nikubalie. Hakika Wewe ndiye Mwenye kusikia na Mwenye kujua } Sadaqa Allah Al3adhim [Alimran:35].


Ama wadhani dadangu ispokua Allah Amemwitika Mke wa imran? Bali Anawajibu nyinyi pia ikiwa mwanamke anataka kuza watoto wema ili awafanye wafae uwislamu na waislamu basi linakua hilo ni lengo katika maisha kuhusu mwanamke na mwnamume waseme:
{رَبَّنَا هَبْ لَنَا مِنْ أَزْوَاجِنَا وَذُرِّيَّاتِنَا قُرَّةَ أَعْيُنٍ وَاجْعَلْنَا لِلْمُتَّقِينَ إِمَامًا}[الفرقان:74].
{ Mola wetu Mlezi! Tupe katika wake zetu na wenetu yaburudishayo macho, na utujaalie tuwe waongozi kwa wachamngu } [Alfurqan:74].


La kama sio hivo basi nyinyi muko kwenye batili, Na hivo ni kwajili ispokua watoto na mali ni fitna kwenu, Je munazitamani kwajili ya Allah na nyumba ya akhera ama kwajili ya maisha ya dunia na pambo lake? Na kwajili ya hivo Amesema Allah Ta3ala:
{إِنَّمَا أَمْوَالُكُمْ وَأَوْلَادُكُمْ فِتْنَةٌ ۚ وَاللَّـهُ عِندَهُ أَجْرٌ عَظِيمٌ ﴿١٥﴾} صدق الله العظيم [التغابن].
{ { ispokua mali yenu na watoto wenu ni fitna na Allah Anayo Ujira Mkubwa (15)} Sadaqa Allah Al3adhim [Altaghabun].


Basi lengo ambalo mwaitakia mali na watoto kwa jili yake basi iwe ni kwa ajili ya Allah na muwe wakweli kwa Allah Atawasadiki, Na Salam ju yenu na Rahma Yake kutoka Kwake Na Baraka Zake ju ya ma anssar wangu wote, Basi hakika mimi nawapenda nyote kwajili ya Allah, Na nyinyi mutakua wakuwekwa mbele na kutukuzwa na kukirimuwa baada ya kudhirika; Bali nyinyi ndio watu ambao haitarudi kwetu umbi lenu kabisa ile ambao haimghadhibishi Allah, Awabari


ki Allah na katika watoto wenu na kwenye mali yenu na katika kizazi chenu chote enye ma anssar walio kirimiwa walio tangulia walio bora, Na Afunguwe Allah kwenu milango ya fadhila Yake na Rahma Yake, Subirini na mujisubirishe na mujifunge na mumche Allah na mufikishe kutoka kwa imamu wenu kwa kila njia na mbinu.


Na ewe dadangu ambae una ghera ju ya uwislamu hakika tumedhani ju yenu kheri nyengi basi usiskitike wala usihuzunike hakika umebalighisha amana yako na umejitoa dhima yako lakini haijengwi katika kuona ndoto hukumu katika sharia kwa umma ispokua kuona inamhusu mwenye kuona na ni mawaidha kwake; Bali jifundishe ilimu kutokana na Bayana ya haki ili uhoji kwa Bayana ya haki ya Al'Quran, Basi kiasi gani imenipendeza ufwasaha wa ulimi wako na nguvu ya Bayana yako mwanzo wa jambo, Akuzidishe Allah ilimu na nuru na wote ma anssar kabla yako walio tangulia walio bora na Aunganishe Allah nyoyo zenu wapendwa wangu kwa Allah nyote, Na Amewapenda Allah na Amewakurubisha enyi Wapendwa wa Allah enyi mulio sadikisha haki kutoka kwa Mola Mlezi wenu. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا مَن يَرْتَدَّ مِنكُمْ عَن دِينِهِ فَسَوْفَ يَأْتِي اللَّـهُ بِقَوْمٍ يُحِبُّهُمْ وَيُحِبُّونَهُ أَذِلَّةٍ عَلَى الْمُؤْمِنِينَ أَعِزَّةٍ عَلَى الْكَافِرِينَ يُجَاهِدُونَ فِي سَبِيلِ اللَّـهِ وَلَا يَخَافُونَ لَوْمَةَ لَائِمٍ ۚ ذَٰلِكَ فَضْلُ اللَّـهِ يُؤْتِيهِ مَن يَشَاءُ ۚ وَاللَّـهُ وَاسِعٌ عَلِيمٌ ﴿٥٤﴾} صدق الله العظيم [المائدة].
{ Enyi mlio amini! Atakaye iacha miongoni mwenu Dini yake, basi Mwenyezi Mungu atakuja leta watu anao wapenda nao wanampenda, wanyenyekevu kwa Waumini na wenye nguvu juu ya makafiri, wanapigania Jihadi katika Njia ya Mwenyezi Mungu, wala hawaogopi lawama ya anaye laumu. Hiyo ndiyo fadhila ya Mwenyezi Mungu, humpa amtakaye. Na Mwenyezi Mungu ni Mkunjufu na Mwenye kujua (54)} Sadaqa Allah Al3adhim [Almaida].


