Habib Alhabib
الإمام ناصر محمد اليماني
29 - 03 - 1431 هـ
15 - 03 - 2010 مـ
17 : 12 am
ـــــــــــــــــــــــــ ــــــــــــــ

Ewe Habib Alhabib Mimi Hakika Nakuona Uko Kwenye Shaka Inautetanishi Kuwa Yaweza Kuwa Mimi Ni Almahdi Almuntadhar.

(BISMILLAH ALRAHMAN ALRAHIM )
Wasalam Ju Ya Mitume Asalam Ju Yetu Na Ju Ya Wote Waja Wa Allah Wema Na Alhamdulillah Rabilalamin(Wa'Baad) ..


Ewe Habib Alhabib Mimi Hakika Nakuona Uko Kwenye Shaka Inautetanishi Kuwa Yaweza Kuwa Mimi Ni Almahdi Almuntadhar Basi Shaka Nzuri Pindi Ikfwata Yakini Na Nitakupa Nasaha Kwa Haki Ikiwa Unataka Haki Na Hutaki Ispokuwa Haki Basi Sema:
(ALAHUMA Mja'Wako Anakuliza Kwa Haki Ya La ILAHA Ila ANTA Na Kwa Haki Ya Rahma Yako Ile Ulio Andika Ju Ya Nafsi Yako Na Kwa Haki Ya Na3im Ridhwan Nafsi Yako Ikiwa Nasser Muhammad Alyamani Yeye Ndio Almahdi Wa Kweli Basi Nifanye Ni Katika"Al'Sabiqina"Walio Tangulia Kwa Kusadikisha Na Kuamini Kwenye ZAMA Za Mazungumzo Kabla Ya Kudhihirika Hakika Wewe Ni Mwenye Kusikia Anae'Juwa)Na Umsadikishe Mola Wako Kwa Ukweli Wako Atakuonesha Haki Ni Haki Na Atakuruzuku Kuifwata Na Atakuonesha Batili Ni Batili Na Atakuruzuku Kueipuka Hakika Mola Wangu Ansikia Maombi Kusadikisha Kauli Ya Allahu Ta3ala:
لقول الله تعالى:{وَالَّذِينَ جَاهَدُوا فِينَا لَنَهْدِيَنَّهُمْ سُبُلَنَا} صدق الله العظيم [العنكبوت:69]
Allah Ta3ala Asema:{Na Wale Ambao Wamejitahidi Kwa Njia Kwajili Yetu Tutawaongoza Manjia Zetu}Sadaqa Allah Al3adhim[Al3ankabut:69]


Na ta'awil Ya Hi Aya Anasema Mwingi Wa Baraka Kuwa Wale Wanao'tafuta Haki Na Wala Hawataki Ispokuwa Haki Juyake Haki Awangoze Kwajili Yeye Ndio Haki Na Kilio Chini Yake Ni Batil Na Ewe Habi Alhabib Yatakiwa Ujuwe Aya AMA Alama Ya Kusadikisha Kwa Almahdi Almuntadhar Nazo Ni Nyengi Na Ni Kubwa Na Tayari Aliwaonesha Allah Katika Alama Za Kusadikisha Ile Atakayo, Na Yatakiwa Ujuwe Kuwa Alama Ya Kusadikisha Nayo Ni Kuwa Atawaonesha Katika Bayan Ya Haki Kwenye Al'Wak3 Kwenye Waki Na Hakika Kwa Ilimu Na Mantik Na Hio Ndio Miujiza Ya Kusadikisha Ukweli Wa Almahdi Almuntadhar Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
تصديقاً لقول الله تعالى: {وَقُلِ الْحَمْدُ لِلَّهِ سَيُرِيكُمْ آيَاتِهِ فَتَعْرِفُونَهَا} صدق الله العظي
Allah Ta3ala Asema:{Na Sema Alhamdulillah Atawaonesha Alama Zake Na Mutazijuwa}Sadaqa Allah Al3adhim


Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
وتصديقاً لقوله عز وجل: {ويريكم آياته فأي آيات
الله تنكرون} صدق الله العظيم [غافر:81] وتصديقاً
Allah Ta3ala Asema:{Na Atwaonesha Alama Zake Na Alama Ya Allah Ipi Munakanusha}Sadaqa Allah Al3adhim[Ghafer:81]

