الإمام ناصر محمد اليماني
28 - 12 - 1437 هـ
29 - 09 - 2016 مـ
05:39 مساءً
https://nasser-alyamani.org/showthre...86%D9%8A%D9%91
ــــــــــــــــــــ


Hivi Punde Kwa Wanadamu Wote,Bayana Ya Kalenda Ya Mwaka Ya Al'Qamariya Kutoka Kwa Muhkam Al'Quran Al3adhim Ya Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.

Bismillah Al'Rahman Al'Rahim,Na Sala Na Salam Kwa Wote Manabi Na Mitume Kutoka Mwanzo Wao Mpaka Khatim Wao Muhammad Mtume Wa Allah Na Kwa Wote Mitume Katika Kila Zama Na Mahali,Ama Ba'Ada Ya Hapo..

Na Enyi Ma3ashara Ya Wanadamu, Hakika Mimi Ni Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani Natangaza Kwa Watu Wote Kutokana Na Muhkam Ya Ukumbusho Al'Quran Al3adhim Kalenda Ya Mwaka Wa Al'Qamariya Kutoka Kwa Muhakma Ya Ukumbusho Ya Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani Kwa Watu Wote Kuanzia Mwanzo Mwezi Safar Alasfar Na Unaisha Mwaka Wa Al'Qamariya Kumalizikiya Mwisho Wa Mwezi Wa Al'Hija Ya Mwisho Wa Mwaka Wa Al'Qamariya Na Huo Kwenu Ni Mwezi Wa Muharam Al'Haram Ndio Mwisho Wa Mwaka Al'Qamariya,Kwa Kuwa Hisabu Ya miyezi Kwa Allah Ni Miyezi Kumi Na Mbili Katika Kitabu Cha Allah Al'Quran Al3adhim Ina'Anza Kwake Mwezi Wa Safar Al'Asfar Hio Kwenu Ndio Mwanzo Wa Mwezi Wa Mwaka Wa Al'Qamariya Katika Kitabu Cha Allah Al'Quran Al3adhim;Ina'Anza Kwanzia Tarehe 1/1 Safar Na Inamalizika Mwaka Wa Al'Qamariya Kumalizikiya Mwezi Wa Kuminambili Kwa Tarehe 30 Kutokana Na Mwezi Wa Muharam Al'Haram,Nayo
Ndio Mweisho Wa Miyezi Mi'Ine Ambao Ni Hurum Kwenye Kitabu Cha Allah Al'Quran Al'3adhim.

