النتائج 1 إلى 1 من 1

الموضوع: Tangazo La Mshangao Mkuu Kwa Wote Wanadamu Kwa Yule Atakae Miongoni Mwao Awe Ata’tangulia Ama Achelewe, Na Jambo Ni La Allah Al’Wa7hid Al’Qahar ..

 1. smiling face Tangazo La Mshangao Mkuu Kwa Wote Wanadamu Kwa Yule Atakae Miongoni Mwao Awe Ata’tangulia Ama Achelewe, Na Jambo Ni La Allah Al’Wa7hid Al’Qahar ..

  Tangazo La Mshangao Mkuu Kwa Wote Wanadamu Kwa Yule Atakae Miongoni Mwao Awe Ata’tangulia Ama Achelewe, Na Jambo Ni La Allah Al’Wa7hid Al’Qahar ..

  الإمام ناصر محمد اليماني
  12 - شعبان - 1439 هـ
  28 - 04 - 2018 مـ
  11:30 صباحاً
  ( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )
  https://www.mahdialumma.com/showthread.php?t=34717
  ____________________

  إعلان مفاجأةٌ كبرى إلى كافة البشر لمن شاء منهم أن يتقدّم أو يتأخّر، والأمر لله الواحد القهار ..
  Tangazo La Mshangao Mkuu Kwa Wote Wanadamu Kwa Yule Atakae Miongoni Mwao Awe Ata’tangulia Ama Achelewe, Na Jambo Ni La Allah Al’Wa7hid Al’Qahar ..

  Bismillah Al’Rahman Al’Rahim, Na Sala Na Salam Juu Ya Wote Ma Nabi Na Mitume Kutoka Wa Mwanzo Wao Mpaka Khatimu Wao Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Juu Yake Na Juu Yao Wote, Hatutafautishi Baina Ya Moja Katika Mitume Wake Na Sisi Kwake Waislamu, Na Sala Na Salam Juu Ya kila Ambae Imebainika Kwake Haki Akaifwata Katika Wa Mwanzo Na Wa Mwisho Na Walioko Katika Anga Za Juu Mpaka Siku Ya Dini, Ama Baada Ya Hapo..

  Na Enyi Ma3ashara ya waislamu miongoni mwao na makafiri, Natoa Qasam Kwa Allah Al’Wa7hid Al’Qahar Kwamba atakae kukadhibisha kwa utawala wa ilimu yangu basi hakika yeye hajam’kadhibisha Al’Mahdi Al’Muntadhar Nasser Muhammad Al’Yamani Kitu; Bali ame’kadhibisha maneno Ya Allah katika Muhakam ilio wazi maana yake Al’Quran Al3adhim na ame’kadhibisha kwa ma hadithi ya kweli ambao imetamka ulimi wa alio khitimisha ma Nabi na Mitume Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi walio wazuri kati yao na wote waumini na usalim tasliman.

  Na Enyi Watu, Musingoje kusadikisha Kwenu kwa mlinganizi wa haki kutoka kwa Mola Mlezi wenu mpaka wamsadiki wote waislamu, Kwakua haikubaki katika uwislamu ila jina lake na katika Al’Quran ispokua mandishi yake mbele yao; Bali wamefwata waislamu wa leo yale yanao khalifu Maneno Ya Allah kwenye Muhakam ya kitabu chake na yale yanao khalifu Sunna ya Bayana katika ma Hadithi ya Muhammad Mtume Wa Allah; Bali imekuwa mfano wa waislamu kama mfano wa ma’yahudi na ma’Nasara wanona nafsi zao kwamba wako kwa kitu na wao hawako kwa kitu sio waislamu wala ma’yahudi wala ma’nasara ispokua alio rehemewa na Mola Mlezi wangu katika wale ambao imebainika kwao njia ya haki wakaifwata na haikuwachukua utukufu kwa dhambi, Na Hivo hivo atakae sema katika zama za mazungumzo kabla ya kudhihiri:” Astaghfiru Allah Al3adhim Wa Audhu billah min Ashetani arajim kwamba inichukua utukufu kwa dhambi, Basi nani atanikinga kutokana na adhabu ya jahim wakati ikibainika kwangu njia ilio nyoka kulekea kwa Mola Mlezi wangu na sikufwata njia ya haki kulekea kwa Mola Mlezi wangu? Hakika Mola Mlezi wangu Yuko katika njia ilio nyoka, Basi nini baada ya haki ispokua ni upotevu”.
  Basi hawo Anawaswalia Allah juu Yao Na Malaika Wake Na Al’Mahdi Al’Muntadhar wa usalim tasliman. Basi kuweni miongoni mwao enyi ma3ashara ya waislamu na ma nasara na ma yahudi na watu wote bora kwenu, Basi hakika mukikata kuwa katika ma Ansar Wa Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani katika zama za Mazungumzo Kabla ya kudhihiri na kumakinishwa katika ardhi kwa ishara ya adhabu chungu basi juweni kwamba nyinyi mumekata kwamba muwe katika ma Ansar wa Allah na Mtume Wake Muhammad Sala Allahu Aleyhi Wa Salam, Na jee Atamtumiliza Allah mja wake na Khalifa wake Al’Mahdi Al’Muntadhar Nasser Muhammad Al’Yamani ispokua ni “Nasseran Li Muhammad” Munusura Wa Muhammad Mtume Wa Allah Na ni mnusura wa yote ambao walio kuja nayo Ma Nabi Wa Allah wote kwamba musi’abudu ispokua Allah na wala msimshirikishe nae kitu na wala musiwafanye ma Nabi na Mitume na Al’Mahdi Al’Muntadhar Ni miungu mbali na Allah ndio Awalani Allah Laana kuu na atawafikisha motoni na wala hamutopata kwenu mbali na Allah Rafiki wala Mwenye kuwasaidia?

  Na labda huwenda wakataka wote wanazuoni wa waislamu na wafalme wao na ma amiri wao na ma raisi wao kusema:” Ewe Nasser Muhammad Al’Yamani Hakika umetutisha ewe mwanamume, Basi nini kilio tokea? Basi eleza katika maudhui kwa ufupi ewe Nasser Muhammad Al’Yamani, Na utuzidishe ilimu vipi litafikilia jua Lipate mwezi”. Na Alafu Anarudisha Jibu kwenu Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammd Al’Yamani Na Nasema: Musikubali tena musikubali tena musikubali kwamba muniamini mimi ni Al’Mahdi Al’Muntadhar Nasser Muhammd Al’Yamani ikiwa nitawambia nyinyi yale ambao haja’Yasema Allah Na aalio Khitimisha Ma Nabi Muhmmad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Salam, Basi Hajanitumiliza Allah Kw Wa7hyu Mpya kwenu ispokua ni kuwakumbusha Yale Alio Yasema Allah Na Mtume Wake, Basi atakae kunisadiki basi amemsadiki Allah Na Mtume Wake Na Atakae Kunikadhibu basi Amemkadhibu Allah Na Mtume Wake Na mashukio yake jahanam na maovu mno pa kushukia.

