الردّ الملجم بالبرهان المُحْكم من القرآن العظيم على الدكتور أحمد عمرو..
Kurudisha dhidi kwa burhan ambayo ni mu7hkam kutoka kwa Alquran Al3adhim kwa daktari Ahmad omro..


بسم الله الرحمن الرحيم، والصلاة والسلام على جدّي محمد رسول الله صلّى الله عليه وآله وسلّم وجميع المرسلين والتابعين لدعوة الحقّ من ربّهم في كل زمانٍ ومكانٍ إلى يوم الدّين، أما بعد..
Bismi Allah Alrhman Alrahim,
Na sala na salamu zimshukie babu yangu Muhammad mtume wa Allah rehma na Amani zimshukie na alihi na ju ya mitume wote na walio fwata ulinganizi wa haki kutoka mola wao mlezi katika kila pahali na zama zote mpaka siku ya dini
Ama baad
Allah Ta3ala Asema:
{ أَلَمْ تَرَوْا كَيْفَ خَلَقَ اللَّهُ سَبْعَ سَماواتٍ طِباقاً (15) وَجَعَلَ الْقَمَرَ فِيهِنَّ نُوراً وَجَعَلَ الشَّمْسَ سِراجاً (16) وَاللَّهُ أَنْبَتَكُمْ مِنَ الْأَرْضِ نَباتاً (17) ثُمَّ يُعِيدُكُمْ فِيها وَيُخْرِجُكُمْ إِخْراجاً (18) وَاللَّهُ جَعَلَ لَكُمُ الْأَرْضَ بِساطاً (19) لِتَسْلُكُوا مِنْها سُبُلاً فِجاجاً (20) }
صدق الله العظيم [نوح]

Amesema Allah Ta3ala:{hivi hamukona vipi amiumba Allah mbingu tabaka saba(15)akafanya mwezi ndaniyake nuru akafanya juuwa Linawaka(16)Na Allah ame wameza katika ardhi mimea(17)Alafu atawarudisha ndani yake awatowe kutolewa(18)Ili mupite ndani yake njia fujajan(19)sadaqa Allahu Al3adim[Nu7h


Na kwa bayana kwa haki kwa kauli ya Allah Ta3ala;

{ وَاللَّهُ أَنْبَتَكُمْ مِنَ الْأَرْضِ نَباتاً }
صدق الله
Allah Ta3ala amesema:{Na Allah amewameza katika ardhi mimea)sadaqa Allah Al3adhim,
Na swali linajitokeza lenyewe na ni nini hio nabat mimea?na jibu:Ni mbegu ambayo inamea kwa kulima na vile vile watu mwanzo wao ni mbegu mwanamume anarusha kwa shamba la mkewake akilima,
Akasema Allah Ta3ala:
{ نِسَآؤُكُمْ حَرْثٌ لَّكُمْ } صدق الله العظيم [البقرة:223]
Amesema Allah ta3ala:{wake zenu ni mashamba yenu}sadaqa Allah Al3adhim

Na swali linakuja linyewe ni mmea gani anao rusha mwanamume katika sehemu ya siri ya mwanamke?na jawabu:
{ أَفَرَ‌أَيْتُم مَّا تُمْنُونَ ﴿٥٨﴾ أَأَنتُمْ تَخْلُقُونَهُ أَمْ نَحْنُ الْخَالِقُونَ ﴿٥٩﴾ } صدق الله العظيم [الواقع
Amesema Allah Ta3ala:{mumiona mukiweka mani(58)ni nyinyi munaemumba Ama sisi waumbaji(59)sadaqa Allah Al3adhim:Alwaqi3a
Na kuna swali lingine na ni lini imitimia ku'umbwa kwa hizi mbengu za watu?Najawabu mutalikuta katika mu7hkam Alkitab katika kauli yale Aah Ta3ala:
{ وَمِنْ آيَاتِهِ أَنْ خَلَقَكُم مِّن تُرَابٍ ثُمَّ إِذَا أَنتُم بَشَرٌ تَنتَشِرُونَ } صدق الله العظيم [الروم:20]
Amesema Allah Ta3ala:{Na katika aya zake amiwaumba kwa mchanga alfu mumekuwa watu munao enea}sadaqa Allah Al3adhim[Alrum:20

Kwahivo sio pekeyake babayetu Adam aleyhi asalat wa salam ime timu kumbwa kwake kwa mchanga bali pia kizazi chake amiwaumba Allah na baba yao Adam siku alipo mumba katika ardhi kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{ هوَ أَعْلَمُ بِكُمْ إِذْ أَنشَأَكُم مِّنَ الأَرْضِ وَإِذْ أَنتُمْ أَجِنَّةٌ فِي بُطُونِ أُمَّهَاتِكُمْ فَلا تُزَكُّوا أَنفُسَكُمْ هُوَ أَعْلَمُ بِمَنِ اتَّقَى } صدق الله العظيم [النجم:32]
Amesema Allah Ta3ala:{yeye anawajuwa pale amiwatowa kwenye ardhi pindi nyinyi ni ki'initete katika matumbo ya mamazenu basi musijitakase nafsi zenu yeye ndio anajuwa yule ambae nimchaji}sadaqa Allahu Al3adhim:Alnajm:32

Na kabla kuwa mtu ni kiinitete katika tumbo la mamake tayari ishatangulia wakati wa kua'anza kumbwa kwa mchanga katika maummah (almanawia) mbegu za kiume katika mgongo wa babayetu adam aleyhi asalat wasalam,na kila iniitete ni kizazi katika mgongo wake,Na labda haija gunduwa ilimu sasa ila ki'initete katika mani ya mwanamume,na kutoka hapo nasema;

[Hakika ndani katika ile ki'initete kizazi anaibeba katika mgongo alafu aliumbwa siku alipo Allah mumba babayetu Adam katika umri tukeapo,na kisha akachukuwa kwa maummah za mbengu ahdi ya milele ya mola mlezi sub7hanahu akawa semesha wote subhanahu akawambia:mimi mola mlezi wenu?wakasema ndio]

Akasema Allah Ta3ala:

{ وَإِذْ أَخَذَ رَ‌بُّكَ مِن بَنِي آدَمَ مِن ظُهُورِ‌هِمْ ذُرِّ‌يَّتَهُمْ وَأَشْهَدَهُمْ عَلَىٰ أَنفُسِهِمْ أَلَسْتُ بِرَ‌بِّكُمْ قَالُوا بَلَىٰ شَهِدْنَا أَن تَقُولُوا يَوْمَ الْقِيَامَةِ إِنَّا كُنَّا عَنْ هَـٰذَا غَافِلِينَ ﴿١٧٢﴾ أَوْ تَقُولُوا إِنَّمَا أَشْرَ‌كَ آبَاؤُنَا مِن قَبْلُ وَكُنَّا ذُرِّ‌يَّةً مِّن بَعْدِهِمْ أَفَتُهْلِكُنَا بِمَا فَعَلَ الْمُبْطِلُونَ ﴿١٧٣﴾ }
صدق الله العظيم [الأعراف]
Amesema Allah Ta3ala:{na pindi alipo chukuwa molawako mlezi kutoka kwa wana wa Adam kutokana migongo yao kizazi chao akawa'shuhudisha ju ya nafsi zao mimi mola wenu mlezi?wakasema ndio tumishuhudia uhakika kuwa siku ya kiyama hakika sisi tulikuwa kwa haya katika waloghafilika(171)Ama museme kwakweli ni babazetu ndio mushrikina kutoka mwanzo na tulikuwa kizazi bada yao hivi utatuangamiza kwa yale walio fanya watu wa batil(172)sadaqa Allah Al3adhim:Ala3raf

Na hio ndio umbile ambalo amiwaumba nalo watu ju yake kuwa wamuabudu Allah pekeyake wasimshirikishe na chochote kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:

{ فَأَقِمْ وَجْهَكَ لِلدِّينِ حَنِيفًا فِطْرَةَ اللَّهِ الَّتِي فَطَرَ النَّاسَ عَلَيْهَا لا تَبْدِيلَ لِخَلْقِ اللَّهِ ذَلِكَ الدِّينُ الْقَيِّمُ وَلَكِنَّ أَكْثَرَ النَّاسِ لا يَعْلَمُونَ
} صدق الله العظيم [الروم:30]
Allah Ta3ala Amesema:{Na usmamishe uso wako kwa dini wima umbile la Allah ambalo aliwaumbia watu ju yake haibadiliki kwa umbile la Allah hio ndio dini qayimu lakini wingi katika watu hawajuwi}sadaqa Allh Al3adhim:[Alrum:30

Na kisha akchaguwa kati yao manabi na maimam wa kitabu wale ambao amiwafanya maimam na makhalifa katika ardhi na akawapa majina yao katika kitabu,alafu akamjulisha babayao Adam sala Allah aleyhi wa salam manabi wote na maimam wa kitabu katika kizazi chake kwajili Allah amiwachaguwa warithi wake katika ardhi kwakuwa yeye anajuwa kuwa hawatodhulumu waja wake wakawa ni matughat na wahalifu,alafu akawasilisha Allah majina yao kwa malaika,akasema Allah
Ta3ala:

{ وَعَلَّمَ آدَمَ الأَسْمَاء كُلَّهَا ثُمَّ عَرَضَهُمْ عَلَى الْمَلاَئِكَةِ فَقَالَ أَنبِئُونِي بِأَسْمَاء هَـؤُلاء إِن كُنتُمْ صَادِقِينَ (31) }
صدق الله العظيم [البقرة:
Amesema Allah Ta3ala:{Akamfundisha Adam majina yote alafu akawasilisha kwa malaika akasema niambieni kwa majina yao hawa ikiwa nyinyi ni wakweli(31)Sadaqa Allah Al3adhim[Albaqara:31

Kwakuwa wami towa fatwa yao kabla hawajaumbwa kuwa watakuwa wenye ufisadi katika ardhi yani madhalimu katika kuhukumu kwao na watamwaga damu bila ya haki kwa dhulma na uonevu ju ya watu,lakini malaika wa Alrahman wamikosa kwa hayo kwakuwa Allah anajuwa nani anae mchaguwa na kumrithisha na yule ambae atakuwa anastahiki kupewa uongozi wa khilafa wala sio malaika wanajuwa kuliko mola wao mlezi mpaka alipo wambia:

{ وَإِذْ قَالَ رَبُّكَ لِلْمَلائِكَةِ إِنِّي جَاعِلٌ فِي الأَرْضِ خَلِيفَةً قَالُوا أَتَجْعَلُ فِيهَا مَنْ يُفْسِدُ فِيهَا وَيَسْفِكُ الدِّمَاءَ وَنَحْنُ نُسَبِّحُ بِحَمْدِكَ وَنُقَدِّسُ لَكَ قَالَ إِنِّي أَعْلَمُ مَا لا تَعْلَمُونَ }
صدق الله العظيم [البقرة:30]
Allah Ta3ala anasema:{Na pindi alipo sema Allah kwa malaika hakika mimi nitafanya katika ardhi khalifa,wakasema utfanya ndani yake yule mwenye kufanya ufisadi ndani yake na kumwaga damu na sisi tunakusabih kwa himdi yako na tunakutukuza kwako akasema mm najuwa kile musokijuwa}sadaqa Allahu Al3adhim[Albaqara:30

Na angalia jibu la Allah kwa malaika wake akasema:
{ إِنِّي أَعْلَمُ مَا لا تَعْلَمُونَ }
Asema Allah Ta3ala:{hakika mimi najuwa yale musio yajuwa,}Yani najuwa kuwa wao wanastahiki khilafa,na mulijuwaje kuwa watakuwa wanafanya ufisadi katika ardhi wanadhulumu watu?alafu aksmamisha Allah hoja ju ya malaika akawasilisha manabi wote na maimamu wa kitabu kwa malaika akasema:
{ أَنبِئُونِي بِأَسْمَاء هَـؤُلاء إِن كُنتُمْ صَادِقِينَ(31) } صدق الله العظيم [ا
Asema Allah Ta3ala:{niambieni majina ya hawa ikiwa nyinyi ni wakweli}sadaqa Allah Al3adhim[Albaqara:31
Na hapo imiwaingia uowoga katika nyoyo za malaika wake waliokaribu wakajuwa wao wamipitisha yale sio haki yao kuchaguwa ndani yake kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:

{ وَرَبُّكَ يَخْلُقُ مَا يَشَاءُ وَيَخْتَارُ مَا كَانَ لَهُمُ الْخِيَرَةُ سُبْحَانَ اللَّهِ وَتَعَالَى عَمَّا يُشْرِكُونَ (68) وَرَبُّكَ يَعْلَمُ مَا تُكِنُّ صُدُورُهُمْ وَمَا يُعْلِنُونَ (69) }
صدق الله العظيم [القصص
Allah Ta3ala asema:{na mola wako mlezi anaumba anachotaka na anachaguwa haikuwa kwao ni wenye kuchaguwa subhana Allah wata3ala kwa yale wanaomshirikisha(68)na mola wako mlezi ajuwa yale yalio ficha vifuwa vao na yale wanaotangaza(69)}sadaqa Allah Al3adhim[Alqasas