Hakika Sababu Ya "Alnisi"ya Mayahudi Kuakhirisha Mwaka Wao Kutokana Na Nafsi Zao Ili Wa'Afikiane Mwezi Wa Muharam Al'Haram Kwakuwa Huo Mwezi Ni Wa Mwisho Katika Mwaka Wa Al'Qamariya Yani Ni Mwezi wa kumi'Nambili Katika Miyezi Ya Mwaka Wa Al'Qamariya Na Ni Wa Inne Katika Miyezi Ya Al7hurum,Na Nam'Shuhudisha Allah Al'Wahid Al'Qahar Kuwa Bayana Yangu Hi Kuhusu Mwaka Wa Al'Qamariya Kwa Wanadamu Wote Ameifanya Allah Kutoka Alipo Umba Mbingu Na Ardhi Wala Sio Kalenda Ya Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani,Na Ma Hilal Ya Mwezi Kwa Hisabu Katika Muhkamu Al'Kitab Kwa Wanadamu Wote Na Wala Hakuja Na Kitu Kipya Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani;Bali Ame'Waeleza Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allah Aleyhi Walihi Wa Salam Kuwa Mwaka Wa Al'Qamariya Unaisha Ama Unamalizika Kumalizika Mwezi Wa Mu7haram Al'7haram,Lakini Wanazuwoni Wa Mamimbari Katika Wanazuoni Wa Kislamu Na Mayahudi Na Manasara Wote Kwa Ukumbusho Wanakanusha Kama Mfano Wa "Humron Mustanfira Farat Min Qaswara"Mapunda Miliya Wanamkimbia Simba,Na Yule Ambae Anamini Al'Quran Al3adhim Kuwa Ni Haki Kutoka Mola Mlezi Wa Walimwengu Ujumbe Wa Allah Kwa Walimwengu Ndio Nasema Huyo Hapo Mimi Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser MuhammD Al'Yamani Na Nani Huyo Ambae Yule Atakae Kunijadili Kwa Al'Quran Al3adhim Ispokuwa Nitamshinda Kwa Sultani Utawala Wa Al3ilmi Al'Muljam Unao'Nyamazisha Wanazuoni Wa Kislamu Wote Na Wa Kinasara Na Wakiyahudi Na Watu Wote?Basi Yule Ambae Anaona Kuwa Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani Yuko Kwenye Batil Katika Wanazuoni Wa Kislamu Na Mayahudi Na Manasara Alafu Nawambia Wote Kwa Pamoja;Mwenye Anao Uzito Wa tembe Wa Kiyume Yani Ajisikiya Yeye Ni Mwanamume Basi Ajitokeze Kuzungumza Na Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani,Kwa Sharti Asajili Jina Lake Sahihi La Kikweli Majina Yake Matatu Na Pic Yake Ya Kweli,Na Kwa Kila Mawanachuoni Mash'Huri Sehemu Yake Binafsi Kwenye Ukumbi Wetu Kwenye Tuvoti Yetu Tutamweka Mbele Tuvoti Ya Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani Muntadayat Al'Bushra Al'Islamiya,Na Hivo Ili Mpaka Wangalie Mazungumzo Yangu Na Yeye Wanadamu Wote Kwenye Entarnet Ya Kilimwengu Na Bila Kujikalifisha Nafsi Yake Mtafiti Wa haki Katika Watu Wakawaida Kusajili Jina Lake Ili Aweze Kuandika Neno Kutafuta Katika Sach Mazungumzo Ya Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Na Mwanachuoni Mash'Huri Fulani; Bali Kiyasi Ayingie Tu Link Ya Tuvoti Yetu Alafu Ataona Sehemu Ya Mwanachuoni Fulani Katika Ukurasa Wa Tuvoti Kwenye Ukurasa Wa Kwanza,Na aalafu Aingie Sehemu Ya Iliyo Husishwa Ya Mwanachoni Mash'Huri Fulani Aone Aliyo Shinda Ama Aliyo Shindwa,Na Je Ni nasser Muhammad Al'Yamani Ama Ni Mwanachuoni Mash'Huri Fulani? Na Imeharimishwa Na Wapa Amri Wote Ma Al'Ansar
Katika pembe zote Kutoingilia Ama Kutowa Maoni kwa Neno Moja baina ya Al'imam Na Mwanachuoni Mbabe Ambae Anajulikana Fulani;Bali Fa'Risan Kwa Faris Mpiganaji kwa mpiganaji Na Huyo Farasi Na hu Uwanja,Na Wala Simnyoshei Panga La Kumwaga Damu;Bali Panga La Utawala Wa Ilimu Inao Nyamzisha Ndimi kutoka Muhkam Al'Quran,Na Hanijadili Mwanachuoni Katika Al'Quran Ila Nitamshinda,Na Hata kama Nitawashinda Wote Wanazuoni Wa Kislamu na Manasara Na Mayahudi Wote Ila Moja Nikamshinda Kwa Masuwali 999 Na Akaniashinda Kwa Suali Moja Pekeyake na Akifanya Na Wala Hatofanya basi Imimpasa Ju Ya Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani Lana Ya Allah Na Malaika Wake Na Watu Wote,Na Hio Sio Chalenji ya Kujigamba Bali Chalenge ya Al'imam Al'Mahdi Al'Muntadhar katika Zama Za Mazungumzo Kabla Ya Kudhihirika Nasser Muhammad Al'Yamani,Kwa Kuwa Mimi Najuwa Sijai'iba Shakhsiya Ya Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Ambae Nyinyi Munaemgoja,Bali Haki Ni Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani amefanya Allah Jina Langu Habari Yangu Na Bendera Ya Jambo Langu,Na Hakumtumiliza Allah Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani Na Dini Impiya;Bali Naseran Kwa Yale Aliokuja Nayo Muhammad Mtume Wa Allah Kwa Bayana Ya Haki Ya Al'Quran Al'Majid inaotawala Ju Ya Tawurat Na Injil Na Suna Al'Nabawiya,Na Inao Khalifu Muhkam Al'Quran Al3adhim Kati Yao Basi Mujuwe Kuwa Hio Hadithi Imizushwa Ju Ya Allah Na Mtume Wake.

Na Labda Anataka Moja Katika Wanazuoni Wa Kislamu Kusema:"Taratibu Taratibu Ewe Nasser Muhammad Al'Yamani,Je Wewe Hujatuambia kuwa Unatulingania Kuhukumiwa Kwa Kitabu Cha Allah Na Suna Ya Mtume Wake Za Kweli,Basi ikoWapi hio hadithi Al'Nabawiya Ya Haki Ambae Inatowa Fatwa Kuwa Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam Asema Kuwa Mwezi Wa Muharam Ni Mwezi Wa Kumi Na Mbili Katika Mwaka Wa Al'Qamariya?",Na Alfu Anamrudishiya Jibu Al'Mahdi Al'Muntadhar Na Nasema;Na Haja'Wafundisha Muhammad Mtume Wa Allah Sallah Allhu Aleyhi Wa alihi Wa Salam kuwa Miyezi Mitatu Al'7hurum Zinafwatana Katika Mwaka Moja Wa Al'Qamariya Nazo Ni Dhu Al'Qaida Na Dhu Al'Hija Na Mu7haram?Na Ame'Wafundisha Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam Kuwa Hisabu Ya Miyezi Kwa Allah Ni Miyezi Kumi Na Mbili,Na Akasema Kati Yake Miyezi Mitatu 7hurum Zinafwatana Dhu Al'Qaida Na Dhu Al'Hija Na Mu7haram,Na Kutoka Hapo Alafu Mutajuwa Kuwa Mwaka Wa Al'Qamariya Unamalizikiya Kwa Mwezi Wa Alharam Wala Sio Wa'Anza Na Mwezi Wa Alharam.