  Na enyi ma3ashara ya waislamu na watu wote, Na jee munadhani kwamba maisha ya dunia haina mwisho? Na jee munadhani kwamba halitofika jua kwa mwezi na wala haito’tangulia usiku mchana mpKa haina mwisho? Muna nini mwahukumu vipi! Na ndio hakika ya jua halitakiwi kwake lifikie mwezi ndio uzaliwe mwandamo mpya kabla ya kusuf ndio ikutane nae jua nayo ni mwandao mpya “ Hilal”, Na wala haitakiwi kwamba usiku utangulie mchana ndio iwe magharibi ni mashariki na mashariki ni magharibi kutoka Aumbe Allah Mbingu na Ardhi Basi haitakiwi jua lifikie mwezi wala usiku utangulie mchana Mpaka uwingie umri wa maisha ya Dunia katika zama za masharti
  makuu ya kiyama ndio izaliwe mwandamo mpya kabla ya kusuf “Eclipse” ndio ikutane nae jua nao ni “Hilal”, Basi hapo inakuja kusadikisha kiapo katika Muhakam ilio wazi maana yake Al’Quran Al3adhim Kwenye Kauli Ya Allah Ta3ala:
  {وَالشَّمْسِ وَضُحَاهَا ﴿١﴾ وَالْقَمَرِ إِذَا تَلَاهَا ﴿٢﴾ وَالنَّهَارِ إِذَا جَلَّاهَا ﴿٣﴾ وَاللَّيْلِ إِذَا يَغْشَاهَا ﴿٤﴾ وَالسَّمَاءِ وَمَا بَنَاهَا ﴿٥﴾ وَالْأَرْضِ وَمَا طَحَاهَا ﴿٦﴾ وَنَفْسٍ وَمَا سَوَّاهَا ﴿٧﴾ فَأَلْهَمَهَا فُجُورَهَا وَتَقْوَاهَا ﴿٨﴾ قَدْ أَفْلَحَ مَن زَكَّاهَا ﴿٩﴾ وَقَدْ خَابَ مَن دَسَّاهَا ﴿١٠﴾} صدق الله العظيم [الشمس].
  Allah Ta3ala Asema:
  {Naapa kwa jua na mwangaza wake (1) Na kwa mwezi unapo lifuatia (2) Na kwa mchana unapo lidhihirisha (3) Na kwa usiku unapo lifunika (4) Na kwa mbingu na kwa aliye ijenga (5) Na kwa ardhi na kwa aliye itandaza (6) Na kwa nafsi na kwa aliye itengeneza (7) Kisha akaifahamisha uovu wake na wema wake (8) Hakika amefanikiwa aliye itakasa (9) Na hakika amekhasiri aliye iviza (10)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alshams].
  Na Akasema Allah Ta3ala:
  {قُل لَّا أَمْلِكُ لِنَفْسِي نَفْعًا وَلَا ضَرًّا إِلَّا مَا شَاءَ اللَّـهُ ۚ وَلَوْ كُنتُ أَعْلَمُ الْغَيْبَ لَاسْتَكْثَرْتُ مِنَ الْخَيْرِ وَمَا مَسَّنِيَ السُّوءُ ۚ إِنْ أَنَا إِلَّا نَذِيرٌ وَبَشِيرٌ لِّقَوْمٍ يُؤْمِنُونَ ﴿١٨٨﴾} صدق الله العظيم [الأعراف].
  Allah Ta3ala Asema: {Wala similiki nafsi yangu manufa wala madhara ispokua Atake Allah na lau nigejua ghaibu nigezidisha mambo ya kheri na haingenipata ubaya ispokua hakika mimi ila ni Muonyaji na mbashiriaji kwa watu waumini (188)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alaaraf].

  Basi mcheni Allah Na Mumsadiki Allah Na Nabi Wake Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam Amisema:
  [[ من اقتراب الساعة انتفاخ الأهلّة ]] صدق عليه الصلاة والسلام.
  Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam Amisema:

  [ Kukurubia Saa Ni Kufura Miandamo ] Sadaqa Aleyhi Asalat Wa Al’Salam.

  Na Hio Ni Katika Masharti Makuu Ya Saa Kwamba Muone Miandamo imetokezea mbele ya macho yenu mikubwa kwa wote wanao’angalia, Na inabainika kwamba kweli ni ya siku mbili ama tatu kiasi yakua kuonekana kwake ni yakwanza, Basi kiasi gani amewajahidi Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani Kwa Utawala Wa Ilimu kutoka muhakam ilio wazi maana yak Kitabu cha Allah Na Sunna Za Mtume Wake Za Kweli! Na kiasi gani nimewahadhirisha wajuzi wa falaki kwamba wakubali na watambue ukweli kutoka kwa Mola Mlezi wao kabla haijapotea ukweli wao wa ki’ilimu pamoja ya kwamba kipimo chake kwa usawa kabisa kabla halijafikia jua mwezi, Na hio hapo ishapota ukweli wa wote wajuzi wa falaki na fiziki ambao ya uswa sahihi kabisa, Lakini kiasi gani nime’wanasihi lakini nayo imebainika kwa wengi miongoni mwao haki na ikapata yakini jambo la kufikilia jua ndani ya nafsi za wengi katika wanazuoni wajuzi wa falaki basi wakafanya siri maneno yao baina yao ili isipote ukweli wao! Pamoja Yakua Mimi Ni Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani Ni mwenye yakini zaidi kuliko wao kwa ilimu ya wanazuoni wa falaki wakifiziki, Basi sio mimi katika ma jahili wala sina haja mimi kwa yale yanayo andika kalamu zao katika vijitabu vyao na tuovoti zao na barnjamj zao; Bali nawaletea ilimu ya kifiziki ya kifalaki na kiulimwengu kutoka katika muhakam ilio wazi maana yake Al’Quran Al3adhim na nawazidishia ilimu ju ya ilimu yao, Na nawafundisha watu yale ambao walikua hawajuwi na yale walikua hawajafikiria kwamba hayo yako ndani ya Al’Quran Al3adhim kutoka Miyaka 1440 na wao hawajuwi.

  Na ala kuli hali hakuna kwetu nafasi kufafanua sasa, Na ile anataka Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani Kusema kwa wanazuoni wa falaki yale nilio wambia kabla: Hakika Amekua pekeyake wakwanza Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani Kwa kujua saa ya kuzaliwa miandamo ya kufikiliwa pakubwa, Na Nime’wanabahisha kwamba tayari imetimu kuondoka kutoka marhala ya kufikiliwa padogo kwenda kwa kufikiliwa pakubwa alafu pakubwa zaidi lakini nyinyi watu munakiburi kwa Al’imam Al’Mahdi Khalifa Wa Allah na Mja Wake, Basi nani atawakinga na adhabu ya Allah ikiwa nyinyi ni wa kweli?

