Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani

وَمَنْ أَحْسَنُ قَوْلًا مِمَّنْ دَعَا إِلَى اللَّهِ وَعَمِلَ صَالِحًا وَقَالَ إِنَّنِي مِنَ الْمسلمينَ
..
بسم الله الرحمن الرحيم،
وسلامٌ على المرسلين, والحمد لله ربّ العالمين
{Na Nikauli Gani Bora Kuliko Yule Anae Lingania Kwa Allah Akatenda Mema Akasema Mimi Ni Miongoni Mwa Waislamu},
Bismillah Alrahman Alrahim
Na Salam Kwa Mitume, Na Alhamdulillah Rabialamin..


Nawapa Fatwa Kwa Haki kuwa Haitakiwi kwa Almahdi Almuntadhar Wa Kweli Kutoka Mola Wenu Awe Atalingania Kwa kufwata Mashia wala Kwa Kufwata Masuni Wala Kufwata kwa Poti lolote wanao Tengana kwenye Dini Na Kila Hizbu Kwa Yale Walionayo Wanafurahia;
Bali Ana'mtumiliza Allah kwa Wote Waislamu Kwa Minhaj Alnubuwa Al'ula kitabu Cha Allah Na Suna Za Mtume Wake za Kweli Ambazo Hazikhalifu Hukmu Ya Alquran Al3adhim Na Hakumfanya Allah "Nasseran" Anaenusuru Kwa Masuni Wala "Nasseran" Anaenusuru Kwa Mashia Wala "Nasseran" Anae Nusuru Kwa Ma Alquraniyin Wala "Nasseran" Anaenusuru kwa Yoyote Kati Ya Mapoti Na Maviyama Walio'ikhtalifiana Kwa Dini;
Kwa'kutengana Kwao Bali Anasema Na Mimi Ni Katika Waislamu Alafu Anatafuta Kuwakusanya Na kuwafanya Wamoja Na Safu Yenu Moja, Hio Ndio Kauli Ilio Bora Na Hakuna Bora Kuliko hio Kauli Kwa Ku'walika kwenye Ukweli, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
تصديقاً لقول الله تعالى:
{وَمَنْ أَحْسَنُ قَوْلًا مِمَّنْ دَعَا إِلَى اللَّهِ وَعَمِلَ صَالِحًا وَقَالَ إِنَّنِي مِنَ الْمسلمينَ}
صدق الله العظيم [فصلّت 33]

Allah Ta3ala Asema:{Na Nikauli Gani Bora Kuliko Yule Anae Lingania Kwa Allah Akatenda Mema Akasema Mimi Ni Miongoni Mwa Waislamu}
Sadaqa Allah Al3adhim[Fussilat:33]




Na Salam Kwa Mitume Na Alhamdulillah Rabilalamin..
Ndugu Yenu Alimam Almahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.