Na Labda Huwenda Moja Katika Ma Al'Ansar Al'Sabiqina Al'Akhyar Katika Zama Za Mazungumzo Kabla Ya Kudhihirika Kutaka Kusema:"Ewe Imamu Wangu,Sisi Tumizowea Kuwa Uwa'Nyamazishe Ndimi Zao Kutoka Kwa Muhkam Al'Kitab Al'Quran Al3adhim Kuwa'Nyamazisha",Na Alafu An rudisha Jibu Kwa Waulizaji Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Na Nasema;Ilatu Nilitaka Kusmamisha Hoja Ju Yao Kwa Yale Ambao Zimihifadhi Nyonyo Zao Kutokana Na Haki Katika Mahadithi Al'Nabawiya Alafu Wanazitupa Nyuma Ya Migongo Yao Kwakuwa Zina'Afikiyana Na Muhkam Al'Quran Al'3adhim Alafu Wanafwata Kila Kinacho Khalifu Muhakam Kitabu Cha Allah Na Suna Ya Mtume Wake Za Haki,Yani Wanawacha Muhakam Zilo Wazi Katika Kitabu Cha Allah Na Suna Za Mtume Wake Zile Za Haki Alafu Wanafwata Mahadithi Za Al'Shetan Al'Rajim Kwenye Ndimi Za Wanafik Katika Mayahudi Wale Ambao Wantangaza Hadithi Ya Kinabawi Sio Ile Aliyo Isema Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam,Lakini Wanazuoni Kila Moja Wao Ka Punda Anabeba Mzigo Kwenye Chombo Ju Ya Mgongo Wake Lakini Hajuwi Alichokibeba,Na Mfano Wao Kama Mfano Wa Wale Waliyo Ibeba Al'Tawurat Alafu Hawakuibeba Kama Mfano Wa Punda Abeba Mzigo,Kwa Kuwa Mibabe Ya Wanazuoni Wa Waislamu Wamihifadhi Al'Quran Al3adhim Kwa Ghaib Ndani Ya Moyo Lakuni Hawafahamu Waliyo Ibeba Kama Mfano Wa Punda Anabeba Mzigo Kwenye Chombo Ju Ya Mgongo Wake Hajuwi Alicho Kibeba,Pamoja Na Kuwapa Hishma Naolea Radhi Wanazuoni Wote,Lakini Hi Ndio HAKIKA UKWELI CHUNGU HAMUWEZI KUOKANUSHA,Na Wala Hatuwalaumu kuto Kufahamu Ma Aya Ziliyo Fanana Na Haipiti 10% Bali Nalaumu Ju Yenu Kuto Fahamu Ma'Aya Za Kitabu Ambazo Ziko Wazi Muhakamat Ziliyo Baini Kwa Wanazuoni Na Watu Wa Kawaida Wanazifahamu Kila Mwenye Ulimi Wa Kiyarabu iliyo Wazi.

Na Labda Anataka Moja Ya WanaZuoni Kusema: Huyo Wewe Hapo Ewe Nasser Muhammad Al'Yamani Umibadilisha Tarehe Na Miyezi Kwa Pamoja ! Haya Tulete Kwa Burhan iliyo Wazi Kutoka Kwa Muhkam Al'Quran Al3adhm Kua Mwezi Wa Kwanza katika Miyezi Wa Mwaka Wa Al'Qamariya Ni Mwezi wa Safar,Kwakuwa Wewe Wadai Kuwa Mwaka Wa Al'Qamariya Unamalizikiya Na Mu7haram",Na Alafu Anawacha Jibu Al'Mahfi Al'Muntadhar Kutoka Kwa Al'Wa7hid Al'Qahar Kutoka Muhkam Ya Ukumbusho Kwa Kauli Yake Ta3ala:

{إِنَّ عدّة الشُّهُورِ عِندَ اللَّهِ اثْنَا عَشَرَ شَهْرًا فِي كِتَابِ اللَّهِ يَوْمَ خَلَقَ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضَ مِنْهَا أَرْبَعَةٌ حُرُمٌ ۚ ذَٰلِكَ الدِّينُ الْقَيِّمُ ۚ فَلَا تَظْلِمُوا فِيهِنَّ أَنفُسَكُمْ ۚ وَقَاتِلُوا الْمُشْرِكِينَ كَافَّةً كَمَا يُقَاتِلُونَكُمْ كَافَّةً ۚ وَاعْلَمُوا أَنَّ اللَّهَ مَعَ الْمُتَّقِينَ (36) إِنَّمَا النَّسِيءُ زِيَادَةٌ فِي الْكُفْرِ ۖ يُضَلُّ بِهِ الَّذِينَ كَفَرُوا يُحِلُّونَهُ عَامًا وَيُحَرِّمُونَهُ عَامًا لِّيُوَاطِئُوا عدّة مَا حَرَّمَ اللَّهُ فَيُحِلُّوا مَا حَرَّمَ اللَّهُ ۚ زُيِّنَ لَهُمْ سُوءُ أَعْمَالِهِمْ ۗ وَاللَّهُ لَا يَهْدِي الْقَوْمَ الْكَافِرِينَ (37) يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا مَا لَكُمْ إِذَا قِيلَ لَكُمُ انفِرُوا فِي سَبِيلِ اللَّهِ اثَّاقَلْتُمْ إِلَى الْأَرْضِ ۚ أَرَضِيتُم بِالْحَيَاةِ الدُّنْيَا مِنَ الْآخِرَةِ ۚ فَمَا مَتَاعُ الْحَيَاةِ الدُّنْيَا فِي الْآخِرَةِ إِلَّا قَلِيلٌ (38) إِلَّا تَنفِرُوا يُعَذِّبْكُمْ عَذَابًا أَلِيمًا وَيَسْتَبْدِلْ قَوْمًا غَيْرَكُمْ وَلَا تَضُرُّوهُ شَيْئًا ۗ وَاللَّهُ عَلَىٰ كُلِّ شَيْءٍ قَدِيرٌ (39) إِلَّا تَنصُرُوهُ فَقَدْ نَصَرَهُ اللَّهُ إِذْ أَخْرَجَهُ الَّذِينَ كَفَرُوا ثَانِيَ اثْنَيْنِ إِذْ هُمَا فِي الْغَارِ إِذْ يَقُولُ لِصَاحِبِهِ لَا تَحْزَنْ إِنَّ اللَّهَ مَعَنَا ۖ فَأَنزَلَ اللَّهُ سَكِينَتَهُ عَلَيْهِ وَأَيَّدَهُ بِجُنُودٍ لَّمْ تَرَوْهَا وَجَعَلَ كَلِمَةَ الَّذِينَ كَفَرُوا السُّفْلَىٰ ۗ وَكَلِمَةُ اللَّهِ هِيَ الْعُلْيَا ۗ وَاللَّهُ عَزِيزٌ حَكِيمٌ (40)} صدق الله العظيم [التوبة].
Allah Ta3ala Asema
{Hakika idadi ya miezi kwa Mwenyezi Mungu ni miezi kumi na mbili katika hukumu ya Mwenyezi Mungu tangu alipo umba mbingu na ardhi. Katika hiyo iko mine mitakatifu. Hiyo ndiyo Dini iliyo sawa. Basi msidhulumu nafsi zenu humo. Na piganeni na washirikina wote kama wao wnavyo pigana nanyi nyote. Na jueni kuwa Mwenyezi Mungu yu pamoja na wachamngu(36)Bila ya shaka kuakhirisha (miezi) ni kuzidi katika kukufuru; kwa hayo hupotezwa walio kufuru. Wanauhalalisha mwaka mmoja na kuharimisha mwaka mwingine, ili wafanye kuwa sawa idadi ya ile (miezi) aliyo itukuza Mwenyezi Mungu. Kwa hivyo huhalalisha alivyo viharimisha Mwenyezi Mungu. Wamepambiwa ubaya wa vitendo vyao hivi. Na Mwenyezi Mungu hawaongoi watu makafiri(37)Enyi mlio amini! Mna nini mnapo ambiwa: Nendeni katika Njia ya Mwenyezi Mungu, mnajitia uzito katika ardhi? Je, mmeridhia maisha ya dunia kuliko ya Akhera? Lakini starehe za maisha ya dunia kulinganisha na ya Akhera ni chache(38)Kama hamwendi atakuadhibuni adhabu chungu, na atawaleta watu wengine, wala nyinyi hamtamdhuru chochote. Na Mwenyezi Mungu ni Muweza wa kila kitu(39)Ikiwa nyinyi hamtamnusuru Mtume, basi Mwenyezi Mungu alikwisha mnusuru walipo mtoa walio kufuru, naye ni wa pili katika wawili walipo kuwa katika pango, naye akamwambia sahibu yake: Usihuzunike. Hakika Mwenyezi Mungu yu pamoja nasi. Mwenyezi Mungu akamteremshia utulivu wake, na akamuunga mkono kwa majeshi msiyo yaona, na akalifanya neno la walio kufuru kuwa chini, na Neno la Mwenyezi Mungu kuwa ndilo juu. Na Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye nguvu Mwenye hikima(40)}Sadaqa Allah Al3adhim[Altawuba]