Na alafu wakajuwa malaika imipita kitu ndani ya nafsi ya Allah kwa sababu ya kauli yao:
أَتَجْعَلُ فِيهَا مَنْ يُفْسِدُ فِيهَا وَيَسْفِكُ الدِّمَاءَ وَنَحْنُ نُسَبِّحُ بِحَمْدِكَ وَنُقَدِّسُ لَكَ قَالَ إِنِّي أَعْلَمُ مَا لا تَعْلَمُونَ }،
Allah Ta3ala Anasema:{utafanya ndani yake mwenye kufanya ufisadi na kumwaga damu na sisi tunakusabih kwako akasema hakika najuwa kile musokijuwa},lakini wao sio wanaejuwa kuliko mola wao mlezi na hawakutambuwa makosa yao ju ya haki ya mola wao mlezi mpaka pindi alipo sema Allah kwa malaika wake walio karibu:
أَنبِئُونِي بِأَسْمَاء هَـؤُلاء إِن كُنتُمْ صَادِقِينَ } صدق الله العظيم،
Amesema Allah ta3ala:{niambieni majina ya hawa ikiwa ninyi ni wa kweli}sadaqa Allah Al3adhim,yani ikiwa nyinyi ni wakweli kuwa hawa watafanya ufisadi na umwagaji damu kwa dhulma na uwadui,na kitu gani kitwafanya wajuwe kwa kazi ya makhalifa wa Allah katika ardhi mpaka pindi alipo wasilisha Allah mbeleyao hawakuweza kujuwa hata majina ya makhalifa wa Allah!wakajuwa kuwa wamiwazulia kwa haki yao na hakika Allah ndio anae juwa yule anae mchaguwa na kumrithisha,Na alafu walimsabe7h mola wao wakamnyenyekea kwakuogopa na udhalilifu na kukiri makosa yao kuwa wao hawana ilmu kuliko Allah:
{ قَالُواْ سُبْحَانَكَ لاَ عِلْمَ لَنَا إِلاَّ مَا عَلَّمْتَنَا إِنَّكَ أَنتَ الْعَلِيمُ الْحَكِيمُ } صدق الله العظيم [البقرة:32]
Allah Ta3ala Asema:{wakasema subhanaka hatuna ilimu ila yale uliotuilimisha hakika wewe wajuwa mwenye hikma}sadaqa Allah Al3adhim[Albaqara:32]

Na alafu akataka Allah kuwafundisha burhan alama ya unabi na khilafa na uimamu kuwa anamzidisha yule anae mchaguwa na kumrithisha basta katika ilimu ya kitabu ili awe ana ilimu ju ya wale alio mpa ukhilafa ju yao,akasema Allah Ta3ala:
{ وَعَلَّمَ آدَمَ الأَسْمَاءَ كُلَّهَا ثُمَّ عَرَضَهُمْ عَلَى الْمَلائِكَةِ فَقَالَ أَنْبِئُونِي بِأَسْمَاءِ هَؤُلاء إِنْ كُنتُمْ صَادِقِينَ (31) قَالُوا سُبْحَانَكَ لا عِلْمَ لَنَا إِلاَّ مَا عَلَّمْتَنَا إِنَّكَ أَنْتَ الْعَلِيمُ الْحَكِيمُ (32) قَالَ يَا آدَمُ أَنْبِئْهُمْ بِأَسْمَائِهِمْ فَلَمَّا أَنْبَأَهُمْ بِأَسْمَائِهِمْ قَالَ أَلَمْ أَقُلْ لَكُمْ إِنِّي أَعْلَمُ غَيْبَ السَّمَوَاتِ وَالأَرْضِ وَأَعْلَمُ مَا تُبْدُونَ وَمَا كُنتُمْ تَكْتُمُونَ (33) } صدق الله العظيم [البقرة
amesema Allah Ta3ala:{Na Akamfundisha Adam majina yote alafu akawasilisha kwa malaika akasema niambieni majina ya hawa ikiwa nyinyi ni wa kweli(31)wakasema subhanaka hatuna ilimu ila yale ulio tufundisha hakika wewe ndio mwenye kujuwa mwenye hikma(32)akasema ewe Adam wambie majina yao,pindi alipo wambia majina yao,akasema je siniliwambia hakika mimi najuwa ghaib ya mbingu na ardhi na najuwa kile munacho onesha na yale mulikuwa mumiyaficha(33)}sadaqa Allahu Al3adhim:Albaqara

Kwakuwa Allah yeye ndio anajuwa nani atamchaguwa amrithishe,kwa kusadikisha kauli ya Allah


{ وَرَبُّكَ يَخْلُقُ مَا يَشَاءُ وَيَخْتَارُ مَا كَانَ لَهُمُ الْخِيَرَةُ سُبْحَانَ اللَّهِ وَتَعَالَى عَمَّا يُشْرِكُونَ (68) وَرَبُّكَ يَعْلَمُ مَا تُكِنُّ صُدُورُهُمْ وَمَا يُعْلِنُونَ (69) } صدق الله العظيم [القصص
Amesema Allah Ta3ala:{Na molawako anaumba anacho taka na anachaguwa hawakuwa ni wenye kuchaguwa subhanahu Allah Ta3ala kwa yale wanao mshirikisha(68)na mola wako anajuwa yale yanaoficha vifuwa vao na wanacho tangaza(69)}sadaqa Allah Al3adhim[Alqasas


Mpaka pindi akismamisha khalifa wa Allah ju ya malaika wa Alrahman hoja kuwa Allah amimzidisha basta katika ilmu Alikitab ju yao alafu Allah aliwamuru malaika wake wamsujudie Adam ba'ada alipo weka burhan ushuhuda ilio wazi kuwa yeye ana ilimu kuwaliko akawafundisha yale walikuwa hawajuwi kwa kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala;
{ قَالَ يَا آدَمُ أَنْبِئْهُمْ بِأَسْمَائِهِمْ فَلَمَّا أَنْبَأَهُمْ بِأَسْمَائِهِمْ قَالَ أَلَمْ أَقُلْ لَكُمْ إِنِّي أَعْلَمُ غَيْبَ السَّمَوَاتِ وَالأَرْضِ وَأَعْلَمُ مَا تُبْدُونَ وَمَا كُنتُمْ تَكْتُمُونَ (33) وَإِذْ قُلْنَا لِلْمَلائِكَةِ اسْجُدُوا لآدَمَ فَسَجَدُوا إِلاَّ إِبْلِيسَ أَبَى وَاسْتَكْبَرَ وَكَانَ مِنْ الْكَافِرِينَ (34) } صدق الله العظيم [البقرة
Amesema Allah Ta3ala:{akasema ewe Adam wambie majina yao alipo wambia watajia majina yao akasema je siniliwambia mimi najuwa ghaib ya mbingu na ardhi na yale munao onesha na yale mulikuwa munaficha(33)Na pindi tulipo wambia malaika msujudieni Adam wakasijudu ila ibilisi amikata na akfanya kibri akawa katika makafiri(34)sadaqa Allah Al3adhim[Albaqara