لقوله الحق: {سنريهم آياتنا فى الآفاق وفى أنفسهم حتى يتبين لهم أنه الحق} صدق الله العظيم [ فصلت:53]
Allah Ta3ala Asema:{Na Tutawaonesha Alama Zetu Zilioko Ju Na Kwenye Nafsi Zao Mpaka Ibainike Kwao Ni Haki}Sadaqa Allah Al3adhim[Fussilat:53]


Na Kati Ya Alama Ya Kusadikisha Kwa Ukweli Wa Nasser Alyamani Kwa Juu Nazo Ni Kuwa Itatimu Kuona Kwa Alhilal Kabla Ya Iktiran Ikiwa Ni mtafiti Wa Haki Basi Yatakiwa Ujizidishie Kwa Ilimu Katika Upande Wa Utafiti Kwa wapi Katika Alama Za Kusadikisha Na Ikiwa Huna kukusanya Kwa Ilimu Katika Upande Wa Alama Inao Takiwa kuonekana Kwa Jicho La Ilimu Na Mantik Basi Hutofahamu Ba'adhi Ya Alama Za Kusadikisha Ispokuwa Wataenda ko'ona Kuwa Bayana Ya Al'Quraan Ni Kweli Wanipata Kwenye Waki Hakika Kwa Ilimu Na Mantiq Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
تصديقاً لقول الله تعالى: {وَيَرَى الَّذِينَ أُوتُوا الْعِلْمَ الَّذِي أُنزِلَ إِلَيْكَ مِن رَّبِّكَ هُوَ الْحَقَّ وَيَهْدِي إِلَىٰ صِرَاطِ الْعَزِيزِ الْحَمِيدِ} صدق الله العظيم [سباء:6]
Allah Ta3ala Asema:{Na Wanaona Wale Walio Pewa Ilmu,Yale Yalio Teremshwa Kwako Kutoka Mola Wako Ni Haki Na Inaongoza Kwenye Njia Ya Al3aziz Al7hamid}Sadaqa Allah Al3adhim[Sabaa:6]


Na Kwamfano Pindi Nikisema Hakika Katika Alama Za Kusadikisha Kwa Nasser Alyamani Nayo Ni Itaza Hilal Kabla Ya Iqtiran Alafu Itathibitika Kuona Kwa Hilal Ya Mwezi Mpya Kabla Wakati Wa Iqtiran Unaosubiriwa Kutoka Kwa Wanazuoni Wa Falaki Katika Hisabu Zao Za Ki Falaki Ilio Fanywa Kwa Umoja Kwenye Ilimu Ya Kukimbia Juwa Na Mwezi Na Ambao Hawa'Ikhtalifiani Kwa Ilimu Hio Wawili Katika Walimwengu Na Wamiafikiana Kuwa Haiwezekani Kuonekana Kwa Hilal Wa Mwezi Mpya Kabla Iqtiran Kabisa Kata Kata Kwakuwa Wanajuwa Alhilal Haitakiwi Kwake Izae Kabla Wakati Wa Iqtiran Bali Bada Ya Iqtiran Na Ambayo Nihio Hio Kukutana Juwa Na Mwezi"Alma7hak"Na Alafu Ndio Inazaliwa Mwezi Mpya Na Hivo Hivo Wajuwa Kuwa Haitimu Kwa Kuonekana Kwake Mpaka Ipite Muda Zaidi Ya Masa Tisa Ama Kumi Kwenye Umri Wa Hilal Mpya Na Hizo Sharia Za Ki Falaki Hawaikhtalifiani Wawili Katika Walimwengu Ewe Habib Alhabib ..