Na Labda Anataka Moja Katik ya wanazuoni wa waislamu kusema:"Ni Mushrikina gani akusudia?",na alafu namwambia ukweli:Anakusudia washirikina wote walio baki makka bada ya baraa iwe ni katika mabeduwi wanao abudu masanamu ama ni mayahudi wanao abudu shetani ama kutoka kwa manasara wanao mwabudu Al'Masi7h Issa na Mamake sala Allahu ala Al'Masi7h Issa Mwana Wa Maryam Na Mamake na towa salam kwa wingi,Lakini Wale Waliyo Mshirikisha Allah wote sawa iwe ni mabeduwi Ama ni Manasara Ama Iwe ni Mayahudi Hakutaka Allah Kuwafanyia Nasibu Kubaki Maka Msikiti Wa Haram Wanakiro Kwa Nafsi Zao Kumshirikisha Allah:bali Anataka Allah Iwe Maka Msikiti Wa Haram Peke Ya Waislamu Ba'Ada Ya Baraa Kutekeleza Amri Ya Allah Kwenye Muhkam Ya Kitabu Chake Al'Quran Al'3adhim Katika Kauli Yake Ta3ala:
{يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِنَّمَا الْمُشْرِكُونَ نَجَسٌ فَلَا يَقْرَبُوا الْمَسْجِدَ الْحَرَامَ بَعْدَ عَامِهِمْ هَٰذَا ۚ وَإِنْ خِفْتُمْ عَيْلَةً فَسَوْفَ يُغْنِيكُمُ اللَّهُ مِن فَضْلِهِ إِن شَاءَ ۚ إِنَّ اللَّهَ عَلِيمٌ حَكِيمٌ (28)} صدق الله العظيم [التوبة].
Allah Ta3ala Asema:
{Enyi mlio amini! Hakika washirikina ni najsi, kwa hivyo wasiukaribie Msikiti Mtakatifu baada ya mwaka wao huu. Na ikiwa mnakhofia umasikini, basi Mwenyezi Mungu atakutajirisheni kwa fadhila yake akipenda. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua Mwenye hikima(28)}sadaqa Allah Al3adhim[Altawuba]

Na Labda antaka mulizaji Kusema:"Na Ni mwezi gani yaisha mwaka wa"baraa"Kujitowa kwenye jukumu?",Na alafu Anawarudishia Jibu Kwa waulizaji Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani Na Nasema:Hakika Mwaka Wa Al'Qamariya Ni Miyezi Kumi Na mbili Ina'Anziya Mwezi Wa Safar Al'Asfar Na Inamalizikiya Mwaka Wa Al'Qamariya Kumalizikiya Mwezi Wa Mu7haram Al'7haram Yani Thalathini Mu7haram Na"Alnisiyi"Kichelewesha ili kwajili wa'Wafikiyane Mwezi Wa Mu7haram Unao Funga Miyezi Ya Mwaka Wa Al'Qamariya Katika Kitabu Cha Allah Kutoka Alipo Umba Allah Mbingu Na Ardhi.

Na Labda Huwenda Mwanachuini Mwingine Kutaka Kusema:"Na Nini Burhan kwenye Muhkam Ya Al'Quran Kwa Kumalizikiya Mwaka Wao Katika Maka Alafu Ndio Watolewe Ba'Ada Ya Kumalizika Huo Mwaka?",Na Alafu Anawacha Al'Mahdi Al'Muntadhar Jibu Kutoka Muhakam Alkitab Moja Kwa Moja Kutoka Kwa Allah Ta3ala:
{بَرَاءَةٌ مِّنَ اللَّهِ وَرَسُولِهِ إِلَى الَّذِينَ عَاهَدتُّم مِّنَ الْمُشْرِكِينَ (1) فَسِيحُوا فِي الْأَرْضِ أَرْبَعَةَ أَشْهُرٍ وَاعْلَمُوا أَنَّكُمْ غَيْرُ مُعْجِزِي اللَّهِ ۙ وَأَنَّ اللَّهَ مُخْزِي الْكَافِرِينَ (2) وَأَذَانٌ مِّنَ اللَّهِ وَرَسُولِهِ إِلَى النَّاسِ يَوْمَ الحجّ الْأَكْبَرِ أَنَّ اللَّهَ بَرِيءٌ مِّنَ الْمُشْرِكِينَ ۙ وَرَسُولُهُ ۚ فَإِن تُبْتُمْ فَهُوَ خَيْرٌ لَّكُمْ ۖ وَإِن تَوَلَّيْتُمْ فَاعْلَمُوا أَنَّكُمْ غَيْرُ مُعْجِزِي اللَّهِ ۗ وَبَشِّرِ الَّذِينَ كَفَرُوا بِعَذَابٍ أَلِيمٍ (3) إِلَّا الَّذِينَ عَاهَدتُّم مِّنَ الْمُشْرِكِينَ ثُمَّ لَمْ يَنقُصُوكُمْ شَيْئًا وَلَمْ يُظَاهِرُوا عَلَيْكُمْ أَحَدًا فَأَتِمُّوا إِلَيْهِمْ عَهْدَهُمْ إِلَىٰ مُدَّتِهِمْ ۚ إِنَّ اللَّهَ يُحِبُّ الْمُتَّقِينَ (4) فَإِذَا انسَلَخَ الْأَشْهُرُ الْحُرُمُ فَاقْتُلُوا الْمُشْرِكِينَ حَيْثُ وَجَدتُّمُوهُمْ وَخُذُوهُمْ وَاحْصُرُوهُمْ وَاقْعُدُوا لَهُمْ كُلَّ مَرْصَدٍ ۚ فَإِن تَابُوا وَأَقَامُوا الصَّلَاةَ وَآتَوُا الزَّكَاةَ فَخَلُّوا سَبِيلَهُمْ ۚ إِنَّ اللَّهَ غَفُورٌ رَّحِيمٌ (5) وَإِنْ أَحَدٌ مِّنَ الْمُشْرِكِينَ اسْتَجَارَكَ فَأَجِرْهُ حَتَّىٰ يَسْمَعَ كَلَامَ اللَّهِ ثُمَّ أَبْلِغْهُ مَأْمَنَهُ ۚ ذَٰلِكَ بِأَنَّهُمْ قَوْمٌ لَّا يَعْلَمُونَ (6)} صدق الله العظيم [التوبة].
Allah Ta3ala Asema:
{Huku ni kujitoa Mwenyezi Mungu na Mtume wake kwenye jukumu la maagano na mlio ahidiana nao katika washirikina(1)Basi tembeeni katika nchi miezi mine, na jueni kwamba nyinyi hamwezi kumshinda Mwenyezi Mungu, na kwamba Mwenyezi Mungu ndiye anaye wahizi makafiri(2)Na ni tangazo kutokana na Mwenyezi Mungu na Mtume wake kwa wote siku ya Hija Kubwa kwamba Mwenyezi Mungu na Mtume wake hawana jukumu lolote kwa washirikina. Basi mkitubu itakuwa kheri kwenu, na mkigeuka basi jueni kuwa nyinyi hamumshindi Mwenyezi Mungu. Na wabashirie makafiri kuwa watapata adhabu chungu(3)Isipo kuwa washirikina ambao mliahidiana nao kisha wasikupunguzieni chochote, wala hawakumsaidia yeyote dhidi yenu, basi hao watimizieni ahadi yao mpaka muda wao. Hakika Mwenyezi Mungu huwapenda wacha-Mungu(4)Na ikisha miezi mitukufu basi wauweni washirikina popote mwakutapo, na washikeni na wazungukeni, na wavizieni katika kila njia. Lakini wakitubu, wakashika Sala, na wakatoa Zaka, basi waachilieni. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu(5)Na ikiwa mmoja wapo katika washirikina akikuomba ulinzi, basi mpe ulinzi apate kusikia maneno ya Mwenyezi Mungu. Kisha mfikishe pahala pake pa amani. Haya ni kwa kuwa hao ni watu wasiojua kitu(6)}Sadaqa Allah Al3adhim[Altawuba]