Na hatutaki tuogele katika bahari ya ilimu ya kitabu mbali, na turudi kwa ummah za bengu za kiume wale walikuwa wako katika uwanja kwakuwa aliwaumba kwa wakati huo huo alio umba baba yao Adam aleyhi asalat wasalam,kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{ مَا خَلْقُكُمْ وَلاَ بَعْثُكُمْ إِلاَّ كَنَفْسٍ وَاحِدَةٍ إِنَّ اللَّهَ سَمِيعٌ بَصِيرٌ } صدق الله العظيم [لقمان:28]
Amesema Allah ta3ala:{hajawaumba wala kuwafufuwa ispokuwa kama nafsi moja hakika Allah ni mwenye kusikia na kuona}sadaqa Allah Al3adhim[luqman:28

Wakati tayari tushajuwa lini amianza Allah kuwaumba na kuwa wao ni kutokana na mchanga siku alipo umba Allah babayao Adam:kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{ هوَ أَعْلَمُ بِكُمْ إِذْ أَنشَأَكُم مِّنَ الأَرْضِ وَإِذْ أَنتُمْ أَجِنَّةٌ فِي بُطُونِ أُمَّهَاتِكُمْ فَلا تُزَكُّوا أَنفُسَكُمْ هُوَ أَعْلَمُ بِمَنِ اتَّقَى } صدق الله العظيم [النجم:32]
Allah Ta3ala Asema:{yeye anawajuwa pindi alipo watowa katika ardhi, pindi nyny ni ki'initete katita matumbo ya mama yenu na musijitukuze nafsi zenu yeye anajuwa ni nani alio kuwa mchaji}sadaqa Allah Al3adhim[Alnajm:32


Na alafu inaendelea maummah wa"3Alak" katika kupita na kuhama kwenye migongo ya watu mpaka ifike kadara yake ilio kadiriwa katika kitabu kilio pimwa alafu anakuwa katika tumbo la mamake alafu anakuwa ki'initete kilo umbwa na yeye bado anaendelea kuishi katika maisha kutoka alipo mumba wakati alipo mumba babake Adam aleyhi asalat wa asalam, na sisi hatuzungumzi walio kufa katika ulimwengu wa ki'initete kwakuwa mwenye kufa miongoni mwao kabla hajawa ki'initete na kuwa wanaume na wanawake sijuwi kuwa Allah atawadhibu kwenye moto wa jahanam kwakuwa hakuna vitendo vao, bali sisi twazungumzia wale walio timia muda wa vipindi va ku'umbwa kwao na kuwafanya Allah wapatikane katika maisha ya dunia akwatumia mitume na manabii wakawalingania kwa kumwabudu Allah pekeyake hana mshirik waka wahoji aya zake katika kitabu wakakadhibisha wale walio kuwa hawati akili ikasmamishwa hoja ju yao akawadhibu Allah,Akasema Allah Ta3ala:
{ قُلْنَا اهْبِطُوا مِنْهَا جَمِيعًا فَإِمَّا يَأْتِيَنَّكُمْ مِنِّي هُدًى فَمَنْ تَبِعَ هُدَايَ فَلا خَوْفٌ عَلَيْهِمْ وَلا هُمْ يَحْزَنُونَ ( 38 ) وَالَّذِينَ كَفَرُوا وَكَذَّبُوا بِآيَاتِنَا أُولَئِكَ أَصْحَابُ النَّارِ هُمْ فِيهَا خَالِدُونَ ( 39 ) } صدق الله العظيم [البقرة]
Allah Ta3ala Asema:{tulisema teremkeni kutoka ndani yake nyote na ama itawajieni kutoka kwangu uongofu na mwenye kufata ungofu wangu hakika hakuna hofu ju yao wala huzuni hawana(38)Na wale wali kufuru na waka kadhibisha aya zetu wale ni watu wa motoni wao ndani yake milele(39)sadaqa Allah Al3adhim[Albaqara

Kwa hakika watu wa motoni ni wale walio kadhibisha kwa aya za mola wao mlezi,kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{ وَالَّذِينَ كَفَرُوا وَكَذَّبُوا بِآيَاتِنَا أُولَئِكَ أَصْحَابُ النَّارِ هُمْ فِيهَا خَالِدُونَ (39) } صدق الله العظيم
Allah Ta3ala Asema:{Na wale walikufuru wakakadhibisha kwa aya zetu wale ni watu wa motoni wao ndaniyake milele(39) sadaqa Allah Al3adhim
Na Akasema Allah Ta3ala:
{ وَإِذْ قُلْنَا لِلْمَلَائِكَةِ اسْجُدُوا لِآدَمَ فَسَجَدُوا إِلَّا إِبْلِيسَ أَبَىٰ (116) فَقُلْنَا يَا آدَمُ إِنَّ هَٰذَا عَدُوٌّ لَكَ وَلِزَوْجِكَ فَلَا يُخْرِجَنَّكُمَا مِنَ الْجَنَّةِ فَتَشْقَىٰ (117) إِنَّ لَكَ أَلَّا تَجُوعَ فِيهَا وَلَا تَعْرَىٰ (118) وَأَنَّكَ لَا تَظْمَأُ فِيهَا وَلَا تَضْحَىٰ (119) فَوَسْوَسَ إِلَيْهِ الشَّيْطَانُ قَالَ يَا آدَمُ هَلْ أَدُلُّكَ عَلَىٰ شَجَرَةِ الْخُلْدِ وَمُلْكٍ لَا يَبْلَىٰ (120) فَأَكَلَا مِنْهَا فَبَدَتْ لَهُمَا سَوْآتُهُمَا وَطَفِقَا يَخْصِفَانِ عَلَيْهِمَا مِنْ وَرَقِ الْجَنَّةِ وَعَصَىٰ آدَمُ رَبَّهُ فَغَوَىٰ (121)ثُمَّ اجْتَبَاهُ رَبُّهُ فَتَابَ عَلَيْهِ وَهَدَىٰ (122) قَالَ اهْبِطَا مِنْهَا جَمِيعًا بَعْضُكُمْ لِبَعْضٍ عَدُوٌّ فَإِمَّا يَأْتِيَنَّكُمْ مِنِّي هُدًى فَمَنِ اتَّبَعَ هُدَايَ فَلَا يَضِلُّ وَلَا يَشْقَىٰ (123) وَمَنْ أَعْرَضَ عَنْ ذِكْرِي فَإِنَّ لَهُ مَعِيشَةً ضَنْكًا وَنَحْشُرُهُ يَوْمَ الْقِيَامَةِ أَعْمَىٰ (124) قَالَ رَبِّ لِمَ حَشَرْتَنِي أَعْمَىٰ وَقَدْ كُنْتُ بَصِيرًا (125) قَالَ كَذَٰلِكَ أَتَتْكَ آيَاتُنَا فَنَسِيتَهَا وَكَذَٰلِكَ الْيَوْمَ تُنْسَىٰ (126) }