Ndugu Yenu Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
أخوكم الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
ــــــــــــــــــــــ

اقتباس المشاركة: 4280 من الموضوع: { إِنَّمَا أَمْوَالُكُمْ وَأَوْلَادُكُمْ فِتْنَةٌ ۚ وَاللَّـهُ عِندَهُ أَجْرٌ عَظِيمٌ ﴿١٥﴾ } وصدق الشاعر الذي يقول: الأمّ مدرسة إذا أعددتها أعددت شعباً طيب الأعراق ..


الإمام ناصر محمد اليماني
14 - 03 - 1430 هـ
11 - 03 - 2009 مـ
02:41 صباحاً
ـــــــــــــــــ{ إِنَّمَا أَمْوَالُكُمْ وَأَوْلَادُكُمْ فِتْنَةٌ ۚ وَاللَّـهُ عِندَهُ أَجْرٌ عَظِيمٌ ﴿١٥﴾ }

وصدق الشاعر الذي يقول:
الأمّ مدرسة إذا أعددتها أعددت شعباً طيب الأعراق ..


بسم الله الرحمن الرحيم، والصلاة والسلام على خاتم الأنبياء والمرسلين والتابعين للحقّ إلى يوم الدين، وبعد..

إلى كلّ سراجٍ منيرٍ وبدرٍ جميلٍ من كافة الأنصار السابقين الأخيار، إنّما جعلكم تقتبسون من النّور الحقّ لتنيروا دروب أناس آخرين في ظُلمات لا يعلمون بالحقّ من ربّهم فهم في ظلمات يعمهون، فليكن الرجل فيكم في مجلسه سراجاً منيراً لمن حوله ويعلِّمهم ويشرح لهم ما اقتبس من النّور الحقّ والقول الفصل وما هو بالهزل، وكذلك الأنصار الإناث فلتكن كالبدر الجميل الذي يضيء الدروب فيُنِرْنَ دروب صديقاتهن وأهلهن وأمهاتهن ويشرحن لهن مما اقتبسن من نور الحقّ، والعلمُ نورٌ ولكنّي لا أرى لكنّ نشاطاً كثيراً!

ولا أقصد بالبدر الجميل جمالكن؛ بل القمر المنير للدروب فتنِرن قلوب أخواتكن وعماتكن وخالاتكن وبناتكن وأولادكن. وصدق الشاعر الذي يقول: الأم مدرسةٌ إذا أعددتَها أعددت شعباً طيّب الأعراق.

وكذلك أمركن الله بطاعة أزواجكن وأخبركن محمد رسول الله - صلّى الله عليه وآله وسلّم - أنّه شاهد في النار أكثركُن بسبب كفركُن للعشير وإنكار إحسانِه إن قصّر يوماً ما نسيتُن إحسانه القديم. فكنَّ أهلاً للمعروف، واغضضن من أبصاركن، واحفظن فروجكن، وكذلك تربِين أولادكن على التقوى ومخافة الله، وسوف أقول لكنّ قولاً بليغاً بدعوة تقولها كلّ ذات حمل منكنّ دُبر كلّ صلاة: {رَبِّ إِنِّي نَذَرْتُ لَكَ مَا فِي بَطْنِي مُحَرَّرًا فَتَقَبَّلْ مِنِّي ۖ إِنَّكَ أَنتَ السَّمِيعُ الْعَلِيمُ} صدق الله العظيم [آل عمران:35].