  Na hio hapo tayari limefikilia jua mwezi kwa muda unazidi zaidi ya masa sitini na nyinyi hamjaona siku yake ya kutokezea mwezi wa shaban ispokua imefura baada kuzama jua la jumainne usiku wa jumatano pamoja yakwamba mwisho wa kuona kwenu nyumba za hila ya mwezi wa rajab ya mwaka wenu hu 1439 ilikua alfajiri ya jumamosi 29 Rajab kulingana mwanzo wa mwandamo wa kufikiliwa katika mwanzo wa Rajabu jumamosi na alfajiri ya 29 jumamosi ilikua ndio mwisho wa kuonekana kwake alafu ukarudi kupotea, Na Mazazi ya mwandamo mpya wa mwezi wa Shaban usiku wa jumapili ya mwaka wenu hu 1439 ya kimwezi yani baada kuzama jua la siku ya jumamosi 29 Rajab usiku wa jumapili hamukuona mwandamo sio mashariki ya juu wala magharibi ya mbali wala mashariki ya kati usiku wa jumapili na hivo kwenu kwakua ilikua iko katika hali ya kufikiliwa pembeni katika mbingu ya pembeni ambao yalekea magharibi, Na hivo hivo mwanzo umezama mwando wa mwezi wa shaban siku ya jumapili usiku wa jumatatu nayo hivo hivo iko katika hali ya kufikiliwa, Na wala na hapana atakae kuona katika wanazuoni wa falaki yoyote moja wao ila kwa kamera ya ccd nayo inaza kabla kuzama jua la jumatatu nayo iko katika hali ya kufikiliwa, Na wao wanajua, Na hivo hivo imezama mwandamo wa shaban siku ya juma tatu usiku wa jumainne, inafwatana na kuzama jua la siku ya jumatatu usiku wa jumainne, Na Natoa Qasam kwa yule alio inuwa mbingu saba zenye nguvu na akakitisha ardhi kwa majablai haitakiwi kwa walimwengu wote kwamba waone mwandamo wa shaban bada ya kuzama jua la jumatatu usiku wa jumainne sio katika mashariki ya juu wala mashariki ya kati wala sio katika magharibi ya ju kwakua hivo hivo iko katika hali ya kufikiliwa; Bali ilikua mwanzo wa kuonekana kwa kutokeza mwandamo mpya hilal ya shaban mbele kwa macho ya watu imefura mbele ya macho ya wanao angalia baada kuzama jua la siku ya jumainne kuingia usiku wa jumatano; Nayo ni mwanzo kuonekana mwandamo wa hilal Shaban Kwa Mbele.

  Na eee wale ambao wanadai kwamba wameona mwandamo wa shaban katika jumhuria Ya kiarabu Misri Mcheni Allah, Basi Na vipi mutaona mwandamo wa shabani baada kuzama jua la jumatatu kuingia usiku wa juma inne alafu wasione zote ma taifa ambazo kwa upande wa magharibi kwenu ?! Jee ambapo inajulika kama munavo jua kwamba nyinyi ikiwa mumeona Hila ya Shaaban bada kuzama jua la jumatatu usiku wa jumainne basi inavojulikana kwamba mataifa yote ambayo ymelekea magharibi kwenu inakua kuona kwao kwa mwandamo ni zaidi kuwa wazi kwao kuonekana kuliko nyinyi kwakua munajua kwamba mwandamo inajitenga mashariki? Basi kila Taifa ambalo liko magharibi ktokana na nyinyi hatimai wataona uwazi zaidi kwakua mwandamo kila ikitangulia mashariki ndio kila inapo chelewa kuzama kwake baada ya jua, Basi mwamhada nani? Na nakusudia haswa wale watu ambao wamedai kuona mwandamo wa shaban wa mwaka 1439 Katika Misri baada Kuzama jua la jumatatu usiku wa jumainne, Basi nipeni Ruhusa niwambie hakika nyinyi ni warongo na nyinyi mwajua, Na lakini ushahidi wa urongo umeharamishwa katika Dini ya Allah Al’Islam, Ama mwataka kutia siyasa hata pia kwa mwandamo wa mwezi! lakini usiku wa mwezi kua kamili Albadr usiku wa jumapili na usiku wa jumatato unawasubiri kwakua mwezi wa shaban itafikilia kuwa kamili timamu kabisa kabla usiku wa kuona kwenu kwakua mimi ni Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani natakaza kwa wanadamu kwamba usiku wa mwezi kua kamili Albadr ni usiku wa jumapili na siku ya pili ya mwezi kua kamili Albadr baada kuzama jua la jumapili usiku wa jumatatu , Basi Mcheni Allah na kuweni katika wa kweli enyi ma3ashara ya mataifa ya mashariki ya kati, Mcheni Allah na wala musingie manyumba kwa nyuma na muingie manyumba kwa milango yake.

  Na ewe ambae ni ufalme ya kiarabu wa Saudia ewe ambae ni kibla ya waislamu kwa sababu ya msikiti wa alharam nyumba ya Allah Ambae Ni imetukuzwa kwajili ya hija ya Allah, Basi Wallahi thuma Wallahi thuma Wallahi hakika yule ambae ataingiza mwandamo wa mwezi kabla ya hisabu ya kuonekana kwake kisharia mbele imetokezea mbele ya macho basi hakika yeye ni kama mfano alo’ingia manyumba kwa nyuma yake? Basi Mcheni Allah na muingie manyumba kwa milango yake na muingie mwezi kulingana na kuonekana kwake kisharia kwa kuona bayini kwa macho, Basi nyinyi ndio munajukumu haswa kwa sababu ya miyezi ya hija. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
  {يَسْأَلُونَكَ عَنِ الْأَهِلَّةِ ۖ قُلْ هِيَ مَوَاقِيتُ لِلنَّاسِ وَالْحَجِّ ۗ وَلَيْسَ الْبِرُّ بِأَن تَأْتُوا الْبُيُوتَ مِن ظُهُورِهَا وَلَـٰكِنَّ الْبِرَّ مَنِ اتَّقَىٰ ۗ وَأْتُوا الْبُيُوتَ مِنْ أَبْوَابِهَا ۚ وَاتَّقُوا اللَّـهَ لَعَلَّكُمْ تُفْلِحُونَ ﴿١٨٩﴾} صدق الله العظيم [البقرة].
  Allah Ta3ala Asema: {Wanakuuliza khabarai ya miezi. Sema: Hiyo ni vipimo vya nyakati kwa ajili ya watu na Hija. Wala sio wema kuziingia nyumba kwa nyuma. Bali mwema ni mwenye kuchamngu. Na ingieni majumbani kupitia milangoni. Na mcheni Mwenyezi Mungu ili mpate kufanikiwa (189)} Sadaqa Allah Al3adhim [Albaqara].

  Na kadhalika mwandamo wa mwezi wa Ramadhani basi musikhalifu Amri ya Allah Na Mtume Wake. Kusadikisha Kauli ya Allah Ta3ala:
  {شَهْرُ رَمَضَانَ الَّذِي أُنزِلَ فِيهِ الْقُرْآنُ هُدًى لِّلنَّاسِ وَبَيِّنَاتٍ مِّنَ الْهُدَىٰ وَالْفُرْقَانِ ۚ فَمَن شَهِدَ مِنكُمُ الشَّهْرَ فَلْيَصُمْهُ ۖوَمَن كَانَ مَرِيضًا أَوْ عَلَىٰ سَفَرٍ فَعِدَّةٌ مِّنْ أَيَّامٍ أُخَرَ ۗ يُرِيدُ اللَّـهُ بِكُمُ الْيُسْرَ وَلَا يُرِيدُ بِكُمُ الْعُسْرَ وَلِتُكْمِلُوا الْعِدَّةَ وَلِتُكَبِّرُوا اللَّـهَ عَلَىٰ مَا هَدَاكُمْ وَلَعَلَّكُمْ تَشْكُرُونَ ﴿١٨٥﴾ وَإِذَا سَأَلَكَ عِبَادِي عَنِّي فَإِنِّي قَرِيبٌ ۖ أُجِيبُ دَعْوَةَ الدَّاعِ إِذَا دَعَانِ ۖفَلْيَسْتَجِيبُوا لِي وَلْيُؤْمِنُوا بِي لَعَلَّهُمْ يَرْشُدُونَ ﴿١٨٦﴾} صدق الله العظيم [البقرة].