Na Anagalieni Kwenye Kauli Ya Allah Ta3ala:
{يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِنَّمَا الْمُشْرِكُونَ نَجَسٌ فَلَا يَقْرَبُوا الْمَسْجِدَ الْحَرَامَ بَعْدَ عَامِهِمْ هَٰذَا ۚ وَإِنْ خِفْتُمْ عَيْلَةً فَسَوْفَ يُغْنِيكُمُ اللَّهُ مِن فَضْلِهِ إِن شَاءَ ۚ إِنَّ اللَّهَ عَلِيمٌ حَكِيمٌ (28)} صدق الله العظيم
Allah Ta3ala Asema:
{Enyi mlio amini! Hakika washirikina ni najsi, kwa hivyo wasiukaribie Msikiti Mtakatifu baada ya mwaka wao huu. Na ikiwa mnakhofia umasikini, basi Mwenyezi Mungu atakutajirisheni kwa fadhila yake akipenda. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua Mwenye hikima(28)}sadaqa Allah Al3adhim[Altawuba]
Alafu angalieni vipi amiwafundisha Allah Katika Muhakam Ya Kitabu Chake Kuwa Mwaka Wa Al'Qamariya Inakhitimu Kumalizikiya Kwa Mwezi Wa Mu7haram,Na Akasema Allah Ta3ala:
{فَإِذَا انسَلَخَ الْأَشْهُرُ الْحُرُمُ} صدق الله العظيم،
Allah Ta3ala Asema:
{Na ikisha miezi mitukufu}Sadaqa Allah Al3adhim,Na Hapa Hamuwezi Wala Hamtoweza Kutoroka Kwa Makosa Yenu Ya Kitarikhi Ile Ambao Mu'Miwapata Masalaf Wenu Ju yake,Na Pindi Mukisema:"Bali Inamalizikiya Kwa Mwezi wa Dhu Al'Hija",Na Alafu Nasmamisha Ju Yenu Hoja Kwa Haki Na Nasema,Na Je Inamalizikiya Miyezi Ya Alharam Kumalizikiya Mwezi Wa Dhu Al'Hija?Kwani Hakusema Allah Ta3ala:
{يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِنَّمَا الْمُشْرِكُونَ نَجَسٌ فَلَا يَقْرَبُوا الْمَسْجِدَ الْحَرَامَ بَعْدَ عَامِهِمْ هَٰذَا ۚ وَإِنْ خِفْتُمْ عَيْلَةً فَسَوْفَ يُغْنِيكُمُ اللَّهُ مِن فَضْلِهِ إِن شَاءَ ۚ إِنَّ اللَّهَ عَلِيمٌ حَكِيمٌ (28)} صدق الله العظيم؟
Allah Ta3ala Asema:
{Enyi mlio amini! Hakika washirikina ni najsi, kwa hivyo wasiukaribie Msikiti Mtakatifu baada ya mwaka wao huu. Na ikiwa mnakhofia umasikini, basi Mwenyezi Mungu atakutajirisheni kwa fadhila yake akipenda. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua Mwenye hikima(28)}sadaqa Allah Al3adhim[Altawuba]