صدق الله العظيم [طه]


Allah Ta3ala Asema:{Na tulipo wambia malaika msujudieni Adam wkasujudu ila iblisi amikata(116)Tukasema ewe Adam hakika huyu ni aduwi kwako na kwa mkewako asiwatowe katika pepo mukapata tabu(117)hakika hutopata nja ndani yake wala ta3ra(118)Na hutokuwa na kiu wala nja(119)Akam'semesha kumtia wasiwasi shetani, akasema ewe Adam je nikuoneshe mmti mea wa milele na ufalme usioi'sha(120)Wakala ikaineka sehemu zao akawa anawaletea majani katika pepo akamua'asi Adam mola wake akaghawa(121)Alafu akamsamehe mola wake akampa toba akamongoza(122)Tukasema teremkeni nyote kutoka ndani yake badhi yenu kwa badhi ma'adui na ama iwajie kutoka kwangu uongofu mwenye kufwata uongofu wangu basi hatopotea wala hatopata shida(123)Na mwenye kupa mgongo utajo wangu hakika tutampa maisha ya dhiki na tutamfufuwa siku ya kiyama chongo(124)Akasema ewe mola wangu mbona uminifufuwa chongo na nilikuwa naona(125)Akasema hivo yamekuji aya zetu ukazisahau na hivo leo unasahauliwa(126)sadaqa Allah Al3adhim:Twaha

Na labda huwenda wanazuoni wa kiyahudi katika wale wanafanya bidi kuthibitisha batil Wanadai kwa kugongana kwa Alquran Al3adhim Akisema ewe Nasser Muhammad Alyamani ewe mwenye kudai kuwa"Allah Ami mwamuru ajahidi watu kwa Alquran jihadi kubwa mpaka asmamishe kwao hoja na hio,hao ndio sisi wanazuoni wakiyahudi tunakusmamishia hoja na tunakuletea kw yalio gongana katika quran mfano kauli ya Allah Ta3ala:

قول الله تعالى: { وَمَنْ أَعْرَضَ عَنْ ذِكْرِي فَإِنَّ لَهُ مَعِيشَةً ضَنْكًا وَنَحْشُرُهُ يَوْمَ الْقِيَامَةِ أَعْمَىٰ (124) قَالَ رَبِّ لِمَ حَشَرْتَنِي أَعْمَىٰ وَقَدْ كُنْتُ بَصِيرًا (125) }
صدق الله العظيم [طه
Allah Ta3ala Asema:{Na mwenye kupa mgongo utajo wangu hakika tutampa maisha ya dhiki na tutamfufuwa siku ya kiyama chongo(124)Akasema mola wangu mbona uminifufuwa chongo wakati nilikuwa naona(125)sadaqa Allah Al3adhim


Na mgongano ndio iko kwenye kauli ya Allah Ta3ala:
{ قَالَ رَبِّ لِمَ حَشَرْتَنِي أَعْمَىٰ وَقَدْ كُنْتُ بَصِيرًا } كونه يتناقض مع قول الله تعالى: { وَمَنْ كَانَ فِي هَٰذِهِ أَعْمَىٰ فَهُوَ فِي الْآخِرَةِ أَعْمَىٰ وَأَضَلُّ سَبِيلًا ﴿72﴾ } [الإسراء]
Allah Ta3ala Asema:{Akasema mola wangu mbona uminifufuwa chongo na nilikuwa naona}Kwakua inagongana na kauli ya Allah Ta3ala:{Na yule katika hi kuwa haoni basi na akheri pia haoni na amipotea njia(72)}Alisraa],Na ni jibo gani kwa wanazuoni wa mayahudi wale walitangaza bayana kwa inwani(mutanaqidhat Alquran)na kati yake kauli mbili mutanaqidhan mfano:{
{ قَالَ رَبِّ لِمَ حَشَرْتَنِي أَعْمَىٰ وَقَدْ كُنْتُ بَصِيرًا }، وقوله: { وَمَنْ كَانَ فِي هَٰذِهِ أَعْمَىٰ فَهُوَ فِي الْآخِرَةِ أَعْمَىٰ وَأَضَلُّ سَبِيلًا
Mfano:(Amisema mola wangu mbona uminifufuwa chongo na nilikuwa naona}Na kauli yake:{Na yule alikuwa katika hi haoni hakika na akhera haoni na amipotea njia},Na vipi mtu asema alikuwa anaona duniani na katika kauli ingine
{ وَمَنْ كَانَ فِي هَٰذِهِ أَعْمَىٰ فَهُوَ فِي الْآخِرَةِ أَعْمَىٰ وَأَضَلُّ سَبِيلًا }؟ ]
Na katika kauli nyengine.{na yule katika hi haoni basi na akhera honi na amipotea njia}?




Na alafu anasmamisha Alimam Almahdi hoja kwa wanazuoni wa mayahudi na nasema:hakika alikuwa aona siku alipo waumba Allah maumbile ambao aliwaumba nayo watu siku alipo waumba pamoja na baba yao Adam na walikuwa wamwamini Allah wote kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{ ‏وَإِذْ أَخَذَ رَبُّكَ مِن بَنِي آدَمَ مِن ظُهُورِهِمْ ذُرِّيَّتَهُمْ وَأَشْهَدَهُمْ عَلَى أَنفُسِهِمْ أَلَسْتَ بِرَبِّكُمْ قَالُواْ بَلَى شَهِدْنَا }

صدق الله العظيم [الأعراف:172]
Allah Ta3ala Amesema:{pindi alipo chukuwa mola wako kutoka kwa wana Adam katika migongo yao kizazi chao akawashuhudisha ju ya nafsi zao je mimi mola wenu wakasema ndio tumishuhudia}[Ali3raf:172

Kwajili ya hivo alikuwa kila mtu anaon kwa haki,Na kwajili ya hivo ndio anakusudia mtu kusema kwake:

{ وَإِذْ أَخَذَ رَبُّكَ مِن بَنِي آدَمَ مِن ظُهُورِهِمْ ذُرِّيَّتَهُمْ وَأَشْهَدَهُمْ عَلَى أَنفُسِهِمْ أَلَسْتَ بِرَبِّكُمْ قَالُواْ بَلَى شَهِدْنَا }
،
Katika kauli yake:{Na pindi alipo chukuwa mola wako kwa wana wa Adam kwa kizazi chao aka washuhudisha nafsi zao je mimi mola wenu wakasema ndio tumishuhudia},yani anaona katika zama za Ahdi ya milele akasahau lakini Allah akasmamisha Ju yake hoja kwa kumkubusha mtuu kwa aya za mola wake ambazo amituma nazo mitume wake Akasema Allah Ta3la
{ قَالَ اهْبِطَا مِنْهَا جَمِيعًا بَعْضُكُمْ لِبَعْضٍ عَدُوٌّ فَإِمَّا يَأْتِيَنَّكُمْ مِنِّي هُدًى فَمَنِ اتَّبَعَ هُدَايَ فَلَا يَضِلُّ وَلَا يَشْقَىٰ (123) وَمَنْ أَعْرَضَ عَنْ ذِكْرِي فَإِنَّ لَهُ مَعِيشَةً ضَنْكًا وَنَحْشُرُهُ يَوْمَ الْقِيَامَةِ أَعْمَىٰ (124) قَالَ رَبِّ لِمَ حَشَرْتَنِي أَعْمَىٰ وَقَدْ كُنْتُ بَصِيرًا (125) قَالَ كَذَٰلِكَ أَتَتْكَ آيَاتُنَا فَنَسِيتَهَا وَكَذَٰلِكَ الْيَوْمَ تُنْسَىٰ (126) } صدق الله العظيم [طه
Allah Ta3ala Asema:{Akasema teremkeni inje yake nyote badhi yenu ju ya badhi maduwi ama etawajia uowngofu wangu yule atafwata uongofu wangu hatopotea wala hatopata tabu(123)Na atakae kukanusha utajo wangu hakika tutampa maisha ya dhiki na tutafufuwa siku ya kiyama haoni(124)Akasema mola wangu mbona uminifufua chongo na nilikuwa naona(125)Akasema hivo yamikuja aya zetu ukazisahau na hivo leo unasahauliwa(126)sadaqa Allah Al3adhim:Twaha

Na tumikamilisha bayana kwakauli yake Allah Ta3ala

{ وَاللَّهُ أَنْبَتَكُمْ مِنَ الْأَرْضِ نَباتاً (17) } صدق الله العظيم [نوح]،
Allah Ta3ala Asema:{Na Alla amiwameza katika ardhi mimea(17)}[sadaqa Allah Al3adhim:Nu7h],na tumifafanuwa ulimwengu wa mbegu ufafanuzi mkubwa,Na tunakuja kwa bayana katika kauli yake Allah Ta3ala:
{ ثُمَّ يُعِيدُكُمْ فِيها وَيُخْرِجُكُمْ إِخْراجاً (18) } صدق الله العظيم [نوح
Allah Ta3ala Asema:{Alafu tunawarudisha ndani yake na anawatowa ndaniyake kutolewa(18)}[sadaqa Allah Al3adhim:Nu7h]

Na kurudishwa yani anawarudisha ndani yake enye ma3ashara munaokdhibisha kama alivo waumba mara ya kwanza katika ardhi kusadikisha kauli ya Allah
{ وَلَقَدْ جِئْتُمُونَا فُرَادَى كَمَا خَلَقْنَاكُمْ أَوَّلَ مَرَّةٍ وَتَرَكْتُم مَّا خَوَّلْنَاكُمْ وَرَاء ظُهُورِكُمْ } صدق الله العظيم [الأنعام:94]
Allah Ta3ala Asema:{na mumitujia moja moja kama tulivo waumba mara ya kwanza na muniwacha yale tuliowacha nyuma ya migongo yenu}[sadaqa Allah Al3adhim:Alan3am:94]

Lakini yeye hakusudi watu wote katika kauli yake:
{ وَلَقَدْ جِئْتُمُونَا فُرَادَى كَمَا خَلَقْنَاكُمْ أَوَّلَ مَرَّةٍ وَتَرَكْتُم مَّا خَوَّلْنَاكُمْ وَرَاء ظُهُورِكُمْ } صدق الله العظيم،
Allah Ta3ala Asema:{na mumi tujia moja moja kama tulivo waumba mara ya kwanza na mumiwacha yale tuliowachia nyuma ya migongo yenu}[sadaqa Allah Al3adhim:Alan3am:94],bali anawazugumzia makafiri wale ambao amiwarudisha katika maisha ya mara ya pili duniani mpaka pindi ilipo malizika maisha yao ya pili kwa dunia wakafa mpaka pindi ikismama kiyama ikaja ufufuwaji kwa watu wote alafu wanatoka watu wote waumini na makafiri wote kutoka kama nafsi moja kama tulivo tangulia kufafanuwa bayana ya kurudishwa katika mu7hkam Alquran ufafanuzi ulio wazi,Na usifanye kugongana katika Alquran ewe daktari omar haiwi sawa kwa makafiri na waumini katika ku7huishwa kwao na kufishwa na kufufuliwa,kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{ أَمْ حَسِبَ الَّذِينَ اجْتَرَحُوا السَّيِّئَاتِ أَنْ نَجْعَلَهُمْ كَالَّذِينَ آمَنُوا وَعَمِلُوا الصَّالِحَاتِ سَوَاءً مَحْيَاهُمْ وَمَمَاتُهُمْ ۚ سَاءَ مَا يَحْكُمُونَ } صدق الله العظيم [الجاثية:21]
Allah Ta3ala Asema:{Ama umihisabu wale walio tenda maovu kuwa tutawafanya kama wale walio amini waka tenda mema sawa katika ku7Huishwa kwao na kufishwa kwao mumikosa munavo hukumu}[sadaqa Allah Al3adhim:Aljathia:21]