  Allah Ta3ala Asema:{Mwezi wa Ramadhani ambao imeteremshwa humo Qur'ani kuwa ni uwongofu kwa watu, na hoja zilizo wazi za uwongofu na upambanuzi. Basi atakae kuwona mwezi naafunge. Na mwenye kuwa mgonjwa au safarini, basi atimize hisabu katika siku nyengine. Mwenyezi Mungu anakutakieni yaliyo mepesi wala hakutakieni yaliyo mazito, na mtimize hiyo hisabu, na mumtukuze Mwenyezi Mungu kwa kuwa amekuongoeni ili mpate kushukuru (185) Na waja wangu watakapo kuuliza khabari zangu, Basi hakika Mimi nipo karibu. Naitikia maombi ya mwombaji anapo niomba. Basi na waniitikie Mimi, na waniamini Mimi, ili wapate kuongoka (186)} Sadaqa Allah Al3adhim [Albaqara].

  Na hi yamanisha kwamba musifunge Ramadhani mpaka itimu kuonekana mwandamo kupitia alio’iona ama walio’iona wa’adilifu hawadanganyi na mwenye ujuzi kwa manazil ya miyezi, Na pindi hamukuona basi itimizeni hisabu ya shabani siku thalathini, Na hatimai itakua kuonekana kwake kimataifa ispokua pindi likifikia jua mwezi kufikia pakubwa kama itakavo kufanyika kwa idhini ya Allah kwenye mwandamo wa Ramadhani ambae inaokuja ya mwaka wenu hu 1439 Alqamaria, Basi mujuwe kwa kujwa kwa yakini kwamba nyinyi wala wote ulimwenguni hapana wala hamuto’ona mwandamo wa Ramadhani baada kuzama jua la jumainne usiku wa jumatano kwakua Mimi ni Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani najuwa kwa kujuwa kwa yakini kwamba hamuto’uwona sio yemen wala sio saudia wala sio katika mataifa yote ya magharibi baada yenu wala ambazo za magharibi kabla yenu basi musifunge Ramadhani enyi ma3ashara ya waislamu mpaka muone mwandamo wa Ramadhani, Na kila moja kulinga na upeo wa kuzama kwake, Basi atakae kuona mwezi katiyenu basi afunge.

  Na kadhalika musifunguae mpaka muone mwandamo wa Shawal, Ispokua kutimiza ni kwajili kuona kisharia, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
  {شَهْرُ رَمَضَانَ الَّذِي أُنزِلَ فِيهِ الْقُرْآنُ هُدًى لِّلنَّاسِ وَبَيِّنَاتٍ مِّنَ الْهُدَىٰ وَالْفُرْقَانِ ۚ فَمَن شَهِدَ مِنكُمُ الشَّهْرَ فَلْيَصُمْه} صدق الله العظيم [البقرة:185].
  Allah Ta3ala Asema: {Mwezi wa Ramadhani ambao imeteremshwa humo Qur'ani kuwa ni uwongofu kwa watu, na hoja zilizo wazi za uwongofu na upambanuzi. Basi atakae kuwona mwezi naafunge} Sadaqa Allah Al3adhim [Albaqata:185].
  Na kadhalika Amisema Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam:

  قال محمدٌ رسول الله صلّى الله عليه وآله وسلم:
  [ لَا تَصُومُوا حَتَّى تَرَوُا الْهِلَالَ، وَلَا تُفْطِرُوا حَتَّى تَرَوُا الْهِلَالَ ] صدق عليه الصلاة والسلام.

  [Musifunge Mpaka Muone Mwandamo, Na Wala Musifunguwe Mpaka Muone Mwandamo]
  Sadaqa Aliyhi Asalat Wa Al’Salam.

  Na kadhali Kutoka kwa Al’Nabi Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam:

  عن النبيّ صلى الله عليه وآله وسلم قال: [ صوموا لرؤيته وافطروا لرؤيته فإن غمّ عليكم فأكملوا عدة شعبان ثلاثين يوماً ]صدق عليه الصلاة والسلام.

  [ Fungeni kwa kuwona na funguweini kwa kuwona basi ikiwa imefinikika kwenu basi timizeni hisabu ya shabani siku thalathini ] Sadaqa Aleyhi Asalat Wa Al’Salam.


  Na labda inataka Mahakama Kuu Huko Ufalme wa Kiarabu Saudia Kusema:” Ewe Nasser Muhammad Al’Yamani, Na tukitimiza hisabu ya shaban siku thalathini na hatukuona mwandamo Jee tufunge?”, Na Alafu Anawapa Fatwa Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani Na Nasema: Hapana Musikhalifu Amri Ya Allah Na Mtume Wake basi musifunge mpaka muone Mwandamo, Na mukiasi na mukakata kufwata Amri Ya Allah Na Mtume Wake basi hapana wala haitobainika kwenu kwamba juwa limefikilia mwezi katika kila mwanzo wa miyezi katika wakati wa zama za masharti makubwa ya saa, Kwakua mimi nawaona munatimiza hisabu ya mwezi siku thalathimi na munaingia mwezi hata kama hamukuona mwandamo, pamoja yakuwa kutoka Aaumbe Allah mbingu na ardhi haina tabu kuchunguza kuona mwandamo ila baada ya kuzama juwa siku ya 29 katika mwezi wa Kimwezi lakini siku ya thalathini basi kuonekana kwake ni guaranteed kwa wote wanadamu na kiulimwengu, ispokua kufanya tab’idh katika kutokezea mwanzo mwezi baada ya kuzama jua la siku ya 29 kutokana na mwezi wa kimwezi, Kwajili ya hivo Amesema Allah Ta3ala:
  {شَهْرُ رَمَضَانَ الَّذِي أُنزِلَ فِيهِ الْقُرْآنُ هُدًى لِّلنَّاسِ وَبَيِّنَاتٍ مِّنَ الْهُدَىٰ وَالْفُرْقَانِ ۚ فَمَن شَهِدَ مِنكُمُ الشَّهْرَ فَلْيَصُمْهُ} صدق الله العظيم [البقرة:185].
  Allah Ta3ala Asema: {
  Mwezi wa Ramadhani ambao imeteremshwa humo Qur'ani kuwa ni uwongofu kwa watu, na hoja zilizo wazi za uwongofu na upambanuzi. Basi atakae kuwona mwezi naafunge} Sadaqa Allah Al3adhim [Albaqata:185].