Na Ni mara Ngapi Nimekariri Na Ngapi Ni mekumbusha Na Ngapi Nimeonya kuwa Tayari Imeanza Masharti Ya Saa Kuu Na Kuw moja Katiyao Ni Kupata Juwa Mwezi Na itaifwata Bada Yakuzaliwa itawafata Na Juwa Linatangulia Alhilal Kama Ilivokuwa Katika Hilal Ya Mwezi wa Ramadhani wa 1428 Na Inagawanyika Hio Alama Kwa Mgawanyiko Miwili Inao Karirika Na Badhi Yake inakuwa Kwa Upande Wa Mashariki Na Badhi Inakuwa Kwa Upande Wa Magharibi Kusadikisha Kiapo Alqasam Ya Haki Na Muonyaji Kwenye Kauli Ya Allah Ta3ala:
لقول الله تعالى :
{وَالشَّمْسِ وَضُحَاهَا (1) وَالْقَمَرِ إِذَا تَلَاهَا (2) وَالنَّهَارِ إِذَا جَلَّاهَا (3) وَاللَّيْلِ إِذَا يَغْشَاهَا (4)} صدق الله العظيم [الشمس]
Allah Ta3ala Asema:{Na Juwa Na mwangaza Wake(1)Na Mwezi Pindi Ukiufwata(2)Na Mchana Pindi Ukionekana(3)Na Usiku Pindi Ukiufinika(4)}Sasaqa Allah Al3adhim[Alshams]


Kwa Ma'ana Hilal itaenda Kufwata Juwa Katika Siku Ya Kwanza Na Ya Mwisho Na Hio Kwako Ta'auwil Ya Haki Kwa Aya Hi:
وَالشَّمْسِ وَضُحَاهَا (1) وَالْقَمَرِ إِذَا تَلَاهَا (2)}
{Na Juwa Na Mwangaza Wake(1)Na Mwezi Ukiufwata(2)}Na Hio Kubainisha kwa Sharti Katika Masharti Ya Saa Kuu Pindi Ikifanyika Hivo Kwa Sababu Ya Mwezi Haitakiwi Kwake kuifwata Juwa Ba'ada Ya Kuzaliwa Kwake Bali Daima Mwezi Ukizaliwa Inatangulia Nayo Ni hilal Mpya Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
تصديقاً لقول الله تعالى: {لَا الشَّمْسُ يَنبَغِي لَهَا أَن تُدْرِكَ الْقَمَرَ وَلَا اللَّيْلُ سَابِقُ النَّهَارِ ۚ وَكُلٌّ فِي فَلَكٍ يَسْبَحُونَ} صدق الله العظيم [يس:40]
Allah Ta3ala Asema:{Juwa Halitakiwi Kwake Lipate Mwezi Na Wala Usiku Utangulie Mchana Na Wote Kwenye Falaki Wanaogelea}Sadaqa Allah Al3adhim[Yasin:40]

Na Ma'ana Ya Kauli Yake:
ومعنى قوله:{لا الشمس ينبغي لها أن تدرك القمر}
{Haitakiwi Kwa Juwa kulipata Mwezi}
Yani kuitangulia Ba'ada Ya Kuzaliwa Hilal Ya Mwezi Mpya Na Ama Kauli Yake Ta3ala:
قوله تعالى: {وَلَا اللَّيْلُ سَابِقُ النَّهَارِ ۚ وَكُلٌّ
فِي فَلَكٍ يَسْبَحُونَ}
{Na Wala Usiku Utangulie Mchana Na Wote Katika Falaki Wanaogelea}

Yani Wala Usiku Utangulie Mchana Na Hio Haitokuwa Kutangulia Usiku Mchana Na Itake hathitan Mpaka Itokeze Juwaa Kutoka Na Magharibi Yake Ili Kusadikisha Alama Katika Alama Ya Saa Kuu Na Ama Kabla Kusadikisha Hio Ni Usiku Utautafuta Mchana Na Utake hathithan Katika Nidhamu Ya Kifalaki Ya Ya Dunia Na Ewe Habib Alhabib nitarudi Kubainisha Aya Iliotangulia:
{وَالشَّمْسِ وَضُحَاهَا (1) وَالْقَمَرِ إِذَا تَلَاهَا (2) وَالنَّهَارِ إِذَا جَلَّاهَا (3) وَاللَّيْلِ إِذَا يَغْشَاهَا (4)} صدق الله العظيم [الشمس
{Na Juwa Na mwangaza Wake(1)Na Mwezi Pindi Ukiufwata(2)Na Mchana Pindi Ukionekana(3)Na Usiku Pindi Ukiufinika(4)}Sasaqa Allah Al3adhim[Alshams]