Na Hivo hivo Je Hakusema Allah Ta3ala
{فَإِذَا انسَلَخَ الْأَشْهُرُ الْحُرُمُ فَاقْتُلُوا الْمُشْرِكِينَ حَيْثُ وَجَدتُّمُوهُمْ وَخُذُوهُمْ وَاحْصُرُوهُمْ وَاقْعُدُوا لَهُمْ كُلَّ مَرْصَدٍ ۚ فَإِن تَابُوا وَأَقَامُوا الصَّلَاةَ وَآتَوُا الزَّكَاةَ فَخَلُّوا سَبِيلَهُمْ ۚ إِنَّ اللَّهَ غَفُورٌ رَّحِيمٌ (5) وَإِنْ أَحَدٌ مِّنَ الْمُشْرِكِينَ اسْتَجَارَكَ فَأَجِرْهُ حَتَّىٰ يَسْمَعَ كَلَامَ اللَّهِ ثُمَّ أَبْلِغْهُ مَأْمَنَهُ ۚ ذَٰلِكَ بِأَنَّهُمْ قَوْمٌ لَّا يَعْلَمُونَ (6)} صدق الله العظيم؟
Allah Ta3ala Asema:
{Na ikisha miezi mitukufu basi wauweni washirikina popote mwakutapo, na washikeni na wazungukeni, na wavizieni katika kila njia. Lakini wakitubu, wakashika Sala, na wakatoa Zaka, basi waachilieni. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu(5)Na ikiwa mmoja wapo katika washirikina akikuomba ulinzi, basi mpe ulinzi apate kusikia maneno ya Mwenyezi Mungu. Kisha mfikishe pahala pake pa amani. Haya ni kwa kuwa hao ni watu wasiojua kitu(6)}Sadaqa Allah Al3adhim[Altawuba]

Na Ninani Huyo Atakae Ni'Jadili Katika Kalenda Iliyo Kwenye Qurani Kutoka Alipo Umba Al'Wa7hid Al'Qahar Mbingu Na Ardhi? Na Huyo Mimi Hapa Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani Ju Ya Puwa Zenu Nabadilisha Tarikhi Zenu Za Bandiya Kutoka Kwa Nafsi Zenu,Na Tukawaletea Tarikhi Ya Haki Kwa Jili Ya kalenda Ya Mwaka Wa Al'Qamariya Kwa Wanadamu Wote Katika Zama Za Kutumilizwa Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani Khalifa Wa Allah Katika Duniya,Mumetaka Ama Mumikata Hamuna Kwenu Mamuzi Wala Uchaguzi Wa Khalifa Wa Allah Pasi Na Yeye Enye Ma3ashara Ya Mashi3A Al'Ithna3ashar Wale Ambao Wameshikiliya Kitabu Bi7har Al'Anwar Wakawacha Al'Quran Yenye Ukumbusho Nyuma Ya Migongo Yao,Na Wala Hamuna Kuchaguwa Enye Ma3ashara Ya Al'Suna Wa Al'Jama3a Wanao Shikiliya Kitabu Albukhari Na Muslim Wakawacha Al'Quran Yenye Ukumbusho Nyuma Ya Migongo Yao, Bali Allah Anaumba Kila Kitu Na Anachaguwa,Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{فَأَمَّا مَن تَابَ وَآمَنَ وَعَمِلَ صَالِحًا فَعَسَىٰ أَن يَكُونَ مِنَ الْمُفْلِحِينَ (67) وَرَبُّكَ يَخْلُقُ مَا يَشَاءُ وَيَخْتَارُ ۗ مَا كَانَ لَهُمُ الْخِيَرَةُ ۚ سُبْحَانَ اللَّهِ وَتَعَالَىٰ عَمَّا يُشْرِكُونَ (68) وَرَبُّكَ يَعْلَمُ مَا تُكِنُّ صُدُورُهُمْ وَمَا يُعْلِنُونَ (69) وَهُوَ اللَّهُ لَا إِلَٰهَ إِلَّا هُوَ ۖ لَهُ الْحَمْدُ فِي الْأُولَىٰ وَالْآخِرَةِ ۖ وَلَهُ الْحُكْمُ وَإِلَيْهِ تُرْجَعُونَ (70)} صدق الله العظيم [القصص].
Allah Ta3ala Asema:
{ Ama mwenye kutubu na akaamini na akatenda mema, huyo atakuwa miongoni mwa wenye kufanikiwa(67)Na Mola wako Mlezi huumba na huteuwa atakavyo. Viumbe hawana khiari. Mwenyezi Mungu ametukuka na ametakasika na hao wanao washirikisha naye(68) Na Mola wako Mlezi anayajua yaliyo ficha vifua vyao, na wanayo yatangaza.(69 Naye ni Mwenyezi Mungu ambaye hapana mungu isipo kuwa Yeye. Sifa zote njema ni zake Yeye, mwanzo na mwisho. Na hukumu ni yake Yeye. Na kwake Yeye mtarejeshwa(70)}Sadaqa Allahu Al3adhim[Alqasas}