  Na Hakika Mimi ni Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani Sio jahili kuhusu kalenda ya falaki ya kifiziki, Bali nakiri na natambua kwa usawa wa kalenda ya mama wa vijiji Maka Al’Mumarama kituo cha ardhi na ulimwengu, Ispokua khalal ya kufikiliwa imesababisha khalal katika kalenda ya mama wa vijiji kituo cha ardhi na ulimwengu kwasababu ya kutokezea sharti katika ma sharti Makuu ya Saa, Na ilikua imepatikana miandamo ya isio’wezekana yenye kufikiliwa padogo kwa Viji’saa va kuhisabu, Lakini nyinyi sasa mumekua muko katika kufikiliwa pakubwa na kubwa na pakubwa zaidi, Basi ikiwa hamuto’amini na waka’amini waislamu na watu wote kwa ishara ya kufikiliwa ya ulimwengu basi nipeni ruhusa kwamba niwabashiri kwa adhabu chungu kutoka Mola Mlezi wa Ulimwengu Kwenye Usiku Wa Mwezi Fulani; Anae’ujuwa Ni Allah. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
  {فَلَا أُقْسِمُ بِالشَّفَقِ ﴿١٦﴾ وَاللَّيْلِ وَمَا وَسَقَ ﴿١٧﴾ وَالْقَمَرِ إِذَا اتَّسَقَ ﴿١٨﴾ لَتَرْكَبُنَّ طَبَقًا عَن طَبَقٍ ﴿١٩﴾ فَمَا لَهُمْ لَا يُؤْمِنُونَ ﴿٢٠﴾ وَإِذَا قُرِئَ عَلَيْهِمُ الْقُرْآنُ لَا يَسْجُدُونَ ۩ ﴿٢١﴾ بَلِ الَّذِينَ كَفَرُوا يُكَذِّبُونَ ﴿٢٢﴾ وَاللَّـهُ أَعْلَمُ بِمَا يُوعُونَ ﴿٢٣﴾ فَبَشِّرْهُم بِعَذَابٍ أَلِيمٍ ﴿٢٤﴾} صدق الله العظيم [الإنشقاق].

  Allah Ta3ala Asema:{
  Basi ninaapa kwa wekundu wa jua linapo kuchwa (16) Na kwa usiku na unavyo vikusanya (17) Na kwa mwezi unapo pevuka (18) Lazima mtapanda t'abaka kwa t'abaka (19) Basi wana nini hawaamini (20) Na wanapo somewa Qur'ani hawasujudu (21) Bali walio kufuru wanakanusha tu (22) Na Mwenyezi Mungu anajua wanayo yadhamiria (23) Basi wabashirie adhabu chungu (24)} Sadaqa Allah Al’3adhim [Alinshiqaq].

  Allahuma Nimebalighisha Allahuma Shuhudia ..
  اللهم قد بلغت اللهم فاشهد ..

  Na enye Ma3ashara ya “Almulqiati Dhikra” Wanaosambaza ukumbusho Udhuru mbele ya mikono ya Mola Mlezi wenu, Basi musiwe wanyonge wala musichoke katika ulinganizi kwa Allah kwa basira kujua kutoka kwa Mola Mlezi wenu kupitia internet ya kiulimwengu basi itimu kurakiz kwa hi Bayana na kutoka sasa mpaka yote Shaban ikiwa atawafikisha Allah Wakanushaji mpaka Ramadhani!

  Allahuma barik lana fi shaban na tufikishe Ramadhani kwa Rahma Yako Ewe mwenye hurumu Kuliko wenye Huruma, Wa Barik Lana Wa Mina Wa aleyina fi kuli zamana wa makan rahmatan wa barakatuhu aleyina wa jamii Al’Muslimin, Wa Arham Almadhlumin wal fuqara wal dhuafa wa masakin fi shuub Almuslimin wafi alalamin ajmain, Wa Ajil bi Abdika Altamkin kama Tuhib Wa Tardha birahmatika Ya Arhama Alrahimin.

  Wa Salam Al’Mursalin. Wa Alhamdulillah Rabil3alamin..
  Mja Wa Allah Na Khalifa Wake Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani.

  وسلامٌ على المرسلين، والحمد لله ربّ العالمين..
  عبد الله وخليفته الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
  _____________

  اقتباس المشاركة: 285994 من الموضوع: إعلان مفاجأةٌ كبرى إلى كافة البشر لمن شاء منهم أن يتقدم أو يتأخر، والأمر لله الواحد القهار..


  الإمام ناصر محمد اليماني
  12 - شعبان - 1439 هـ
  28 - 04 - 2018 مـ
  11:30 صباحاً
  ( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )

  ____________________


  إعلان مفاجأةٌ كبرى إلى كافة البشر لمن شاء منهم أن يتقدّم أو يتأخّر، والأمر لله الواحد القهار ..

  بسم الله الرحمن الرحيم، والصلاة والسلام على كافة الأنبياء والمرسلين من أوّلهم إلى خاتمهم محمد رسول الله صلّى الله عليه وعليهم أجمعين، لا نفرّق بين أحدٍ من رسله ونحن له مسلمون، والصلاة والسلام على كلّ من تبيّن له الحقّ فاتّبعه في الأوّلين وفي الآخرين وفي الملإ الأعلى إلى يوم الدين، أمّا بعد..

  يا معشر البشر المسلمين منهم والكفار، أقسمُ بالله الواحد القهار أنّ من كذّب بسلطان علمي فإنه لم يكذّب المهديّ المنتظَر ناصر محمد اليماني شيئاً؛ بل كذّب بكلام الله في محكم القرآن العظيم وكذّب بالأحاديث الحقّ التي نطق بها لسان خاتم الأنبياء والمرسلين محمد رسول الله صلى الله عليه وآله الطيبين منهم وكافة المؤمنين وأسلّم تسليماً.

  ويا أيها الناس، لا تُنْظِروا تصديقكم بداعي الحقّ من ربّكم حتى يُصدّق به المسلمون أجمعون، كونه لم يبقَ من الإسلام إلا اسمه ومن القرآن إلا رسمه بين أيديهم؛ بل اتّبع مسلمو اليوم ما يُخالف لكلام الله في محكم كتابه وما يخالف لسنّة البيان في أحاديث محمدٍ رسول الله؛ بل أصبح مَثَلُ المسلمين كمثل اليهود والنصارى يحسبون أنفسهم على شيءٍ وهم ليسوا على شيءٍ لا المسلمون ولا النصارى ولا اليهود إلا من رحم ربّي من الذين تبيّن لهم سبيل الحقّ فاتّبعوه ولم تأخذهم العزّة بالإثم، وكذلك من قال في عصر الحوار من قبل الظهور: "استغفر الله العظيم وأعوذ بالله من الشيطان الرجيم أن تأخذني العزّة بالإثم، فمَنْ يقيني من عذاب الجحيم لو تبيّن لي الصراط المستقيم إلى ربي ولم أتّبع سبيل الحقّ إلى ربّي؟ إن ربي على صراطٍ مستقيمٍ، فماذا بعد الحقّ إلا الضلال؟". أولئك صلى الله عليهم وملائكته والمهديّ المنتظَر وأسلّم تسليماً، فكونوا منهم يا معشر المسلمين والنصارى واليهود والناس أجمعين خيراً لكم، فإن أبيتم أن تكونوا من أنصار الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني في عصر الحوار من قبل الظهور والتمكين في الأرض بآية عذابٍ أليمٍ فاعلموا أنكم أبيتم أن تكونوا من أنصار الله ورسوله محمد صلى الله عليه وسلم، فهل يبعث الله عبده وخليفته المهديّ المنتظَر ناصر محمد اليماني إلا ناصراً لمحمدٍ رسول الله وناصراً لكافة ما جاء به كافة أنبياء الله أجمعين أن لا تعبدوا إلا الله ولا تشركوا به شيئاً ولا تتخذوا الأنبياء والمرسلين والمهديّ المنتظَر أرباباً من دون الله فيلعنكم الله لعناً كبيراً ويصليكم سعيراً ولن تجدوا لكم من دون الله ولياً ولا نصيراً؟