Ama Upande Katika Hio Tayari Amibainisha Katika Mwanzo Wa kueleza aya:
{وَالشَّمْسِ وَضُحَاهَا (1) وَالْقَمَرِ إِذَا تَلَاهَا (2)} صدق الله العظيم [الشمس]
{Na Juwa Na mwangaza Wake(1)Na Mwezi Pindi Ukiufwata(2)}Alafu Tuje Kwenye Kauli Ya Allah Ta3ala
ثم نأتي لقوله تعالى: {وَالنَّهَارِ إِذَا جَلَّاهَا (3) وَاللَّيْلِ إِذَا يَغْشَاهَا (4)}
صدق الله العظيم [الشمس]
)Na Mchana Pindi Ukionekana(3)Na Usiku Pindi Ukiufinika(4)}Sasaqa Allah Al3adhim[Alshams] Na Hio Ni kuweka Wakati Katika Aina Ya Kupatikana Na Moja Wao Itaenda Kuwa Kuwanzia wakatiwake{وَالنَّهَارِ إِذَا جَلَّاهَا}{Na Mchana Ukionekana}Na Ama Ingine Wakati Wake Ni{وَاللَّيْلِ إِذَا يَغْشَاهَا}{Na Usiku Ukiufinika}Na Hio Ni Wakati Wa Kuzama Juwa Magharibi Ndio Linapotea Juwa Na Hilala Inakimbia Nyuma Yake Kama Ilivo Kuwa vile vile Madhbuti Katika Hilal ya Ramadhani Ya Mwaka Wa 1428h,



Na Ama Aya Kuu Ama Alama Kuu Imekuwa Kwenye Hilal Ya Dhi Al7hijja Na Ma'ana Ya Kauli Yangu Kusema Kuu Yani Ilio bainika Na Iko Wazi Nayo Ni hio Alama Ambayo Amenisaidia Allah Nayo kwenye Hilal Ya Mwezi Dhi Al7hijja Pindi Imitimu Kuonekana Hilal Kutoka Kwa Walioshuhudia Kabla Wakati Wa Kushikana Na Lau Ungeuliza Wenye Ilmu Ya Falaki Wangesema Ni Katika Kisowezekana Kuonekana Alhilal kabla Ya Kukutana Lakini Imekuowa Ewe Habib Alhabib Na Ikatangaza Ufalme Wa Kiarabu Wa Ki Sudia Kuonekana Hilal Ya Mwezi Wa Dhi Al7hija Ba'ada Kuzama Juwa La Jumapili Kuingia Usiku Wa Jumatatu Na Lau Ungetafuta Magano Ya Kushikana Ungekuta Ba'ada Kuzama Juwa La Jumapili Kwa Mmda Wa Masaa Mengi Na Niko Na Swali Namlekezea Habib Alhabib Na Kwa Wanazuoni Wa Falaki Wote Katika Ulimwengu mbili Na Nasema Kwa Nini Imetimu Kuonekana Hilal Ya Dhi Al7hija 1428h Kwenye Kuzama Juwa La Jumapili Na Vile Bado Haijafika Magano Ya Kushikana?
Na Towa Kasam Kwa Allah Al3adhim Kuwa Wao Hawatopata Jibu La Haki Ispokuwa Kusadikisha Kwa Haki Hata Kama Wataendelea Kuishi Huku Watafuta Sababu Hata Waki'ishi Miyaka Tirilion Watapata Yakini Kuwa Ni Kweli Limipata Juwa Mwezi Enye Ma3ashara Ya Watu Na Je Kuna Wakukumbuka Na Wala Sio Burhan Iko Kwenye Sura za Mtu Wala Jina Lake Bali Burhan Iko Kwenye Utawala Wa Ilimu ..

Ewe Habib Alhabib Na Akitaka Ibnu Omar Akuoneshe Picha Yangu Mimi Sina Neno Kwa Hilo Na Salam Kwa Mitume Na Alhamdulillah Rabilalamin Ndugu Yenu Alimam Almahdi Nasser Muhammad Alyamani .

يا حبيب الحبيب وإن شاء إبن عمر أن يريك صورتي فلا مانع لدينا وسلام على المرسلين والحمدُ لله رب العالمين
أخوكم الإمام المهدي ناصر محمد اليماني
ـــــــــــــــــــ