Lakini ujinga wenu kuwa Hamukutafakari Kuaa Ile Miyezi Mitatu Zinafwatana Kama Munavo Juwa Inamalizikiya Nazo Mwaka Wa Alqamariya Ndio Inakhitimu Kwa Mwezi Wa Mu7haram,Ama Munataka Kuingiza Mwaka Kwa Mwaka?Ama Mwataka Kufanya Mwaka Ni Miyezi Kumi Na Moja Unamalizikiya Kwa Dhi Alhija Mwezi Wa Muharam Watatu?Na Muna Nini Kitu gani Kimiwapata?

Na Kwa Kila Hali Nimiwasubiriya Miyaka Kuminambili Yanamalizikiya Kwa Mwezi Wa Muharam Ambao Kutokezea Mwangaza Siku Ya Juma Mosi Mumitaka Ama Mumikata,Na Mutaenda Kupata Siku Ya Kutimu Albadar Enyi Ma3ashara Ya Al'Anssar Usiku Wa Jumamosi Siku Ya Nusu Wa Mwezi Wa Muharam,Na Kuwafikiyana Na Nyakati Ya Mwadhini Wa Swala Ya Alfajiri Kama Nilivo Wafundisha Hapo Awali Kuwa Nyakati Za Kuzama Mwezi masiku Za Kuwa kamili Badar,Na Hivo Hivo Inazama Mwezi Wa Albadar Wa Pili Siku Ya kuminasita Katika Nyakati Ya Kivuli Cha Alfajiri Ya Jumapili.

Na Ujuwe Na Ufahamu Nacho sema,Basi Kiyasi Gani Nimiwahadharisha Usiku Na Mchana Kuwa Juwa Limipata Mwezi Kusadikisha Sharti Katika Masharti Ya Saa Kuu Na Alama Ya Kumsadikisha Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani Mukanichukulia Kunikejeli Ila Walio Rehemewa Na Mola Mlezi Wangu Na Hukumu Ni Ya Allah Na Yeye Ni Mwenye Haraka Wa Kufanya Hisabu?Na Bado Ba'adhi Ya Ma Al'Ansar Wanajifitini Nafsi Zao Kwa mahisabu Ya Adhabu! na Kiyasi Gani Nimiwamuru Kwa Yale Aliyo Mwamrisha Nayo Mtume Wake kuwa Aseme Katika Kauli Ta Allah Ta3ala:

{وَيَقُولُونَ مَتَىٰ هَٰذَا الْوَعْدُ إِن كُنتُمْ صَادِقِينَ (25) قُلْ إِنَّمَا الْعِلْمُ عِندَ اللَّهِ وَإِنَّمَا أَنَا نَذِيرٌ مُّبِينٌ (26)} صدق الله العظيم [الملك].
Allah Ta3ala Asema:{Na wanasema: Lini ahadi hii, ikiwa mnasema kweli?(25)Sema: Hakika ujuzi wake uko kwa Mwenyezi Mungu; na hakika mimi ni mwonyaji tu mwenye kubainisha.(26)}
Sadaqa Allah Al3adhim[Almulk]

Hata Kama Itakuwa Iko Karibu Basi Musijifitini Nafsi Zenu Kwa Magano Kutoka Kwa Nafsi Zenu,Na Mukite Kwa Amri Ya Allah kwa Kuwa Wale Ambao awati Akili bila Shaka watachelewesha Kusadiki Kwa Haki kutoka Mola Mlezi Wao Mpaka Siku hio mpaka Waone Adhabu Inao Umiza,Kwakuwa Wao Kama mfano Ya Wale Walisema:
{وَإِذْ قَالُوا اللَّهُمَّ إِن كَانَ هَٰذَا هُوَ الحقّ مِنْ عِندِكَ فَأَمْطِرْ عَلَيْنَا حِجَارَةً مِّنَ السَّمَاءِ أَوِ ائْتِنَا بِعَذَابٍ أَلِيمٍ} صدق الله العظيم [الأنفال:32].
Allah Ta3ala Asema:
{Na walipo sema: Ee Mwenyezi Mungu! Ikiwa haya ni kweli itokayo kwako basi tunyeshee mawe kutoka mbinguni, au tuletee adhabu yoyote iliyo chungu(32)}Sadaqa Allah Al3adhim[Alanfal].

Bali Mtu Mwenye Akili Asema:Ewe Mola Wangu Ikiwa Hi Ndio Haki Kutoka Kwako Basi Usifanye Kwenye Nyonyo Zetu Upofu Na Utuoneshe nayo Na Uongoze Nyoyo Zetu Kwenye Njiya Uongofu Kwa Rahma Yako Ewe
Mwenye Huruma Zaidi Ya Mwenye Huruma".

Na Salam Ju Ya Mitume Na Alhamdulillah Rabi Al3alamin..
Khalifa Wa Allah Katika Ardhi Na Mja Wake Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani,

ــــــــــــــــــــــــ