  وربّما يودّ كافة علماء المسلمين وملوكهم وأمرائهم ورؤسائهم أن يقولوا: "يا ناصر محمد اليماني لقد أفزعتنا يا رجل، فماذا حدث؟ فادخل في الموضوع باختصارٍ يا ناصر محمد اليماني، وزدنا علماً كيف تدرك الشمس القمر". فمن ثم يردُّ عليكم الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني وأقول: إياكم ثم إياكم ثم إياكم أن تصدّقوا أني المهديّ المنتظَر ناصر محمد اليماني إذا قلتُ لكم ما لم يقلهُ الله وخاتم الأنبياء محمد رسول الله صلى الله عليه وسلم، فلم يبعثني الله بوحيٍ جديدٍ إليكم إلا بتذكيركم بما قاله الله ورسوله، فمن صدّقني فقد صدّق الله ورسوله ومن كذّبني فقد كذّب الله ورسوله ومأواه جهنّم وبئس المصير.

  ويا معشر المسلمين والناس أجمعين، فهل تظنّون الحياة الدنيا لا نهاية لها؟ وهل تظنّون أنها لن تدرك الشمسُ القمر ولن يسبق الليلُ النهار إلى ما لا نهايةٍ؟ ما لكم كيف تحكمون! ونعمْ إنّ الشمس لا ينبغي لها أن تدرك القمر فيولد الهلال من قبل الكسوف فتجتمع به الشمس وقد هو هلال، ولا ينبغي لليل أن يسبق النهار فيصير الغرب شرقاً والشرق غرباً منذ أن خلق الله السماوات والأرض فلا الشمس ينبغي لها أن تدرك القمر ولا الليل سابق النهار حتى يدخل عمر الحياة الدُّنيا في عصر أشراط الساعة الكبرى فيولد الهلال من قبل الكسوف فتجتمع به الشمس وقد هو هلال، فهنا يأتي تصديق القَسَم في محكم القرآن العظيم في قول الله تعالى:
  {وَالشَّمْسِ وَضُحَاهَا ﴿١﴾ وَالْقَمَرِ إِذَا تَلَاهَا ﴿٢﴾ وَالنَّهَارِ إِذَا جَلَّاهَا ﴿٣﴾ وَاللَّيْلِ إِذَا يَغْشَاهَا ﴿٤﴾ وَالسَّمَاءِ وَمَا بَنَاهَا ﴿٥﴾ وَالْأَرْضِ وَمَا طَحَاهَا ﴿٦﴾ وَنَفْسٍ وَمَا سَوَّاهَا ﴿٧﴾ فَأَلْهَمَهَا فُجُورَهَا وَتَقْوَاهَا ﴿٨﴾ قَدْ أَفْلَحَ مَن زَكَّاهَا ﴿٩﴾ وَقَدْ خَابَ مَن دَسَّاهَا ﴿١٠﴾} صدق الله العظيم [الشمس].

  وقال الله تعالى:
  {قُل لَّا أَمْلِكُ لِنَفْسِي نَفْعًا وَلَا ضَرًّا إِلَّا مَا شَاءَ اللَّـهُ ۚ وَلَوْ كُنتُ أَعْلَمُ الْغَيْبَ لَاسْتَكْثَرْتُ مِنَ الْخَيْرِ وَمَا مَسَّنِيَ السُّوءُ ۚ إِنْ أَنَا إِلَّا نَذِيرٌ وَبَشِيرٌ لِّقَوْمٍ يُؤْمِنُونَ ﴿١٨٨﴾} صدق الله العظيم [الأعراف].

  فاتقوا الله وصدقوا الله وعبدَه محمداً رسول الله صلى الله عليه وآله وسلم قال:
  [[ من اقتراب الساعة انتفاخ الأهلّة ]] صدق عليه الصلاة والسلام.

  وذلكم من أشراط الساعة الكبرى أن تروا الهلال قَبَلاً أمام أعينكم كبيراً لكافة الناظرين، فيتبيّن أنه حقاً ليلتان أو ثلاث برغم أنها رؤيته الأولى، فلكم جاهدكم الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني بسلطان العلم من محكم كتاب الله وسنّة رسوله الحقّ! ولكم حذّرت علماء الفلك أن يقرّوا ويعترفوا بالحقّ من ربهم من قبل أن تذهب مصداقيتهم العلميّة برغم دقتها من قبل أن تدرك الشمس القمر، وها هي قد ذهبت مصداقيّة كافة علماء الفلك في العالمين واختلت تقاويمهم وبرامجهم الفلكيّة الفيزيائيّة الدقيقة، فلكم نصحت لهم ولكنه تبيّن لكثيرٍ منهم الحقّ واستيقنتْ الإدراكَ نفوسُ كثيرٍ من علماء الفلك فأسرّوا النجوى فيما بينهم حتى لا تذهب مصداقيتهم العلميّة! برغم أنيّ الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني أشدّ يقيناً منهم بعلوم علماء الفلك الفيزيائيين، فلستُ من الجاهلين ولا حاجة لي بما تخطّه أقلامهم في كتيباتهم ومواقعهم وبرامجهم؛ بل آتيهم بعلوم الفيزياء الفلكيّة والكونيّة من محكم القرآن العظيم وأزيدهم علماً إلى علمهم، وأُعلّم الناس ما لم يكونوا يعلمون وما لم يكونوا يحتسبون أنّ ذلك موجودٌ في القرآن العظيم منذ 1440 عام وهم لا يعلمون.

  وعلى كلّ حال ليس لدينا مجال للتفصيل الآن، وما يريد الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني أن أقوله لعلماء الفلك ما قلته لهم من قبل: لقد تفرّد الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني بعلم ساعة ولادة أهلّة الإدراك الأكبر، ونبأتكم أنه تمّ الانتقال من مرحلة الإدراك الأصغر إلى الإدراك الأكبر ثم الأكبر ولكنكم قومٌ مستكبرون على الإمام المهديّ خليفة الله وعبده، فمن يجيركم من عذاب الله إن كنتم صادقين؟