Akasema Allah Ta3ala:
{ وَإِن كَادُوا لَيَفْتِنُونَكَ عَنِ الَّذِي أَوْحَيْنَا إِلَيْكَ لِتَفْتَرِ‌يَ عَلَيْنَا غَيْرَ‌هُ وَإِذًا لَّاتَّخَذُوكَ خَلِيلًا ﴿٧٣﴾ وَلَوْلَا أَن ثَبَّتْنَاكَ لَقَدْ كِدتَّ تَرْ‌كَنُ إِلَيْهِمْ شَيْئًا قَلِيلًا ﴿٧٤﴾ إِذًا لَّأَذَقْنَاكَ ضِعْفَ الْحَيَاةِ وَضِعْفَ الْمَمَاتِ ثُمَّ لَا تَجِدُ لَكَ عَلَيْنَا نَصِيرً‌ا ﴿٧٥﴾ } صدق الله العظيم [الإسراء]
Akasema Allah Ta3ala:{Na wakijaribu kufanya njama ili wakufitini kwa yale tulio kupa wa7hio kwako ili utuzulie kwetu lingine basi wange kufanya rafiki(73)Na lau kama hatukukitisha ungekuwa unawategemea kidogo(74)Ndipo hapo tungekuonjesha umaskini wa maisha na udhaifu wa kufa salama alafu hutopata kwetu mwenye kukunusuru(75)}[sadaqa Allahu Al3adhim:Alisraa]

Kwajili ya hivo amesema:
{ كَيْفَ تَكْفُرُونَ بِاللَّهِ وَكُنتُمْ أَمْوَاتاً فَأَحْيَاكُمْ ثُمَّ يُمِيتُكُمْ ثُمَّ يُحْيِيكُمْ ثُمَّ إِلَيْهِ تُرْجَعُونَ(28) } صدق الله العظيم [البقرة]
Amesema Allah Ta3ala:{Vipi mutamkufuru Allah na mulikuwa mumikufa akawa7huisha alafu anawafisha alafu anawa7huisha Alafu kwake mutarudi(28)}[sadaqa Allah Al3adhim:Albaqara]

Na Alafu tunastanbat kwa undani jibu lao kwa mola katika mu7hkam ya kitabu:
{ قَالُوا رَبَّنَا أَمَتَّنَا اثْنَتَيْنِ وَأَحْيَيْتَنَا اثْنَتَيْنِ فَاعْتَرَفْنَا بِذُنُوبِنَا فَهَلْ إِلَى خُرُوجٍ مِّن سَبِيلٍ (11) ذَلِكُم بِأَنَّهُ إِذَا دُعِيَ اللَّهُ وَحْدَهُ كَفَرْتُمْ وَإِن يُشْرَكْ بِهِ تُؤْمِنُوا فَالْحُكْمُ لِلَّهِ الْعَلِيِّ الْكَبِيرِ(12) } صدق الله العظيم [غاف
Allah Ta3ala asema:{wakasema ewe mola wetu umitufisha mara mbili ukatu7huiaha mara mbili na tumekiri madhambi yetu je kuna njia ya kutoka(11)hivo hakika hio kwenu pindi akiombwa Allah peke yake mwakufuru na akishirikishwa na yeye muna'amini hakika hukumu ni ya Allah mwenye urefu alie mkubwa(12)}[sadaqa Allah Al3adhim:ghafir]

Na ewe Ahmad omaroa,hatukuruhusu upoteze mazungumzo na fujo katika mtandao kwenye mawuqe3 na amisema kweli ibnu mas3ud kwa kukuwaidhia wewe kuwa utimize mazungumzo nukta kwa nukta,ama unataka kuzungumza na ma ansar kwakuwa ni duni kwa ufahamu wako-kuliko mazungumzo na Alimam Nasser Muhammad Alyamani na hio ili usmamishe hoja ju yao ili uwatie shaka qaum wengine wale wanao tafuta haki?na haihaaat haihaat ewe daktari omar sisi tunajuwa yale unao taka na mimi hutoniponyoka,na mazungumzo yaendele mpaka mwisho na tutakhitimisha na mubahala tufanye lana ya Allah kwa walio kadhibisha kwakuwa wewe ni katika wale ambao hawaongoki katika wale ambao katika moyo zao kuna zaigh shirki kutokana na haki na ukiwaletea kwa aya zote zilio wazi muhakam katika ayat umil kitab wataikanusha na watajadiliana na Almutashabihat zilio fanana ambazo bado zinahitaji kufafanuliwa na wanaleta bayana katika aya za kitabu kutoka kwa nafsi zao bila burhan ya ukweli kutoka mola wao,wao kinyume na Alimam Almahdi kwakuwa mimi nawaletea Albayan Alhak ya Alquran kutoka kwa mola wangu mlezi kwakuwa mimi nawaletea bayana ya Alquran Al3adhim kutokana na Alquran yenyewe wala sio kutokana na nafsi yangu na naifafanuwa ufafanuzi ulio wazi na tunafafanuwa kutokana muhakam ilio teremshwa,ama nyinyi munaleta bayan ya Alquran kutoka nafsi zenu na munakata kufwata aya za kitabu Almuhakamat zilo wazi na mukaziwacha nyuma ya migongo yenu,Mfano kauli ya Allah Ta3ala:
{ قَالُوا رَبَّنَا أَمَتَّنَا اثْنَتَيْنِ وَأَحْيَيْتَنَا اثْنَتَيْنِ فَاعْتَرَفْنَا بِذُنُوبِنَا فَهَلْ إِلَى خُرُوجٍ مِّن سَبِيلٍ (11) ذَلِكُم بِأَنَّهُ إِذَا دُعِيَ اللَّهُ وَحْدَهُ كَفَرْتُمْ وَإِن يُشْرَكْ بِهِ تُؤْمِنُوا فَالْحُكْمُ لِلَّهِ الْعَلِيِّ الْكَبِيرِ (12) } صدق الله العظيم [غافر
Allah Ta3ala Asema:{wakasema ewe mola wetu umitufisha mara mbili ukatu7huisha mara mbili na tumekiri madhambi yetu je kuna njia ya kutoka(11)hivo hakika hio kwenu pindi akiombwa Allah peke yake mwakufuru na akishirikishwa na yeye muna'amini hakika hukumu ni ya Allah mwenye urefu alie mkubwa(12)}[sadaqa Allah Al3adhim:ghafir]

Mukafanya kuhuishwa kwao na kufuishwa kwao ni sawa lakini watu wema katika mawali wa Allah hawana mauti ila mauti moja wala sio mauti mbili mara mbili,kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{ لَا يَذُوقُونَ فِيهَا الْمَوْتَ إِلَّا الْمَوْتَةَ الْأُولَىٰ وَوَقَاهُمْ عَذَابَ الْجَحِيمِ ﴿56﴾ } صدق الله العظيم [الدخان]
Allah Ta3ala Asema:{hawaonje ndani yake ispokuwa mauti ya kwanza akawaoka na adhabu ya jahanam(56)}[sadaqa Allah Al3adhim:Aldukhan]

Ama wahalifu katika makafiri wanao maisha mara mbili na kufa mara mbili kusadikisha kauli ya Allah ta3ala:{


{ كَيْفَ تَكْفُرُونَ بِاللَّهِ وَكُنتُمْ أَمْوَاتاً فَأَحْيَاكُمْ ثُمَّ يُمِيتُكُمْ ثُمَّ يُحْيِيكُمْ ثُمَّ إِلَيْهِ تُرْجَعُونَ (28) } صدق الله العظيم [البقرة]
Allah Ta3ala Asema:{vipi mutamkufuru Allah na mulikuwa mumikufa alafu akawa7huisha alafu atawafisha alafu kwake mutarudi(28)}[sadaqa Allah Al3adhim:Albaqara]
yani vipi mutakufuru kwa Allah na tuliwafisha bada kukadhibisha katika maisha ya dunia tukawadhibu alafu tukawa7huisha tena alafu tukawafisha alafu kwetu mutarudi?