أم تظنين إنّما أجاب الله امرأة عمران؟ بل كذلك يجيبكن إذا كانت المرأة تريد أن تنجب أولاداً صالحين لتنفع بهم الإسلام والمسلمين فيكون ذلك هدفاً في الحياة بالنسبة للمرأة والرجل فيقولون: {رَبَّنَا هَبْ لَنَا مِنْ أَزْوَاجِنَا وَذُرِّيَّاتِنَا قُرَّةَ أَعْيُنٍ وَاجْعَلْنَا لِلْمُتَّقِينَ إِمَامًا} [الفرقان:74].

ما لم ذلك فأنتم على باطل، وذلك إنّما الأولاد والأموال فتنة لكم، هل تتمنّوها من أجل الله والدار الآخرة أم من أجل الحياة الدنيا وزينتها؟ ولذلك قال الله تعالى: {إِنَّمَا أَمْوَالُكُمْ وَأَوْلَادُكُمْ فِتْنَةٌ ۚ وَاللَّـهُ عِندَهُ أَجْرٌ عَظِيمٌ ﴿١٥﴾} صدق الله العظيم [التغابن].

فالهدف الذي تريدون الأموال والأولاد من أجله فليكن من أجل الله وأصدقوا الله يصدقكم، وسلامُ الله عليكم ورحمة منه وبركاته على كافة أنصاري، فإنّي أحبكم جميعاً في الله، ولكم الدلال والتقدير والتكريم من بعد الظهور؛ بل أنتم القوم الذين لا يُردّ لهم لدينا طلبٌ أبداً ما لم يُغضب الله، بارك الله فيكم وفي أولادكم وأموالكم وفي ذرياتكم أجمعين أيّها الأنصار المكرمين السابقين الأخيار، وفتح الله عليكم أبواب فضله ورحمته، اصبروا وصابروا ورابطوا واتّقوا الله وبلِّغوا عن إمامكم بكل حيلةٍ ووسيلةٍ.

ويا أيتها الغيورة على الإسلام لقد ظننا فيكم خيراً كثيراً فلا تهني ولا تحزني فقد بلّغتِ أمانتك وبرّأتِ ذمتك ولكنّه لا يُبنى على الرؤيا حكمٌ شرعيٌّ للأمّة إنّما الرؤيا تخصُّ صاحبها وموعظة له؛ بل تعلّمي العلم بالبيان الحقّ لتُحاجي بالبيان الحقّ للقرآن، فكم أعجبني فصاحة لسانك وقوة بيانك بادئ الأمر، زادك الله علماً ونوراً وكافة الأنصار من قبلك السابقين الأخيار وألّف الله بين قلوبكم أحبّتي في الله جميعاً، وأحبكم الله وقربكم يا أحباب الله يا من صدّقتم بالحقّ من ربّكم. تصديقاً لقول الله تعالى: {يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا مَن يَرْتَدَّ مِنكُمْ عَن دِينِهِ فَسَوْفَ يَأْتِي اللَّـهُ بِقَوْمٍ يُحِبُّهُمْ وَيُحِبُّونَهُ أَذِلَّةٍ عَلَى الْمُؤْمِنِينَ أَعِزَّةٍ عَلَى الْكَافِرِينَ يُجَاهِدُونَ فِي سَبِيلِ اللَّـهِ وَلَا يَخَافُونَ لَوْمَةَ لَائِمٍ ۚ ذَٰلِكَ فَضْلُ اللَّـهِ يُؤْتِيهِ مَن يَشَاءُ ۚ وَاللَّـهُ وَاسِعٌ عَلِيمٌ ﴿٥٤﴾} صدق الله العظيم [المائدة].

أخوكم الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.