  وها هي قد أدركت الشمس القمر لمدة تزيد على ستين ساعة وأنتم لم تَشهدوا غرّة شهر شعبان إلا منتفخاً بعد غروب شمس الثلاثاء ليلة الأربعاء برغم أنّ آخر رؤيةٍ لكم في منازل أهلّة شهر رجب لعامكم هذا 1439 كانت فجر السبت 29 رجب حسب غرّة هلال الإدراك في أوّل رجب السبت وفجر 29 السبت كانت آخر رؤيةٍ له وعاد إلى العرجون القديم، والولادة لهلال شهر شعبان ليلة الأحد لعامكم هذا 1439 القمريّة أي بعد غروب شمس يوم السبت 29 رجب ليلة الأحد لم تروا الهلال لا في الشرق الأدنى ولا في الغرب الأقصى ولا في الشرق الأوسط ليلة الأحد وذلكم كونه في حالة إدراكٍ محيطي في سماء المحيط الهادي غرباً، وكذلك غَرُبَ هلالُ شهر شعبان يوم الأحد ليلة الإثنين وهو كذلك في حالة إدراكٍ، ولا ولن يستطيع رؤيته أحدٌ من علماء الفلك إلا باستخدام السي سي دي كاميرا وهو يغرب قبل غروب شمس يوم الإثنين وهو في حالة إدراكٍ، وهم يعلمون، وكذلك غرب هلال شعبان يوم الإثنين ليلة الثلاثاء مرافقاً لغروب شمس يوم الإثنين ليلة الثلاثاء، وأقسم بمن رفع السبع الشداد وثبّت الأرض بالأوتاد لا ينبغي للعالَم بأسره أن يشاهدوا هلال شعبان بعد غروب شمس الإثنين ليلة الثلاثاء لا في الشرق الأقصى ولا في الشرق الأوسط ولا في الغرب الأقصى كونه كذلك في حالة إدراكٍ؛ بل كانت أوّل رؤيةٍ لغرّة هلال شعبان قَبَلاً بأعين الناس منتفخاً أمام أعين الناظرين بعد غروب شمس يوم الثلاثاء ليلة الأربعاء؛ هي أول رؤيةٍ لهلال شعبان قَبَلاً.

  ويا من زعموا أنهم شاهدوا هلال شعبان في جمهوريّة مصر العربيّة اتّقوا الله، فكيف تشاهدون هلال شعبان بعد غروب شمس الإثنين ليلة الثلاثاء ثم لا تشاهده كافة الدول التي إلى الغرب منكم؟! أليس من المعلوم كما تعلمون أنكم لو شاهدتم هلال شعبان بعد غروب شمس الإثنين ليلة الثلاثاء فمن المفترض أنّ كافة الدول التي إلى الغرب منكم تكون رؤيتهم للهلال أشدّ وضوحاً منكم كونكم تعلمون أنّ الهلال ينفصل شرقاً؟ فكل دولةٍ إلى الغرب منكم حتماً سوف تراه أشدّ وضوحاً كون الهلال كلّما تقدم إلى الشرق كلّما تأخّر في غروبه من بعد الشمس، فعلى من تضحكون؟ وأقصد بالذات الأشخاص الشهود الذين زعموا رؤية هلال شعبان لعام 1439 في مصر بعد غروب شمس الإثنين ليلة الثلاثاء، فاسمحوا لي أن أقول لكم إنكم لكاذبون وأنتم تعلمون، ولكنّ شهادة الكذب محرمةٌ في دين الله الإسلام، أم تريدون أن تُسِيّسون حتى هلال الشهر! ولكن ليلة القمر البدر ليلة الأحد وليلة الإثنين لكم لبالمرصاد كون قمر شهر شعبان سوف يصل إلى طور بدر التمام قبل ليلة رؤيتكم له كوني الإمام المهديّ المنتظَر ناصر محمد اليماني أعلن للبشر أنّ ليلة البدر الأولى هي ليلة الأحد وليلة البدر الثانية بعد غروب شمس يوم الأحد ليلة الإثنين، فاتقوا الله وكونوا مع الصادقين يا معشر دول الشرق الأوسط، اتقوا الله و لا تَدخلوا البيوت من ظهورها وادخلوا البيوت من أبوابها.

  ويا أيتها المملكة العربيّة السعوديّة يا قبلة المسلمين بسبب المسجد الحرام بيت الله المعظم بالحج لله، اتّقوا الله فوالله ثم والله ثم والله إنّ الذي يدخل هلال الشهر من قبل حساب رؤيته الشرعيّة قَبَلاً أمام العين أنه كمثل الذي يدْخل البيوت من ظهورها! فاتقوا الله وادخلوا البيوت من أبوابها وادخلوا الشهر بحسب رؤيته الشرعيّة بنياني أعينكم، فأنتم المسؤولون بالذات أمام الله بسبب أشهر الحج. تصديقاً لقول الله تعالى:
  {يَسْأَلُونَكَ عَنِ الْأَهِلَّةِ ۖ قُلْ هِيَ مَوَاقِيتُ لِلنَّاسِ وَالْحَجِّ ۗ وَلَيْسَ الْبِرُّ بِأَن تَأْتُوا الْبُيُوتَ مِن ظُهُورِهَا وَلَـٰكِنَّ الْبِرَّ مَنِ اتَّقَىٰ ۗ وَأْتُوا الْبُيُوتَ مِنْ أَبْوَابِهَا ۚ وَاتَّقُوا اللَّـهَ لَعَلَّكُمْ تُفْلِحُونَ ﴿١٨٩﴾} صدق الله العظيم [البقرة].

  وكذلك هلال رمضان فلا تخالفوا أمر الله ورسوله. تصديقاً لقول الله تعالى:
  {شَهْرُ رَمَضَانَ الَّذِي أُنزِلَ فِيهِ الْقُرْآنُ هُدًى لِّلنَّاسِ وَبَيِّنَاتٍ مِّنَ الْهُدَىٰ وَالْفُرْقَانِ ۚ فَمَن شَهِدَ مِنكُمُ الشَّهْرَ فَلْيَصُمْهُ ۖوَمَن كَانَ مَرِيضًا أَوْ عَلَىٰ سَفَرٍ فَعِدَّةٌ مِّنْ أَيَّامٍ أُخَرَ ۗ يُرِيدُ اللَّـهُ بِكُمُ الْيُسْرَ وَلَا يُرِيدُ بِكُمُ الْعُسْرَ وَلِتُكْمِلُوا الْعِدَّةَ وَلِتُكَبِّرُوا اللَّـهَ عَلَىٰ مَا هَدَاكُمْ وَلَعَلَّكُمْ تَشْكُرُونَ ﴿١٨٥﴾ وَإِذَا سَأَلَكَ عِبَادِي عَنِّي فَإِنِّي قَرِيبٌ ۖ أُجِيبُ دَعْوَةَ الدَّاعِ إِذَا دَعَانِ ۖفَلْيَسْتَجِيبُوا لِي وَلْيُؤْمِنُوا بِي لَعَلَّهُمْ يَرْشُدُونَ ﴿١٨٦﴾} صدق الله العظيم [البقرة].

  وهذا يعني أنكم لا تصومون غرّة رمضان حتى تتم رؤية هلاله من قبل شاهدٍ أو شهودٍ عدولٍ لا يكذّبون وذَوي خبرةٍ بالمنازل القمريّة، وإذا لم ترونه فأتمّوا عدّة شعبان ثلاثين يوماً، وحتماً تكون رؤية الهلال العالميّ إلا إذا أدركت الشمس القمر الإدراك الأكبر كما سوف يحدث بإذن الله في هلال رمضان القادم لعامكم هذا 1439 القمريّة، فاعلموا علم اليقين أنكم ولا حتى جميع العالمين لا ولن تروا هلال رمضان بعد غروب شمس الثلاثاء ليلة الأربعاء كوني الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني أعلمُ عِلمَ اليقين أنكم لا ترونه لا في اليمن ولا في السعوديّة ولا في كافة الدول الغربيّة من بعدكم ولا الشرقيّة من قبلكم فلا تصومون رمضان يا معشر المسلمين أجمعين حتى تروا هلال رمضان، وكلٌّ حسب أفق غروبه، فمن شهد الشهر منكم فليصمه.