Na hi maelezo wanaelezwa makafiri kwa kuwa wanayo mauti mbili na maisha mara mbili alafu kwa mola wao watarudi na wamikiri madhambi yao katika maisha ya kwanza na ya pili,kwajili ya hivo akasema Allah Ta3ala:
{ قَالُوا رَبَّنَا أَمَتَّنَا اثْنَتَيْنِ وَأَحْيَيْتَنَا اثْنَتَيْنِ فَاعْتَرَفْنَا بِذُنُوبِنَا
فَهَلْ إِلَى خُرُوجٍ مِّن سَبِيلٍ (11) ذَلِكُم بِأَنَّهُ إِذَا دُعِيَ اللَّهُ وَحْدَهُ كَفَرْتُمْ وَإِن يُشْرَكْ بِهِ تُؤْمِنُوا فَالْحُكْمُ لِلَّهِ الْعَلِيِّ الْكَبِيرِ (12) } صدق الله العظيم [غافر]

Allah Ta3ala Asem:{wakasema ewe mola wetu umitufisha mara mbili ukatu7huiaha mara mbili na tumekiri madhambi yetu je kuna njia ya kutoka(11)hivo hakika hio kwenu pindi akiombwa Allah peke yake mwakufuru na akishirikishwa na yeye muna'amini hakika hukumu ni ya Allah mwenye urefu alie mkubwa(12)}[sadaqa Allah Al3adhim:ghafir]

Na angalia kwa kukiri madhambi yao yale walio yafanya katika maisha ya kwanza na yapili,Na akasema Allah Ta3ala:
{ قَالُوا رَبَّنَا أَمَتَّنَا اثْنَتَيْنِ وَأَحْيَيْتَنَا اثْنَتَيْنِ فَاعْتَرَفْنَا بِذُنُوبِنَا فَهَلْ إِلَى خُرُوجٍ مِّن سَبِيلٍ (11) ذَلِكُم بِأَنَّهُ إِذَا دُعِيَ اللَّهُ وَحْدَهُ كَفَرْتُمْ وَإِن يُشْرَكْ بِهِ تُؤْمِنُوا فَالْحُكْمُ لِلَّهِ الْعَلِيِّ الْكَبِيرِ(12) } صدق الله العظيم

Allah Ta3ala Asem:{wakasema ewe mola wetu umitufisha mara mbili ukatu7huisha mara mbili na tumekiri madhambi yetu je kuna njia ya kutoka(11)hivo hakika hio kwenu pindi akiombwa Allah peke yake mwakufuru na akishirikishwa na yeye muna'amini hakika hukumu ni ya Allah mwenye urefu alie mkubwa(12)}[sadaqa Allah Al3adhim:ghafir]

Ama mawali wa Allah asalihin hawana wao ispokuwa maisha na mauti ya kwanza pekeyake kwajili ya hivo amisema Allah Ta3ala: { لَا يَذُوقُونَ فِيهَا الْمَوْتَ إِلَّا الْمَوْتَةَ الْأُولَىٰ وَوَقَاهُمْ عَذَابَ الْجَحِيمِ ﴿56﴾ } صدق الله العظيم
Allah Ta3ala Asema:{hawaonji ndani yake mauti ila mauti ya kwanza akawaokowa na adhabu ya ja7him(56)}[sadaqa Allahu Al3adhim]

Hakika nakuona ewe daktari Ahmad omaro unasema:"hujaja na mapya ewe Nasser Muhammad kwakuwa zile aya ni zile zile aya unao tujadili nazo katika kila bayana".Na alafu tunakurudishia jibu ewe daktari na nasema:Na wataka tukujadili na nini ikiwa tumismamisha hoja ju yako kwa haki na aya zilio kuwa muhakamat zilio wazi zilio bainika katika aya za mama wa kitabu?hakuna bada ya haki ispokuwa upotevu,na hatutopoteza wakati wetu na wewe ewe daktari Ahmad na uwache nafasi kwa mwingine katika masala ya ufufuwaji wa kuwanza ama tutaingia masa'ala ingine ambao ulio tuletea kabla ama tutamfanya ibnu mas3ud atawala ju yako usipoteze wakati wetu tayari tumianzisha tukarudisha burahan ya bayana, Na usiseme:"angalia harufu ya kuvuta katika kauli yako ewe Nassertumianzisha na tukarudisha burhan ya bayan upya)"Na Alafu nasem:ewe daktari,ndio tumianzisha tukarudisha burhan katika bayan upia kwakuwa maneno ya Allah hakuna atakae kubadilisha haki kutoka kwa Allah na bada ya haki ila ni upotevu,


Na kuhusu kauli yako kuwa bayana zako hazionikani katika mawuqe3,Na wallahi sijaona kwa bayana zako kuowa zimifichwa ama zimifutwa,Hakika bayana zako zote ziko katika ukurasa wa mazungumzo baina yangu na yako na Alafu wasmamizi wanateremsha kila bayana mpya yetu katika mazungumzo kwenye upande wa mausu3a za bayana kwa sababu sehemu ya mausu3a tulihusisha na tukaifanya bayana za Alimam Almahdi Nasser Muhammad Alyamani,kwajili ya hivo tumifanya mausu3a ni ya bayana za Alimama Almahdi peke yake ili iwasahilishie watafiti ju ya hak,labda unaengia katika sehemu ya upande wa mausu3a ukatafuta bayna zako ukazikosa ukanza kutuhumu kwa kufutwa majibu yako lakini majibu yako yote yako haijatupwa kitu wala kufutwa bali ziko katika upande wa mazungumzo katika mawuqe3,na salamun ju ya mitume na Alhamdulillah rabi Al3alamin.

Ndugu yenu Alimam Almahdi Nasser Muhammad Alyamani..
وسلامٌ على المرسلين والحمد لله رب العالمين.
أخوكم الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
ـــــــــــــــــــــــــ ــــــــ
Kifurushi Cha Bayana