  وكذلك لا تفطروا حتى تروا هلال شوال، وإنما الإتمام من أجل الرؤية الشرعيّة. تصديقاً لقول الله تعالى:
  {شَهْرُ رَمَضَانَ الَّذِي أُنزِلَ فِيهِ الْقُرْآنُ هُدًى لِّلنَّاسِ وَبَيِّنَاتٍ مِّنَ الْهُدَىٰ وَالْفُرْقَانِ ۚ فَمَن شَهِدَ مِنكُمُ الشَّهْرَ فَلْيَصُمْه} صدق الله العظيم [البقرة:185].

  وكذلك قال محمدٌ رسول الله صلّى الله عليه وآله وسلم:
  [ لَا تَصُومُوا حَتَّى تَرَوُا الْهِلَالَ، وَلَا تُفْطِرُوا حَتَّى تَرَوُا الْهِلَالَ ] صدق عليه الصلاة والسلام.

  وكذلك عن النبيّ صلى الله عليه وآله وسلم قال:
  [ صوموا لرؤيته وافطروا لرؤيته فإن غمّ عليكم فأكملوا عدة شعبان ثلاثين يوماً ] صدق عليه الصلاة والسلام.

  وربّما تودّ المحكمة العليا بالمملكة العربيّة السعوديّة أن تقول: "يا ناصر محمد اليماني، وإذا أتممنا عدّة شعبان ثلاثين يوماً ولم نرَ الهلال فهل نصوم؟"، فمن ثم يفتيكم الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني وأقول: كلا لا تخالفوا أمر الله ورسوله فلا تصوموا حتى تروا الهلال، وإذا عصيتم وأبيتم اتّباع أمر الله ورسوله فلا ولن يتبيّن لكم أنّ الشمس أدركت القمر في غُرَرِ الشهور في زمن عصر أشراط الساعة الكبرى، كوني أراكم تُتِمون عدّة الشهر ثلاثين يوماً فتدخلون الشهر ولو لم تروا الهلال، برغم أنه منذ أن خلق الله السماوات والأرض ليست تحري صعوبة رؤية الهلال إلا بعد غروب شمس يوم 29 من الشهر القمريّ أمّا يوم الثلاثين فرؤيةُ الهلال مضمونةٌ لكافة البشر وعالميةٌ، وإنما التبعيض في غرّة الشهر الأولى بعد غروب شمس 29 من الشهر القمريّ، ولذلك قال الله تعالى:
  {شَهْرُ رَمَضَانَ الَّذِي أُنزِلَ فِيهِ الْقُرْآنُ هُدًى لِّلنَّاسِ وَبَيِّنَاتٍ مِّنَ الْهُدَىٰ وَالْفُرْقَانِ ۚ فَمَن شَهِدَ مِنكُمُ الشَّهْرَ فَلْيَصُمْهُ} صدق الله العظيم [البقرة:185].

  وإني الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني لستُ بجاهلٍ عن التقويم الفلكيّ الفيزيائيّ؛ بل أقرّ وأعترف بصحة تقويم أمّ القرى مكة المكرمة مركز الأرض والكون، وإنما خلل الإدراك سبب خللاً في تقويم أمّ القرى مركز الأرض والكون بسبب حدوث شرطٍ من أشراط الساعة الكبرى، وكانت هناك أهلّة المستحيل ذات إدراك صغير سويعاتٍ، ولكنكم صرتم في إدراكاتٍ أكبر وأكبر وأكبر، فإذا لم تؤمنوا ويؤمن المسلمون والناس أجمعون بآية الإدراك الكونيّة فاسمحوا لي أن أبشّركم بعذابٍ أليمٍ من ربّ العالمين في ليلة نصف شهر ما؛ يعلمه الله. تصديقاً لقول الله تعالى:
  {فَلَا أُقْسِمُ بِالشَّفَقِ ﴿١٦﴾ وَاللَّيْلِ وَمَا وَسَقَ ﴿١٧﴾ وَالْقَمَرِ إِذَا اتَّسَقَ ﴿١٨﴾ لَتَرْكَبُنَّ طَبَقًا عَن طَبَقٍ ﴿١٩﴾ فَمَا لَهُمْ لَا يُؤْمِنُونَ ﴿٢٠﴾ وَإِذَا قُرِئَ عَلَيْهِمُ الْقُرْآنُ لَا يَسْجُدُونَ ۩ ﴿٢١﴾ بَلِ الَّذِينَ كَفَرُوا يُكَذِّبُونَ ﴿٢٢﴾ وَاللَّـهُ أَعْلَمُ بِمَا يُوعُونَ ﴿٢٣﴾ فَبَشِّرْهُم بِعَذَابٍ أَلِيمٍ ﴿٢٤﴾} صدق الله العظيم [الإنشقاق].

  اللهم قد بلغت اللهم فاشهد ..

  ويا معشر الملقيات ذِكراً عُذراً بين يدي ربّكم أو نُذراً للعالمين، فلا تهنوا ولا تستكينوا في الدعوة إلى الله على بصيرةٍ من ربّكم عبر الإنترنت العالميّة فليتم التركيز على هذا البيان ومن الآن وطوال شعبان إن أوصل الله المعرضين إلى رمضان!

  اللهم بارك لنا في شعبان وأوصلنا رمضان برحمتك يا أرحم الراحمين، وبارك لنا ومنّا وعلينا في كلّ زمانٍ ومكانٍ برحمةٍ منك وبركاتٍ علينا وجميعِ المسلمين، اللهم وأرحم المظلومين والفقراء والضعفاء والمساكين في شعوب المسلمين وفي العالمين أجمعين، وعجّل لعبدك بالتمكين كما تحبّ وترضى برحمتك يا أرحم الراحمين.

  وسلامٌ على المرسلين، والحمد لله ربّ العالمين..
  عبد الله وخليفته الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.

  ______________

  [ لمتابعة البيان من الموسوعة]

المواضيع المتشابهه

 1. مشاركات: 0
  آخر مشاركة: 12-03-2018, 09:34 PM
 2. {Na Nikauli Gani Bora Kuliko Yule Anae Lingania Kwa Allah Akatenda Mema Akasema Mimi Ni Miongoni Mwa Waislamu},
  بواسطة الراضي برضوان الله في المنتدى Kiswahili
  مشاركات: 0
  آخر مشاركة: 07-03-2018, 12:53 PM
 3. Nini Hio Msimamo Wa Yule Atakae Mfisha Allah Katika Ma Al'Anssar Kabla Kifo Cha Al'Imam Al'Mahdi Juu Yake Swala Na Salam
  بواسطة الراضي برضوان الله في المنتدى Kiswahili
  مشاركات: 0
  آخر مشاركة: 19-02-2018, 10:13 AM
 4. مشاركات: 0
  آخر مشاركة: 05-02-2018, 06:18 PM
 5. مشاركات: 0
  آخر مشاركة: 04-02-2018, 11:31 PM

ضوابط المشاركة

 • لا تستطيع إضافة مواضيع جديدة
 • لا تستطيع الرد على المواضيع
 • لا تستطيع إرفاق ملفات
 • لا تستطيع تعديل مشاركاتك
 •